Edward Lowassa ana nyota ya kupendwa, ni hatari

Edward Lowassa ana nyota ya kupendwa, ni hatari

Utabiri wangu nilioufanya kwa kina.....endapo Lowasa angeligombea uraisi ccm....basi UKAWA43% ccm57%.....hali imekua tofauti sasa.....UKAWA 60%.....ccm 40%...hiki kitu hawatoamini ccm na matokeo ya uraisi yatachelewa kutolewa lakn ukweli utabaki palepale.....mwaka 2010 ccm walipata 61% na 39% zikaenda upinzani.....je hii kasi ya jamaa nihatari
Hahahaha
Eti utabiri wako wakati huo ni utaflti uliofanywa na company ya kimarekani ya greenberg.com ambayo imesema Lowassa atashinda kwa asilimia 60 dhidi ya ccm asilimia 40.
 
Kumbe ile habari ya kuzuia mafuriko kwa mkono CCM ilikuwa zuga tu bali huku alikojiunga ndio mvua ya mafuriko. Kweli CHADEMA ni mpango wa MUNGU

mmedanganyika na hiyo 10bn?
ngojeni jamaa akaukarabati Ukumbi wa Billy
akirudi na swaga nyingine muwe Matajiri km Mengi kula mtanzania awe tajiri
baada ya hapo wanakula kona na mlango wa Ikulu mtausikia redioni Oktoba hii
 
Hata mie nashangaa kwa nini Lowassa ana kiki hivi kwa watu?
Inawezekana ana damu tu ya kupendwa. watu wengine wamezaliwa na bahati ya kupendwa.
 
Ndugu uwe na akili tena ulijuwe taifa hili kiundani Lowasa anapendwa kwa pesa zake na wala sio kwa jambo lolote lile lakiheshima ila magufuli ni buludoza kweli hakuwahi toka kwenye top ten za utendaji kazi bora for more than 20yrs
Huyu ndie rais anayekuja hata kwa mtutu wa bunduki ndie rais kama utaki susbiri utaona na kuamini.
Hii ndio tanzania
Wewe ni msukuma!!!?
 
Mr president
 
Attachments

  • 1438396577673.jpg
    1438396577673.jpg
    12.2 KB · Views: 227
lowasa sio ---- kwenda CHADEMA ana jua wanao muunga mkono ,zile kadi za ccm mlizo mdhamini nasikia simejaa pipa 7 yaaani akigawa kila choo cha shule za msingi tanzania wanapata kadi 50 kwa ajili ya kuchambia.
 
Wataibuka watabiri wengi sana mwaka huu, km sheikh yahya
 
Mleta mada muogope Mungu Jamani nani kakwambia Magufuli anajihusisha na mambo ya siasa tena hata kusikia hataki kabisa Dah! Jamani kuna watu wanajua kumpakazia mtu Magufuli alishaachana na huo mchezo kitambo tokea asikie fununu the super Mogul Lowassa amekoma.
 
Hatalijutia hilo...kosa lake ni kuifanya ccm mali ya familia yake....ninashangaa hata waliobaki ccm wana akili za namna gani
well said mrembo,, wema alijiona mshind tayar kwa kununua watu wampoke kwa shangwe lakin mwisho wa siku akaangukia pua tena mtu wa mwisho kabsa, najua hata Lowasa nae ataangukia pua hiv hiv
 
Ujue ukiona unaongelewa sana kwenye media na kila lawama zinaelekezwa upande wako. Ukiwa na pesa kila mtu atakupenda. Wapambe kila kona. Mwanasiasa aliye safi anasimamia kile alichokiongea ila mwanasiasa magumashi hawezi. Namkubali Slaa kwa msimamo wao. Nilikuwa mshabiki sana wa CDm ila now nimebaki neutral. Nawaangalia tu...
 
Ndugu uwe na akili tena ulijuwe taifa hili kiundani Lowasa anapendwa kwa pesa zake na wala sio kwa jambo lolote lile lakiheshima ila magufuli ni buludoza kweli hakuwahi toka kwenye top ten za utendaji kazi bora for more than 20yrs
Huyu ndie rais anayekuja hata kwa mtutu wa bunduki ndie rais kama utaki susbiri utaona na kuamini.
Hii ndio tanzania

Mbona mm sijawahi kula hata kumi ya lowasa lakini still namkubali laana
 
Mleta mada muogope Mungu Jamani nani kakwambia Magufuli anajihusisha na mambo ya siasa tena hata kusikia hataki kabisa Dah! Jamani kuna watu wanajua kumpakazia mtu Magufuli alishaachana na huo mchezo kitambo tokea asikie fununu the super Mogul Lowassa amekoma.

Ha ha ha ha teh teh lowasa bhana ni kelele ingine
 
Ujue ukiona unaongelewa sana kwenye media na kila lawama zinaelekezwa upande wako. Ukiwa na pesa kila mtu atakupenda. Wapambe kila kona. Mwanasiasa aliye safi anasimamia kile alichokiongea ila mwanasiasa magumashi hawezi. Namkubali Slaa kwa msimamo wao. Nilikuwa mshabiki sana wa CDm ila now nimebaki neutral. Nawaangalia tu...

Ungekuwa shabiki kweli wa CDM usingethubutu kupingana na maamuzi ya mwenyekiti wako kumbaavuuuu
 
Kila siku kuanzia mchakato wa uras uanze ,vyombo vyote vya habari ni LOWASSA tu kwa ubaya au uzuri wake,mitandaoni ni lowasa tu jamani nimekubali huyu bwana ni mwanasiasa mkubwa sana.Nafikiri kumlinganisha na MAGULI ni kosa mana ukiandika habari ya magufuli bila ya lowasa cku hiyo hautapata soko la gazeti.Hivyo lowasa ni tembo na magufuli ni sawa nasungura kisiasa kwa sasa tz.
 
Ni makosa kumlinganisha Lowassa ambaye anasimama kama (product) iliyo pimwa na kukubalika vs mipombe ya kuharisha isina vipimo aka Makomeo
 
Huyu jamaa ni jembe sana namkubali tokea alipokuwa CCM na nilidhamiria kumpa kura hata akiwa Ccm na niliamini mbadala wake ni Makongoro Nyerere ila wote chali ila sasa niko UKAWA
 
Back
Top Bottom