Attitude friends!
Yaani hakuna kitu positive mnachoona cha nyumbani? Story siku zote ohh mara Wizi ohh ubadhirifu ohh mara uzembe ohh mara njaa ohh mara magonjwa n.k
Mkuu naifahamu bongo saana.......hio 50k ina maana kwa mwezi ni more than 4000USD huu ni mshahara wa watu wachache saana tena naweza kusema wale top executive ambapo kuzipata chances kama hizo ama ujulikane undugunization au ulale kwa waganga wa kienyeji.............
Thanks YNIM kwa kujiongelesha pia, and thanks for 50K [proud au sio?], but i forgot.... pole for slavery mind!
If i was to generalize, i would say everyone gets 50K, but knowing we have average income less than that, i picked on one!! Its also funny when some of your type wish to hear bad new only from Bongo like no one is happy, enjoy the good country built by some of former slaves and when we visit there we will always cherish their contribution for the best country in the world ...but that wont make any of the USA citizen or wahamiaji better than any other
Now does that makes you better slave minded than others?
BTW, just one question... is it true that educated TZ immigrants face tough time in the US, or its the uneducated TZ immigrants face tough time in the US?
Tusidanganyane bana kila mtu anaijua tanzania....hao wanaopata USD 4k na USD 20k ni wangapi aisee???Mkuu,Inategemea unaongelea staff wa wapi.Kama ni serikalini ofcourse what u r saying is true.Ila ukumbuke wigo wa ajira bongo sasa ni mpana zaidi.
4000 usd unashangaa!! mbona ni kitu cha kawaida kwa mid level staff kuipata? Top exc. hadi 20,000$ kwa mwezi watu wanapata unaongelea 4000.
Data please.......Sijui ni kwa kiasi gani wenzetu walioko ughaibuni wanaremit chochote huku bongo lakini wenzetu kutoka say Phillipines, Pakistani, Sri Lanka na kwingineko wanachangia sana pato la nchi zao.
Tusidanganyane bana kila mtu anaijua tanzania....hao wanaopata USD 4k na USD 20k ni wangapi aisee???
Si ndio uko BOT mnapopeana kazi kwa kuangalia ubini wako......
Data please.......
nae hajui ni maneno kayatoa saluni na kuyabwaga JFExactly ni nani au kina nani hao wanaolipwa $20,000 kwa mwezi? Tunaweza kupata mifano?
mshahara wa mtu ni personal kutegemeana na negotiation na what u r worth!Exactly ni nani au kina nani hao wanaolipwa $20,000 kwa mwezi? Tunaweza kupata mifano?
nae hajui ni maneno kayatoa saluni na kuyabwaga JF
mshahara wa mtu ni personal kutegemeana na negotiation na what u r worth!
Hivyo mnashauriwa mtafute those highly paying jobs
si ndio wezi hao wakina chenge eta lsiyo kila mwanamke ni busy body ehh!!
ndo ukae ukijua kuwa bongo hii hii kuna wenye kupeta na siyo lazima uambiwe kama hujui.Kalagabaho!
That's very lame of you!! Unatumia kisingizio cha confidentiality....puliiiiz. Kwani hawazitangazi hizo kazi zinazolipa hiyo $20,000.00 kwa mwezi?
Okay, unaweza kunipa mifano ya kazi ambazo zinalipa huo mshahara?
Watz acheni kukimbilia US nendeni mkalime mashamba na ardhi tunayo! Geuzaulole huko, acheni box
Hujajibu swali la ng'waninyami..Tatizo la watz wengi ndiyo hili...too much spoonfeeding expected. Na tena mtu anaanza kwa kejeli na mibezo ya hapa na pale badala ya kutafuta kujua afanyeje naye avumbue mambo mazuri.FYI IM NOT JUST ASSUMING naongea kwa kujiamini nazungumza nini.Kama unajua kusoma between the line haya.
haya mambo ndio anasemaga kikwete akienda ughaibuni......ooh kazi zipo njooni..opportunity zipo kibao..nyie kama wazawa nawakikishia kuna fursa nyingi njooni mjenge kwenu......hii thread inaonyesha pia jinsi watu wanavyofikiria kuajiriwa tuuuu!! Kuna other sources of good income jamani.... u just need to think creatively tu.
Yo yo na mwenzako ...kama mnataka kujua ... mtajua tu lakini si kwa namna mnavyolazimisha.haya mambo ndio anasemaga kikwete akienda ughaibuni......ooh kazi zipo njooni..opportunity zipo kibao..nyie kama wazawa nawakikishia kuna fursa nyingi njooni mjenge kwenu......
...hizo fursa jamani zitajeni.....