Edward Lowassa ashiriki kampeni za Uhuru Kenyatta

Edward Lowassa ashiriki kampeni za Uhuru Kenyatta

Sipendi kabisa haya mambo ya wanasiasa wetu kujiingiza kwenye siasa za nchi zingine hususan hizi za jirani.

Hata Magufuli naye aliwahi kushiriki kwenye kampeni za Odinga.

Disgraceful!!
Obama wakati wa kampeni aliendaga Ulaya. Akapokelewa na viongozi huko. Huku kwetu wetu wanawafuata wanaokampeni huko kwao. AJABU. Alieanzisha hiyo tabia mbaya Magu.
 
candidate Raila Odinga four days to polls By Stephen Mkawale and Robert Kiplagat | Published Thu, August 3rd 2017 at 13:32, Updated August 3rd 2017 at 19:32 GMT +3 SHARE THIS ARTICLE Share on Facebook Share on Twitter

A section of Maasai leaders from Kajiado and Narok Counties converged in Narok and passed what they termed the Suswa Declaration - to vote for Raila Odinga - arguing that he will protect their rights to own land. Led by Kajiado Governor David Nkedianye, Narok gubernatorial candidates Patrick ole Ntutu of Chama Cha Mashinani (CCM) and ODM's Joseph Tiambati, the leaders said Raila has demonstrated that he has the interests of the Maa community at heart and they can no longer gamble with their votes. “As Maa speaking tribes we have made up our minds about who to vote for on Tuesday next week. And that is Raila Amolo Odinga of the National Super Alliance," declared Nkedianye. Speaking at the historic Suswa grounds in Narok East constituency Wednesday, where the NASA principals led by Raila addressed one of their final rallies in the region, Nkedianye said their major problem, over the years, has been land rights, which successive government regimes had failed to solve.
Read more at: Maasai leaders endorse NASA presidential candidate Raila Odinga four days to polls
 
Ni kweli hayo mamvi yana hakili nyingi si ndio mana katuingiza kwenye mikataba ya richimond acheni ubwege nyie.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kicwani kwako kuna dagaa wengi sana, inabidi uwavune, unyumbu ni kufuata mkumbo kama wewe na ulioaminishwa tumejenga mahakama ya mafisadi halafu haina kesi na majaji wake wanavuta mshahara bure! Kama ni fisadi mbona hashtakiwi? Zwazwa agiza bili talipia!
 
Akae atulie hivyo hivyo, mambo ya Wakenya hayamhusu ajali ya kwao Tanzania
c328f07f2ab2c59e38097aaf5b2e0cd9.jpg
Na Magu anavyomuunga mkono Odinga hamuoni. Hata katoa onyo kwa serikali ya Kenya kuto kumweka ndani. Vipi yeye anapoweka ndani wapinzani?
 
Na Magu anavyomuunga mkono Odinga hamuoni. Hata katoa onyo kwa serikali ya Kenya kuto kumweka ndani. Vipi yeye anapoweka ndani wapinzani?
Magufuli ana familia yake ya Tanzania hana mamlaka ya kufanya Maamuzi ya Uhuru Kenyatta wa Familia ya Wakenya! Umeishakuwa Mhenga, punguza Utoto!
 
Magufuli ana familia yake ya Tanzania hana mamlaka ya kufanya Maamuzi ya Uhuru Kenyatta wa Familia ya Wakenya! Umeishakuwa Mhenga, punguza Utoto!
Hakuna uhenga kauli yake kaitoa hadharani kama vile yule Uhuru ni DC wake. Utoto mnao nyinyi mliokaa kimya msimkemee mdogo wenu mnamkemea mzee mwenye busara ya ujirani mwema [emoji35]
 
Nilikuwa sijui kama kweli wanakisasi kiasi hichi yaani kutoungwa mkono na Raila ndo wamehamia kwingine.. Siasa bana ikifika 2020 Kenyatta asipowaunga mkono wanaamia kwa Raila tena na wacha mchezo uendelee....

The only problem is the man is a good loser asije akamwambukiza na Kenyatta... na waza waza tu

Sent from my SPH-L720 using JamiiForums mobile app
 
Lowassa hajawahi kushinda vita, asije akamwambukiza KENYATA gundu lake
 


Ukianzia dakika 5:20 utaona maoni ya kenya kuhusu Lowassa...
 
Tumekua tukiona Rais JPM akionyesha urafiki na ukaribu wa dhati kabisa na Mgombea urais wa upinzani Kenya ambaye ni Raila Odinga. Imeonekana wazi kuwa Rais JPM anampa sapoti kabisa Ndg Raila Odinga ili ashinde uchaguzi wa Kenya mwaka huu.

Vivyo hivyo tumemuona aliyekuwa Mgombea urais wachama cha upinzani Tanzania mwaka 2015 Edward Lowassa, akimsapoti kwa hali na mali Rais wa Kenya Uhuru Kenyata ili aweze kushinda uchaguzi kwa mara ya pili nchini Kenya.

Edward Lowassa ashiriki kampeni za Uhuru Kenyatta

Hii Imeonekana kama ni mchezo wa kukomoana baina ya wawili wa Kenya na wawili wa Tanzania.

Yaani Mpinzani mkuu Tanzania, anamsapoti mtawala wa Kenya na mpinzani mkuu Kenya, anapewa sapoti na mtawala wa Tanzania.. Is it a coincidence?

Binafsi mimi sipendelei kwa wanasiasa wa nchi yetu kuingilia chaguzi za wengine in order to get something in return. Hii ni kutokana na ukweli kwamba, marais nao ni binadamu, huwa wanakasirika na huweza pia kulipa kisasi.

Sidhani kama JPM anafurahia Lowassa kumuunga mkono uhuru, na sidhani pia kuwa Uhuru anafurahia Odinga kusapotiwa na Tanzania.

Hivyo, kuna harufu flani ya kuja kulipizana visasi na kukomoana in the future baina ya nchi hizi mbili kisa tu fulani alimsapoti fulani.

Yaani uhusiano wa hawa watu wanne, maana yake chanya yenye manufaa kwa wananchi wa nchi hizi mbili ni yapi? Naona ni kila mtu anamsapoti mwenzake kwa ajili ya faida yake mwenyewe ya kuja kusapotiwa pia ili ashinde.

Inaleta picha mbaya kwa Rais wetu kumsapoti mpinzani wa Rais wa nchi jirani badala ya kuwa neutral kwa kuimarisha uhusiano wa kidiplomasia bila kufungamana na upande wowote.

Pia inaleta picha mbaya kwa mpinzani mkuu wa nchi yetu kujihusisha moja kwa moja na kampeni za Rais wa nchi jirani. Hii itamletea uhasama na mpinzani wa nchi hiyo endapo mpinzani huyo akishinda.


Ngoja nipate asali na mdalasini narudi..
 
Hizi ndizo zinaitwa siasa za kimataifa. Yasije yakatokea ya USA na Urusi.
 
Back
Top Bottom