Edgar Kibwana na wengine mnatumiwa na nani na kwa manufaa gani?

BilioneaPATIGOO

JF-Expert Member
Jun 23, 2012
12,321
11,315
Kama mdau wa michezo kuna kitu hakipo sawa, hasa hawa watangazi wa michezo wa mpira wa miguu Tanzania makanjanja.

Yeye kung'ang'ania kuwa Watanzania wamesoma public notice ya tume ya ushindani kuhusu thamani ya klabu ya simba sports club?

Wewe na makanjanja wenzio mmetumwa na nani kuchafua klabu ya SIMBA? maswali yako ya KINAFIKI ukiwa unauliza kua kama watu wamesoma hio public notice, kana kwamba kuna kitu personal ambacho unacho na klabu ya SIMBA, na sio wewe tu mwandishi kanjanja, na wengine ambao hua "mnachokonoa" mambo ili ionekane SIMBA inafanya mambo kihuni.

Sikiliza nikwambie wewe na makanjanja wenzio wa habari za michezo,SIMBA ni klabu kubwa na taasisi kubwa, na tunafanya mambo kwa weledi wa hali ya juu, sasa nyie makanjanja endeleeni kubwatuka huko kwenye vyombo vya habari, simba tunajua maadui wapo wengi, na maadui wetu wa soka tupo nao hapa hapa nchini. Kila kitu kitawekwa wazi na zaidi itakua aibu kwenu na vituo vya redio mnavyotumia kujikinga navyo.

SIMBA NGUVU MOJA!
 
Ninasikitika sana sijui kwa nini Simba haiweki nguvu kupambana na watu wajinga wajinga na makanjanja waliojaa katika vyombo vya habari wanaochochea na kulazimisha migogoro itokee Simba sasa hivi ambapo inajiandaa kwa mashindano makubwa.

Hii tume ya ushindanini FCC kwa nini inaingia sasa hivi baada ya kuona Simba inafanya vizuri na ikikabiliwa na mashindano makubwa hivi karibuni?Nani yuko nyumba ya haya yote?
 
Katika harakati za Maisha kubali kuchafuliwa, kubali kuchafuka, Watu kama hao tunaishi nao poa tu... Anatafuta ugali wake na sisi tunatafuta wetu ila akivuka mipaka ni za uso anakula
 
Huyo Kibwana na wenzie wameshavuka mipaka siku nyingi sana.

Naanza kulazimika kuamini huenda kuna mkono wa mwanasiasa nyuma yao.

Haya mambo yaliiangusha stand united.Baada tu ya kupata udhamini mnono wa Barick,wachambuzi makanjanja kama hawa akina Edgar Kibwana,wakatumika kuchochea migogoro kwenye club,kwa maneno yao na maswali yenye kuzua hisia za kutokuaminiana.Matokeo yake ni migogoro isiyokwisha hadi stand united leo wako ligi ya kata

Acha umbumbumbu wewe unakumbuka kauli ya Mwamedi kuhusu uwekezaji wake umekwama wapi? Sasa FCC wameanza kujibu mnalialia,ulitaka wao FCC ndiyo waonekane wanakwamisha?.....Simba kufanya vizuri haitakiwi kufuata sheria?
 
Umeona alivyokuwa anaongea kwa hasira? hadi kina prisca wanaona aibu wanajaribu kumkatisha sababu wanajua kinachoendelea nyuma ya pazia
Siyo yeye tu yako makanjanja mengi ni ka mtandao kabisa na kubwa lao liko pale wasafi hilo lina uzoefu kabisa kuna kipindi lilisababisha Aden rage akakata uhusiano wa simba na radio one
Kuhusu uongozi wa simba wa sasa hivi ,yes ni soft na dhaifu sana ku deal na haya makanjanja

nafkiri hata hajj manara keshachoka kujibishana na makanjanja maana hakuna hata back up ya kina kaduguda kaamua kukaa kimya tu labda tumsubiri Juma nkamia atawezana nao ila jamaa ni ka cartel fulani wanhangaika kuleta mpasuko uzuri wana simba wamestukia ndiyo maana umeona kanjanja leo lilikuwa linaongea kwa hasira

Kuna siku mchakato wa mwenyekiti ulipoanza anadai kapokea meseji ikilaumu mchakato,yaani kapokea meseji akiwa hewani, aloooo alilipukaaaaa kaongea dakika 5 nzima anaikandia simba na machakato hakuhangaika hata kupiga simu upande wapili ku balance story
 
Huyo Kibwana na wenzie wameshavuka mipaka siku nyingi sana.

