mchambuzixx
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 1,292
- 946
Huyu mtu atakua na nyota ya kupendwa si bure,
Huku kupendwa kwake KUMEVUKA mpaka huku mitaani ni hatari maana ukipita huku lowasa ukienda huku lowasa vijiwe vya kahawa ni lowasa..ukienda huku utasikia vibabu vinasema anaijua sana serikali huyu lazima ashinde vijana ndio kabisa wanamiminika kuchukua vichinjio kwenye bvr DAR....
Yaani kama anatumia ndumba atuambie mganga wake maana nackia kingunge ni mwenyekiti wa chama cha waganga wajadi pengine keshafanya yake, ccm nao badala ya kumnadi mgombea wao kila kukicha ni matamko na live press conferency zisizo na maana ...mwaka huu kazi ipoooo.
Upepo wa magufuli umeyeyuka hata kabla kampeni hazijaanza....
CCM wamebaki na propaganda za Dr slaa ....naawaambia hata slaa ikitokea akatoka moto wa lowasa umeshawaka kuzimika kwake lazima kazi ifanyike