Edward Lowassa hatoruhisiwa kugombea Urais!

Mtu kauza nyumba za serikali, nenda Masaki yote nyumba ni za watu binafsi.Unataka ushahidi upi tena wakati mwanzoni zilikuwa za serikali!!
 
Mentality yako inaonesha jinsi gani ulivyokubaliana na madudu ya CCM.
Sad!!!
 
Magufuri ndio rais wa Tanzania Oct 25 hizo zingine ni ndoto na upepo tu.....Magufuriii oyeeeeeee!
.Nchi haiwezi kuongozwa kifasadi na kibifu...
 
Lowassa anaujua mchezo wote wa goli la mkono unavyochezwa, kwa kuwa alikuwa jikoni, na ana uwezo wa kuuzuia mchezo huo. Ndiyo maana amesema "Sikukurupuka katika uamuzi wangu".
 
ushabiki na utabiri umezidi humu, kila mgombea anajua kushinda na kushindwa,
 
EL ameshindwa kukaa ccm kwa sababu hapendi magoli ya mikono wala kuotea.
Kibarua kinachomkabili ni kimoja tu nacho ni jinsi gani ya kutushawishi kuwa wizi wa RICHMOND haumuhusu, bahati nzuri keshaanza hilo na matumaini ni makubwa kuwa ataeleweka.
NOTE: NEC inamkubalia mtu kugombea urais endapo hajawahi kuhukumiwa na mahakama yoyote (sijui nje na ndani ya Tanzania), kwa maana hiyo labda Mramba, Aden Rage, Yona nk ndio wangeshindwa hili sharti
 
Najua wanajamvi wengine hawatanielewa,ila nachokisema ni kwamba, Lowassa ajiandae kisaikolojia maana mpaka sasa hivi ccm wamekaa kimya wakipanga first eleven, CCM ni bingwa mzoefu, CCM ni watu wa offside, CCM ni watu wa fitina, najaribu kutafakari kwa kina kwamba, Lowassa akitangazwa ameshindwa, je atakubali kushindwa au ndio vurugu zitaanzia hapo?

Je, vurugu hizo zitakuwa na tija kwetu?

Ndio maana nasema Lowassa jiandae kisaikolojia kwani utafungwa kwa gori la offside kwasababu marefarii wasaidizi ni wa kwao na refa wa kati ni wa kwao.siongei kiushabiki maana ushindi hauanzii ndani bali na nje!

Kwa upande wa pili CCM na nyie mjiandae kisaikolojia maana ukawa wanacheza sana na akili za watu na kutafuta majority hivyo endapo wananchi watajitokeza kwa wingi kupiga kura kama walivyojitokeza kujiandikisha basi kuna uwezekano mkubwa UKAWA kushinda.

Jambo jingine nawaasa wanasiasa kwamba tuache siasa za kupakana matope kwani wananchi bado tunahoji?

Tumeupenda upinzani kwa kuikosoa serikali na kuwaumbua wala rushwa wakubwa nchini akiwemo mh. Lowassa.

kwa pamoja bunge liliadhimia kumuondoa waziri mkuu kwa kuitumia vibaya ofisi....je nyie wapinzani mtatueleza nini watanzania ili tuwaelewe?

Leo Lowassa msafi, kesho Chenge msafi, kesho kutwa akina Muhongo na akina Kalamagi watakuwa wasafi endapo watapata fursa kuhamia CHADEMA.

Je, mnapozunguka mtaani kutueleza kwamba Magufuli ameuza nyumba mna ushahidi? Na kama mna ushahidi si mpeleke mahakamani?

Acheni siasa taka wananchi tunaelewa!

1. CCM ni bingwa mzoefu, CCM ni watu wa offside, CCM ni watu wa fitina

2. Leo Lowassa msafi, kesho Chenge msafi, kesho kutwa akina Muhongo na akina Kalamagi watakuwa wasafi endapo watapata fursa kuhamia CHADEMA.

3. Je, mnapozunguka mtaani kutueleza kwamba Magufuli ameuza nyumba mna ushahidi? Na kama mna ushahidi si mpeleke mahakamani?

Katafute majibu na ufanye tafiti yakinifu kisha urudi tena. Tunakusubiri.
Kajipange

KELELE ZA MPITA NJIA HAZIMZUII MWENYE NYUMBA KULALA.....WEWE INAKUWASHIA NINI..."MAKE YOURSELF FREE AND THE WORLD WOULD BE FREE"Ndugu Mbowe,

Mmeangaika kwa kipindi kirefu kukijenga Chadema, lakini umekiuza. Umekibomoa chama na kuingia kwenye mitego ya CCM ambayo mmekwepa kwa muda mrefu.

