OgwaluMapesa
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 10,942
- 437
Lowassa ni level nyingine kabisa.... Yaani huku mitaani kila kona ni Lowassa tu, kwa bodaboda ndio usiseme kabisa..... Huyu jamaa ni noma...
Tembea uone
Na watu wa Kigamboni wamemwambia POMBE kuwa"wakati unapandisha nauli ya kivuko ulituambia kuwa asiye na hela aogelee.Sasa na wewe Leo ni zamu yako kuogelea kufuata kura zetu"
Hahahaaaaa wanakigamboni wametisha sana.Tembea uone
Na watu wa Kigamboni wamemwambia POMBE kuwa"wakati unapandisha nauli ya kivuko ulituambia kuwa asiye na hela aogelee.Sasa na wewe Leo ni zamu yako kuogelea kufuata kura zetu"
Hapo tu ndipo ulipoharibu..
Arrrgggghhh
Kila siku kuanzia mchakato wa uras uanze ,vyombo vyote vya habari ni LOWASSA tu kwa ubaya au uzuri wake,mitandaoni ni lowasa tu jamani nimekubali huyu bwana ni mwanasiasa mkubwa sana.Nafikiri kumlinganisha na MAGULI ni kosa mana ukiandika habari ya magufuli bila ya lowasa cku hiyo hautapata soko la gazeti.Hivyo lowasa ni tembo na magufuli ni sawa nasungura kisiasa kwa sasa tz.
Mbona mm sijawahi kula hata kumi ya lowasa lakini still namkubali laana

Lowasa humu humu na siyo kwa wananchi wa mitaani.
Nani kakwambia huku mtaani kila mtu anakwambia kura yake ni lowasa hayo mengine watabeba ccm na ukoo wao wa panya.
Ni kweli hayo uyasemayo lakini sometimes chukua tahadhari kwa vile na yeye ni mshindani mkubwa, kila mtu ana namna yake ya kufanya mambo. Nasema haya nikikumbuka yaliyomkuta Mrema NCCR mwaka 1995. Yeye alikuwa hanunui mafuta ya gari si kwa kukwepa gharama bali watu waliamua kuwa mafuta ya petroli kwa kulisukuma gari lake popote palipokuwa na mikutano yake. Lakini mwisho wa siku alipigwa mweleka kwa mbali sana. Nia ya kuishinda CCm ni nzuri lakini over=confidence inaweza kukusahaulisha kuchunguza mbinu za adui.
mamaeee xko,Si mmezaa naye au umesahau?