Edward Lowassa aumbuka Arumeru Mashariki


Hakuna mbunge mkubwa kuliko chama,ili uwe mbunge ni lazima upate baraka za chama,ukivuliwa uanchama hakuna ubunge mzee..mnec ataendelea kuamua hatma ya mbunge daima ndani ya chama chetu sijui huko kwenye chama vinega mnautaratibu gani wa kuwapata wabunge wenu..
 
Don't waste ur time Man, CCM ni chama ambacho kimeshakufa kinachofanyika sasa ni postmortem ya kuhalalisha sababu ya kifo cha marehemu.
Atakufa lowassa wako ccm palepale mzee....
 
Hakuna dini inayohubiri Umaskini!!

HALAFU WEWE KIJANA NI MTU HATARI SANA,HII PICHA UMEKUA UKIIMISUSE SEVERAL TIMEs NIMEKUA NIKIKUSTAHI TU BUT SASA NGOJA NISEME NAONA TOO MUCH,PESA HIZI LOWASSA HAKUWAPA BAKWATA KAMA UNAVYOTAKA WATU WAAMINI,BALI ZILIKUWA NI PESA KWA AJILI YA SHULE MAALUM(SIJUI HATA KAMA ILIWAHI KUANZISHWA)YA MWANASOKA WA ZAMANI SULEIMAN MATHEW AMBAE ALIWATUMIA MUFTI NA TIBAIGANA KUFANIKISHA "UPIGAJI" HUO UNAOUONA PICHANI AMBAPO LOWASSA ALIPIGWA HELA NA MATHEW KWA KILE KILICHODAIWA KUCHANGIA UJENZI WA SHULE MAALUM YA KUKUZA VIPAJI VYA SOKA...BAADAE MATHEW ALIANZA KUONEKANA AKIENDESHA MAGARI.

kwa ambao sio watu wa mjini kama wewe chukueni hiyo,mufti na tiba mathew aliwatanguliza mbele kama walezi wa kituo hicho ili kufanikisha upigaji wake.....
 
KIM K, hoja zako huwa hazina mashiko kutokana na CHUKI na UDINI

SIFA YA UDINI KAKA UNANISINGIZIA ILI TUONEKANE TUKO SAWA,HILO LAKO NA SIO SIRI TENA HUMU JAMVINI HADHI YAKO IMEKUA IKIPOROMOKA KILA KUKICHA NA KILA MTU ANKUJUA WEWE KWA MAMBO MAWILI TU MOJAWAPO LIKIWEMO ULUTHERI WAKO kUPITA KIASI,UNA CHUKI NZITO SANA NA WAKATOLIKI NA WAISLAM UKIAMINI NDIO WANAOZUIA MLUTHERI KUWA RAIS...
 
bora wewe umeuliza.
Jibu - ndiko walikoanzia wakati wanaingia mjini!
Ulikuwa hujui hilo?

umechanganya mambo kina mpoki hawajawahi kuwa kaole,walikua mambo hayo group ile ya kina bishanga,waridi na aisha...hapa kila kitu cha kimjini uliza utakipata kaka,nyie tushindane kwenye politics tu mambo ya mjini hapana...
 
Kweli mkuu kwanini Matola hajiamini?
 
Acha uwongo . Lowassa siyo mjinga kiasi hicho yaani badala ya kutumia wapambe yeye mwenyewe ndo atume msg ? Hujanishawishi bado we utakuwa umetumwa . Hajafikia kufanya ujinga mraisi kama huo.

Bear in mind kwamba ni shareholder kwenye mtandao wa Vodacome !
angeweza kutumia fake identity bila kujulikana
 
aada ya yooote... EDWARD LOWASSA HAJAUMBUKA ARUMERU!!! WALIOUMBUKA NI WAPIZANI WAKE
 
kama ni kweli kwa chanzo inamaanisha mgombea SIOI tayari amepoteza sifa na SARAKYIKA kisha shindwa cha msingi atangazwe mshindi na kuepusha gharama za uchaguzi Tendwa yuko wapi haya hayasikii na wala haoni au wazee wa kimila hawajamwambia.
 
Ni kweli mkuu kilicho baki watangaze mshindi kwn c tayari anajulikana!!
 
kweli ficha uchi hufichuliwa! ameumbuka na mikakati ya kumweka shemeji wake mjengoni! EL inamhusu nini jimbo la AR mashariki? ana agenda gani ya siri huko? hongerenn TAKUKURU kwa kazi ila angalien msipewe fungu ili spid yenu iishie mlima Meru
 
Nabii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…