Kutokana na dharura iliyopo, napenda niwataarifu kwamba, Tumeshirikiana kwa kipindi kirefu, tangu 2010, na lengo kubwa limekuwa ni kulisaidia chama chenu kikue. Tumeweka maisha yetu hatarini kwa ajili yenu ili ukombozi upatikane. Kwa kifupi wengi ndani ya TISS wamechukizwa na uamuzi huu, siyo wa kumkaribisha Lowassa, bali wa kumpa nafasi kwenye Urais, na bila shaka wataungana na Magufuli. Zitto alipowekwa, tuliwaambia na ushahidi, na mkakinusuru CHADEMA. Kila mara tunawapa nyaraka na ushahidi mwingi. Kwa nini mmetupuuza?

Chadema mmeonekana kama wasaliti na watu wanaotafuta madaraka kama lowassa. Hasa Mbowe, bila kuangalia maslahi ya umma.Dr. Slaa aliogopwa zaidi na watawala

Hivi sasa chama tawala kina fanya mikakati mizito kumzuia Lowassa kugombea. Kabla ya Dodoma, kuna wanasheria na Makachero toka TISS waliwekwa kukusanya ushahidi kutoka ndani na je ya nchi, dhidi ya Lowassa, Rostam, Karamagi na Chenge. Na kwa taarifa yenu Apson anafanya kazi ya TISS siyo ya Lowassa. Chama inashirikiana na Serikali za Uingereza na Marekani kuonyesha uchafu wa Lowassa. Zaidi ya yote, wana ushahidi mwingi sana wa kimaandishi, sauti na video kumuonyesha Lowassa akigawa Rushwa na kufanya kampeni kabla ya muda muhafaka.Kwa kifupi, ushaidi tuliouona, Lowassa atazuiliwa na mahakama.

Kikao cha Jana usiku ambayo Rais Kikwete alishiriki kupitia Skype imedhamiria kutumia vyombe vya dola na vya habari kumuanika Lowassa na uchafu wake. Kwa maana hiyo Lowassa haendi kokote. Mkimisimamisha mmekwisha. Wasiwasi wa CCM ilikuwa ni Dr. Slaa na siyo Lowassa. Lowassa ana fedha nyingi sana nje ya nchi hadi na biashara haramu. Account zote zimeshapatika. Rostam anafanya kazi nzito, na hawa wote wanakuja kuunganishwa na Chadema pamoja na Mbowe.

Kadhalika kuna watu wengi sana kutoka CCM ambao wanakuja kuisambaratisha chama Chenu. CCM walijua wazi kabisa kwamba Dr. Slaa asingekubali uchafu wa Lowassa na angejiuzulu Lowassa akikaribishwa na kundi lake la Mafisadi. Hi imeshatokea, kwa maana kwamba CCM wana taarifa za Dr. Slaa kujiuzulu ingawa hawana uhakika. Kazi kwenu ila mkipuuza huu ushauri hamna chenu.
[/QUOTE]
 
Ndugu Mbowe,

[/QUOTE][/QUOTE]

KELELE ZA MPITA NJIA HAZIMZUII MWENYE NYUMBA KULALA.....WEWE INAKUWASHIA NINI..."MAKE YOURSELF FREE AND THE WORLD WOULD BE FREE"
 
Wote mnaoshabikia CCM mmelogwa. Nakubaliana na mwanasiasa aliesema tunahitaji hospitali ya waliologeka . Mimi nasema...tunahitaji hospitali ya maCCM!
 
Saramy.....hata sisi tumesoma au tume enda skuli kama wewe.tunajuwa ni nini huwa kinatokea nyakati hizi,tunajuwa ni wakati gani mvua za masika zina anza,tunajuwa kila baada ya miaka mitano kuna uchaguzi,tunajuwa Lowasaa kahamia upinzani,tunajuwa kuna walio tetereka kama siyo wewe,tunajuwa kuna walio furahi pamoja na mimi,tunajuwa kuna Spinnig Doctors
 
Wanataka kutisha nyau .. kama wanajua hayo yote si wakae kimya , halafu wasubiri bao la mkono?

Zinazotumika ni sheria za uchaguzi na tume ya uchaguzi .

Hapo hamna kitu, sasa wanatumia mbinu hadaa ya kutisha umma.

kama walikuwa wanajua yote kwa muda, Lowasa asingewasumbua kwa kipindi chote hicho bila kutumia turufu walizokuwa nazo.