Naanza kulazimika kuamini huenda kuna mkono wa mwanasiasa nyuma yao...
ni cartel kabisa alikuwa anaongea kwa sauti ya hasira yenye wivu mkubwa, uzuri huku mtaani watu washawapuuza sana wanawacheka eti linakazania simba ina thamani ya bilioni 38 wamesema FCC ok wamesema tusubiri utopolo wakifika fcc uone kama makanjanja watachochea kuni kama waanavyofanya kwa Mo.

Kosa alilofanya Mo ni kipindi kile alivyokuwa anasusasusa wakaona udhaifu wake wanajaribu sana kumleta tena kwenye ile angle na inawauma sana kwamba hawaoni dalili ila acha waendelee kula hela za waliowatuma laiti Aden rage angekuwepo dah nilifurahigi sana kipindi kile alivyowapiga marufuku radio one kutangaza habari za simba sababu ya lile kubwa la makanjanja wanaowachukia mabingwa wa nchi lililolopo wasafi fm
 
Huyo Kibwana na wenzie wameshavuka mipaka siku nyingi sana.

Naanza kulazimika kuamini huenda kuna mkono wa mwanasiasa nyuma yao.

Haya mambo yaliiangusha stand united.Baada tu ya kupata udhamini mnono wa Barick,wachambuzi makanjanja kama hawa akina Edgar Kibwana,wakatumika kuchochea migogoro kwenye club,kwa maneno yao na maswali yenye kuzua hisia za kutokuaminiana.Matokeo yake ni migogoro isiyokwisha hadi stand united leo wako ligi ya kata
Palitakiwa kuwepo na kamati maalum kwa ajili ya kupiga spana hawa watu
 
siyo kwa uongozi huu broo naona mwanadada barbra anakazana majamaa yamelala tu,huwezi amini leo simba unasikia kabisa inadhihakiwa redio fulani na kebehi za uongo hadi hasira inapanda halfu kesho kiongozi wa simba anapigiwa simu anachekewa kinafiki na yeye anachekacheka tu interview inaendelea.

Kwa mfano suala la bilioni 20 MO na magori washatolea ufafanuzi zaidi ya mara 10 redioni hata hapo clouds leo jamaa linaongea kwa hasira linadai hiyo hela haijawahi kutolewa ufafanuzi utashangaa kesho kina magori wanapigiwa simu wanajichekesha na makanjanja kama hayo
 
siyo kwa uongozi huu broo naona mwanadada barbra anakazana majamaa yamelala tu,huwezi amini leo simba unasikia kabisa inadhihakiwa redio fulani na kebehi za uongo hadi hasira inapanda halfu kesho kiongozi wa simba anapigiwa simu anachekewa kinafiki na yeye anachekacheka tu interview inaendelea

😬😬😬
 
Ile notice kwenye gazeti uliisoma na kuielewa?
 
lakini hata wanaowalipa ila kuivuruga simba nao ni vilaza sana kwa kweli acha waliwe hela zao sababu mwanzoni technic yao ilifanya kazi hadi MO alikuwa anapanic kwa sasa hakuna kitu kilichobaki ni wapigwe spana tu na juma nkamia ataifanya hiyo kazi vizuri
Hao vijana nimeshawacha kuwasikiliza kitambo sanaa
 
siyo kwa uongozi huu broo naona mwanadada barbra anakazana majamaa yamelala tu,huwezi amini leo simba unasikia kabisa inadhihakiwa redio fulani na kebehi za uongo hadi hasira inapanda halfu kesho kiongozi wa simba anapigiwa simu anachekewa kinafiki na yeye anachekacheka tu interview inaendelea
Kwa mfano suala la bilioni 20 MO na magori washatolea ufafanuzi zaidi ya mara 10 redioni hata hapo clouds leo jamaa linaongea kwa hasira linadai hiyo hela haijawahi kutolewa ufafanuzi utashangaa kesho kina magori wanapigiwa simu wanajichekesha na makanjanja kama hayo
Hukiona viongozi wako kimya, jua Kuna la ukweli, na serikali hii inayoongozwa na jemedari wa Vita ya ufisadi Hon. Magufuli, watu walafi Kama kina Mo na nyie mnaoshabikia vitendo vya konyonyaji, hakika hamtabaki salama. Narudia Tena hamtabaki salama ndugu zangu, hebu badilikeni haraka na muwe mstari wa mbele kukemea tabia za urafi anazofanya huyo mnayedai Ni mwekezaji wenu kumbe mnyonyaji tu. Msiangalie timu inafanya vizuri, angalia na uadilifu pia wa hao wanaojidai wanawekeza. Maendeleo hayana Chama.
 
Sheria gani mbweha wewe?Kwa nini usifuatilie mambo ya timu yako ya utopolo?

Nyie ndio wanafiki mnaoshangilia migogoro ili mfanikiwe kushinda kwa fitna.Utopolo tunawajua bila fitna hamuwezi kufanya chochote

Back
Top Bottom