Wote mnaoshabikia CCM mmelogwa. Nakubaliana na mwanasiasa aliesema tunahitaji hospitali ya waliologeka . Mimi nasema...tunahitaji hospitali ya maCCM!
Wewe unaemshabikia lowasa kisa yuko chadema hata chama chenyewe hakijui ndo umelogwa tena aliekuloga keshakufa lowasa kakaa ccm muda gani na ufisadi wote ulotokea kwenye inchi hii ulishawahi kumsikia kaukemeaa katiba mpya chadema waliondoka yeye aliondoka yule ni ccm damu chadema kafata uraisi tu na akishindwa sijui itakuaje!