Sasa wanatumia mkakati wa hofu , umeshindwa huo.

Wanataka kuleta mkanganyiko, eti wanadai wanamuogopa SLAAA, uongo mtupu, kwani SLAA bila wananchi atafanya nini??

Mmeshindwa ....
 
Ndugu yangu NAKUPENDA kupita maelezo. ili kumaliza UTATA unaonaje UKIACHANA na huyo Mkeo uje UNIOE upya na mimi hasa ukizangatia kuwa sasa natafuta Mume wa KUNIOA? Yaani kila UNAPOKWENDA nipo na nadhani hata nikiwa USINGIZINI huwa NAKUOTA sana na nikiona tu post yako NATEKENYEKA!

Laughing-chimp-gif-animation.gif~c200
 
mti wenye matunda ndio unaopigwa mawe ni wazi hampati usingiz kwasababu ya wapinzani:cheer2:
 
Ndugu Mbowe,

Mmeangaika kwa kipindi kirefu kukijenga Chadema, lakini umekiuza. Umekibomoa chama na kuingia kwenye mitego ya CCM ambayo mmekwepa kwa muda mrefu.

Kutokana na dharura iliyopo, napenda niwataarifu kwamba, Tumeshirikiana kwa kipindi kirefu, tangu 2010, na lengo kubwa limekuwa ni kulisaidia chama chenu kikue. Tumeweka maisha yetu hatarini kwa ajili yenu ili ukombozi upatikane. Kwa kifupi wengi ndani ya TISS wamechukizwa na uamuzi huu, siyo wa kumkaribisha Lowassa, bali wa kumpa nafasi kwenye Urais, na bila shaka wataungana na Magufuli. Zitto alipowekwa, tuliwaambia na ushahidi, na mkakinusuru CHADEMA. Kila mara tunawapa nyaraka na ushahidi mwingi. Kwa nini mmetupuuza?

Chadema mmeonekana kama wasaliti na watu wanaotafuta madaraka kama lowassa. Hasa Mbowe, bila kuangalia maslahi ya umma.Dr. Slaa aliogopwa zaidi na watawala

Hivi sasa chama tawala kina fanya mikakati mizito kumzuia Lowassa kugombea. Kabla ya Dodoma, kuna wanasheria na Makachero toka TISS waliwekwa kukusanya ushahidi kutoka ndani na je ya nchi, dhidi ya Lowassa, Rostam, Karamagi na Chenge. Na kwa taarifa yenu Apson anafanya kazi ya TISS siyo ya Lowassa. Chama inashirikiana na Serikali za Uingereza na Marekani kuonyesha uchafu wa Lowassa. Zaidi ya yote, wana ushahidi mwingi sana wa kimaandishi, sauti na video kumuonyesha Lowassa akigawa Rushwa na kufanya kampeni kabla ya muda muhafaka.Kwa kifupi, ushaidi tuliouona, Lowassa atazuiliwa na mahakama.

Kikao cha Jana usiku ambayo Rais Kikwete alishiriki kupitia Skype imedhamiria kutumia vyombe vya dola na vya habari kumuanika Lowassa na uchafu wake. Kwa maana hiyo Lowassa haendi kokote. Mkimisimamisha mmekwisha. Wasiwasi wa CCM ilikuwa ni Dr. Slaa na siyo Lowassa. Lowassa ana fedha nyingi sana nje ya nchi hadi na biashara haramu. Account zote zimeshapatika. Rostam anafanya kazi nzito, na hawa wote wanakuja kuunganishwa na Chadema pamoja na Mbowe.

Kadhalika kuna watu wengi sana kutoka CCM ambao wanakuja kuisambaratisha chama Chenu. CCM walijua wazi kabisa kwamba Dr. Slaa asingekubali uchafu wa Lowassa na angejiuzulu Lowassa akikaribishwa na kundi lake la Mafisadi. Hi imeshatokea, kwa maana kwamba CCM wana taarifa za Dr. Slaa kujiuzulu ingawa hawana uhakika. Kazi kwenu ila mkipuuza huu ushauri hamna chenu.
[/QUOTE]

KELELE ZA MPITA NJIA HAZIMZUII MWENYE NYUMBA KULALA.....WEWE INAKUWASHIA NINI..."MAKE YOURSELF FREE AND THE WORLD WOULD BE FREE"
[/QUOTE]

tulixa.hixo pumb chini mtoto achzee
 
Back
Top Bottom