Madela Wa- Madilu
JF-Expert Member
- Mar 24, 2007
- 3,063
- 744
1. Yaani mimi na mara ya kwanza kuona Mtanzania anakosa uzalendo na kusifu US au UK-a developed country kuliko home for whatever reasons!
Mkiona vinaelea basi vimeundwa!
Karibuni sana nyumbani ndugu zangu..bado ni nyumbani kwenu tu ni sehemu ya historia
yetu!
Karibuni Supu tam ya Kuku wa Kienyeji, Kongoro safi na mengine mengi tu mazuri tele!
2. Tz imebadilika sana na opportunities kibao tu! Wako wengi wameishi nje mda mrefu na kurudi Bongo na kuwa challenged na makubwa peers wao walioyafanya kwa mda mfupi bila hata kuiba!
3. Maendeleo ni popote tu duniani..sema uskae ukadharua nyumbani na wazee na mila
zetu! Wazee husema "Mpanda ngazi hushuka"!
Point ni kuwa acha kujiongelesha na ku-generalize juu ya vitu usovielewa vizuri...kila mtu na maisha yake na kwa taarifa tu hakuna kilichoniuma!! Hongera kwa mshahara wako wa $50k ndani ya bongo!😀
Blah blah blah bado unaendelea kujiongelesha tu!? Eti slavery mindi...so what?? Kama the educated au the uneducated Tzanians face hard time in US wewe ina kuhusu nini? Wangekuwa TZ wangefanya nini? Hata kujibishana na wewe ni kupoteza muda tu....nimemaliza!!!
Thanks YNIM kwa kujiongelesha pia, and thanks for 50K [proud au sio?], but i forgot.... pole for slavery mind!
If i was to generalize, i would say everyone gets 50K, but knowing we have average income less than that, i picked on one!! Its also funny when some of your type wish to hear bad new only from Bongo like no one is happy, enjoy the good country built by some of former slaves and when we visit there we will always cherish their contribution for the best country in the world ...but that wont make any of the USA citizen or wahamiaji better than any other
Now does that makes you better slave minded than others?
BTW, just one question... is it true that educated TZ immigrants face tough time in the US, or its the uneducated TZ immigrants face tough time in the US?
"umeuza passport wewe" imemkuta jamaa wangu passport yake iliibiwa huko majuu alikoma.....ubalozi haukumsaidia wala nini......kaeini huko huko aisee hapa hali ni ngumu saaana kuliko mnavyosoma JF.....Tkiwa hapa hawatujui wala hawaongei na sisi, ukienda Ubalozini unaitwa msumbufu.
mkuu MTM 2seme ukweli tu kwa sisi tulio bongo......hali hapa sio kabisa......hata kama una elimu haikufai kitu situaton ya wasomi wa majuu sio kama yetu wewe unapata 50k hongera sana......Maumivu ya kichwa huanza poole pole, jazba... jazba!!! I didnt know this thread was for those in agreement alone!!!
Pole
"umeuza passport wewe" imemkuta jamaa wangu passport yake iliibiwa huko majuu alikoma.....ubalozi haukumsaidia wala nini......kaeini huko huko aisee hapa hali ni ngumu saaana kuliko mnavyosoma JF.....
".....kaeini huko huko aisee hapa hali ni ngumu saaana kuliko mnavyosoma JF.....
elimu ya majuu ni rahisi kuliko ya bongo, i have had the opportunity kusoma mlimani na kupiga masters yangu ulaya. hizi shule nyingi za mamtoni unaingia darasani mara moja ua mbili kwa wiki? unaweza kumudu kusoma huku unapiga mzigo zaidi ya masaa arobaini na viwanja unajirusha kama kawa. Hakyanani nigekuwa nafanya hivi enzi zangu za mlimani- wangekula kichwa!tukumbuke pia shule zetu za kibongo walimu wana mitihani ile ya kukomoana, wanafunzi wengi wakifeli mwalimu ndio anajiona mjanja, mara ngapi umewahi kukutana na maswalli kwenye mtihani ya topics ambazo hata mwalimu hajawahi kufundisha?enzi hizo tena kulikuwa hakuna hata system ya semister,unafanya ues za masomo sita na maswali yanacover topics zote ulizosoma kwa whole accademic year!
Sisi tanabanana hapa hapa yaani hadi kileweke!!!!
Sasa wote ndugu zangu tutafute opportunities US?
Hamna kitu hizo ni hadithi za Jk na mafisadi wenzi ili mrudi muadhirike...Kuna baadhi wanaanzisha makampuni na wengine hata migodi , nk.
Huu ni ushauri ambao huwa napata mara kwa mara kutoka kwa rafiki zangu/former colleagues walioko TZ. But I often question their sincierty, maana wao bado wapo tuu na wala hawafanyi jitihada ya kuondoka.. badala yake naona wanazidi kujichimbia. Kuna baadhi wanaanzisha makampuni na wengine hata migodi , nk.
Unaamini kila uanachoambiwa?
Kuanzisha Migodi na Kampuni au kusajili jina la kampuni na kusambaza business kadi?
Si mdharau mtu, lakini niukweli uliowazi kwamba Tanzania fedha inathaminiwa kuliko kazi.
Sisi ni wepesi wa kuunda kampuni za kifilisi vihenge vya taifa lakini si kuunda kampuni za uzarishaji mali wenye kuleta tija ya kitaifa.
Ni Bora kumwingiza mgeni afue umeme mbuzi baada ya kutia ndani kitita cha rushwa na kuvunja sheria zote ,kuliko kuunda kampuni ya kufua umeme itakayoondoa tatizo la umeme na kuleta kipato siku zote.
Mimi siamini kila nisikiacho.
mkuu MTM 2seme ukweli tu kwa sisi tulio bongo......hali hapa sio kabisa......hata kama una elimu haikufai kitu situaton ya wasomi wa majuu sio kama yetu wewe unapata 50k hongera sana...
Kamudu,Pamoja na maeleso masuri sana kiingelesi chako bado kiko matatiso ya grammar!