RockSpider
JF-Expert Member
- Feb 16, 2014
- 6,859
- 2,758
Kweli wewe mwehu!!! Huo ulikuwa mchakato wa ndani ya CCM... UKAWA na CCM ni entity mbili tofauti kabisa... Waulize wabobezi wa sharia watakudadavulia vema zaidi ...
Nimekuwa najiuliza kwanini CCM imekuwa kimya na tukio la Lowasa kuhamia CHADEMA-UKAWA. Leo nimepata jibu kwanini. Habari za uhakika toka jikoni CCM ni kwamba kuna mpango ushasukwa wa kumkata tena Lowasa. Ni hivi, Tume ya uchaguzi imekwisha kabidhiwa picha za mnato na video zinazomuonyesha Lowasa akianza kampeni kabla ya muda wa kampeni wakati wa kura za maoni za kutafuta mgombea uraisi wa CCM. Kwa maana hiyo basi, Magufuli ni kama hatakuwa na upinzani maana mgombea wa UKAWA atakatwa mara tu baada ya dirisha la kurudisha fomu za kutaka kuwa mgombea kufungwa. KWa maana hiyo, Magufuli atagombeaa na na wachovu kama Dovutwa nk. You heard it here first. UKAWA wasipojipanga na CCM isipojirudi naona kuna mmwagiko wa damu waja nchini. ATAKUBALI KUKATWA MARA MBILI??????
Sababu ni kampeni wakati akiwa CCM sio UKAWA. Ni hivi. Wanaoratibu huu mpango tayari wamesema kuwa sababu moja wapo ya kumkata Lowasa kwenye kinyang'anyiro cha CCM ni yeye kuanza kampeni mapema. Kwa mujibu wa chanzo hiki, walimkata wakijua kuwa upinzani wangemshitaki kwenye tume ya uchaguzi kama jina lingepita. KWaiyo wanatumia muda ule akiwa CCM. Mwenye akili ataona kuwa CCM wanayo kesi hapa ingawa inaweza kuleta machafuko nchini kumkata mtu huyohuyo mara mbili.Hizo kampeni alianza akiwa ccm au chadema?
Tumia akili kidogo. Hoja nyingine ungekuwa mmambia nyie wenyewe ili mfurahishe nafsi zenu.Nimekuwa najiuliza kwanini CCM imekuwa kimya na tukio la Lowasa kuhamia CHADEMA-UKAWA. Leo nimepata jibu kwanini. Habari za uhakika toka jikoni CCM ni kwamba kuna mpango ushasukwa wa kumkata tena Lowasa. Ni hivi, Tume ya uchaguzi imekwisha kabidhiwa picha za mnato na video zinazomuonyesha Lowasa akianza kampeni kabla ya muda wa kampeni wakati wa kura za maoni za kutafuta mgombea uraisi wa CCM. Kwa maana hiyo basi, Magufuli ni kama hatakuwa na upinzani maana mgombea wa UKAWA atakatwa mara tu baada ya dirisha la kurudisha fomu za kutaka kuwa mgombea kufungwa. KWa maana hiyo, Magufuli atagombeaa na na wachovu kama Dovutwa nk. You heard it here first. UKAWA wasipojipanga na CCM isipojirudi naona kuna mmwagiko wa damu waja nchini. ATAKUBALI KUKATWA MARA MBILI??????
Nimekuwa najiuliza kwanini CCM imekuwa kimya na tukio la Lowasa kuhamia CHADEMA-UKAWA. Leo nimepata jibu kwanini. Habari za uhakika toka jikoni CCM ni kwamba kuna mpango ushasukwa wa kumkata tena Lowasa. Ni hivi, Tume ya uchaguzi imekwisha kabidhiwa picha za mnato na video zinazomuonyesha Lowasa akianza kampeni kabla ya muda wa kampeni wakati wa kura za maoni za kutafuta mgombea uraisi wa CCM. Kwa maana hiyo basi, Magufuli ni kama hatakuwa na upinzani maana mgombea wa UKAWA atakatwa mara tu baada ya dirisha la kurudisha fomu za kutaka kuwa mgombea kufungwa. KWa maana hiyo, Magufuli atagombeaa na na wachovu kama Dovutwa nk. You heard it here first. UKAWA wasipojipanga na CCM isipojirudi naona kuna mmwagiko wa damu waja nchini. ATAKUBALI KUKATWA MARA MBILI??????
Nimekuwa najiuliza kwanini CCM imekuwa kimya na tukio la Lowasa kuhamia CHADEMA-UKAWA. Leo nimepata jibu kwanini. Habari za uhakika toka jikoni CCM ni kwamba kuna mpango ushasukwa wa kumkata tena Lowasa. Ni hivi, Tume ya uchaguzi imekwisha kabidhiwa picha za mnato na video zinazomuonyesha Lowasa akianza kampeni kabla ya muda wa kampeni wakati wa kura za maoni za kutafuta mgombea uraisi wa CCM. Kwa maana hiyo basi, Magufuli ni kama hatakuwa na upinzani maana mgombea wa UKAWA atakatwa mara tu baada ya dirisha la kurudisha fomu za kutaka kuwa mgombea kufungwa. KWa maana hiyo, Magufuli atagombeaa na na wachovu kama Dovutwa nk. You heard it here first. UKAWA wasipojipanga na CCM isipojirudi naona kuna mmwagiko wa damu waja nchini. ATAKUBALI KUKATWA MARA MBILI??????
regardless uhalali wa ulichoandika lakini hii senyensi yako ni muhimu sana na ingelikuwa kila Mtanzania mwenye akili timamu anaweza kuisoma basi ungelikuwa ushindi.KWa maana hiyo, Magufuli atagombeaa na na wachovu kama Dovutwa nk. You heard it here first. UKAWA wasipojipanga na CCM isipojirudi naona kuna mmwagiko wa damu waja nchini. ATAKUBALI KUKATWA MARA MBILI??????