Edgar Kibwana na wengine mnatumiwa na nani na kwa manufaa gani?

BilioneaPATIGOO

JF-Expert Member
Jun 23, 2012
12,205
2,000
Ninasikitika sana sijui kwa nini Simba haiweki nguvu kupambana na watu wajinga wajinga na makanjanja waliojaa katika vyombo vya habari wanaochochea na kulazimisha migogoro itokee Simba sasa hivi ambapo inajiandaa kwa mashindano makubwa.

Hii tume ya ushindanini FCC kwa nini inaingia sasa hivi baada ya kuona Simba inafanya vizuri na ikikabiliwa na mashindano makubwa hivi karibuni?Nani yuko nyumba ya haya yote?
Mkuu, maadui wa mpira wetu tupo nao humu humu nchini, na hao ma cartel wanatumika na viongozi wakubwa either wa mpira wa miguu au vilabu vya soka, yawezekana pia wanatumika na vilabu tunavyoshiriki navyo kucheza klabu bingwa ya afrika..

Kama serikali ilivyo na mkono mrefu, basi naamin na jamii forum ina mkono mrefu, na ALERT hii itawafikia management ya simba, na ushauri ikiwezekana waunde kitengo kikali cha Ku deal na makanjanja kama haya, na pia kitengo hicho kitahusika na kupigana vikali na propaganda za kipuuzi zinazoendeshwa dhidi ya simba. Kitakua kitengo kama cha kijasusi vile, manara mwenyewe anachoka na hana back up na manara anafanya kazi kubwa sana kuilinda image ya simba, lakini hana ushirikiano, hana timu ya "kijasusi", watakaomsaidia kazi..

Ni dhahiri shahiri sasa simba wameona inaenda hata kuchukua ubingwa wa afrika, achana na huu wa ligi kuu ambao tunao tayari ( anayebisha anywe sumu), kutakua na vita ya kila aina. Hicho kitengo cha kijasusi ni muhimu kiwepo, makanjanja wenyewe walishtuka alivyopigwa mtu goli nne hapa.
 
BilioneaPATIGOO

JF-Expert Member
Jun 23, 2012
12,205
2,000
Huyo Kibwana na wenzie wameshavuka mipaka siku nyingi sana.

Naanza kulazimika kuamini huenda kuna mkono wa mwanasiasa nyuma yao.

Haya mambo yaliiangusha stand united.Baada tu ya kupata udhamini mnono wa Barick,wachambuzi makanjanja kama hawa akina Edgar Kibwana,wakatumika kuchochea migogoro kwenye club,kwa maneno yao na maswali yenye kuzua hisia za kutokuaminiana.Matokeo yake ni migogoro isiyokwisha hadi stand united leo wako ligi ya kata
Kwakweli pole yao stand united. Naona hadi sasa wanahaha tu maskini ya Mungu
 
BilioneaPATIGOO

JF-Expert Member
Jun 23, 2012
12,205
2,000
ni cartel kabisa alikuwa anaongea kwa sauti ya hasira yenye wivu mkubwa ,uzuri huku mtaani watu washawapuuza sana wanawacheka eti linakazania simba ina thamani ya bilioni 38 wamesema FCC ok wamesema tusubiri utopolo wakifika fcc uone kama makanjanja watachochea kuni kama waanavyofanya kwa Mo
Kosa alilofanya Mo ni kipindi kile alivyokuwa anasusasusa wakaona udhaifu wake wanajaribu sana kumleta tena kwenye ile angle na inawauma sana kwamba hawaoni dalili ila acha waendelee kula hela za waliowatuma laiti Aden rage angekuwepo dah nilifurahigi sana kipindi kile alivyowapiga marufuku radio one kutangaza habari za simba sababu ya lile kubwa la makanjanja wanaowachukia mabingwa wa nchi lililolopo wasafi fm
Sasa hicho kitengo cha kijasusi Ndio kinatakiwa kichukue sharia kama hizo, hakuna chombo cha habari Fulani kutangaza habari za SIMBA.
 
BilioneaPATIGOO

JF-Expert Member
Jun 23, 2012
12,205
2,000
lakini hata wanaowalipa ila kuivuruga simba nao ni vilaza sana kwa kweli acha waliwe hela zao sababu mwanzoni technic yao ilifanya kazi hadi MO alikuwa anapanic kwa sasa hakuna kitu kilichobaki ni wapigwe spana tu na juma nkamia ataifanya hiyo kazi vizuri
Hahaaha juma nkamia namkubali sana, nakwambia sasa Ndio tutaona maspana yakitembea na ujasusi mwingi sana
 
venance7

JF-Expert Member
May 15, 2019
390
1,000
Kiukweli mchambuzi au mtangazaji wa michezo kuwa na ushabiki wa klabu fulani sio dhambi ni kawaida,Ila nimegundua wachambuzi wengi wa Tanzania wana wivu kupitiliza na mafanikio ya klabu ya Simba.Taarifa yeyote wanayoamini ni mbaya wao wataisimamia hapohapo,watu kama kitenge,mkule,David kampista,edgar kibwana Hawa ni mfano,wapo na propaganda za kuhakikisha Simba kuna mivurugano lakini hawaoni dalili,ishu za wakina mzee kilomoni,kuondoka kwa senzo,kuondoka manara,kususa kwa mo na nyingine nyingi walizipa zaidi ya saa nzima ktk redio zao,huyo edgar jana ameshupaza mishipa ya shingo kabisa tena kwa hasira kuwa "mnajua kwamba thamani ya Simba ni bilioni 38 kwa mujibu wa fcc?",kitu ninachokiamini hapa ni kwamba wachambuzi wengi wanatumika,ndani ya uwanja wanaona ni ngumu kwao kuchukua kila kitu Ila kudhoofisha nje ya uwanja,wengi wanaamini kiburi na jeuri ya Simba inatoka kwa dewji na kawaida mo ni mtu wa kususia hivyo wao wanahangaika kumtoa nje ya reli.NB: wachambuzi wa Tanzania eleweni kuwa simba ipo next level ndani ya miaka mitatu tuna rekodi nzuri africa na Tanzania kuliko timu nyingine yoyote kutoka Tanzania.
 
Bila bila

JF-Expert Member
Dec 20, 2016
14,153
2,000
Kama mdau wa michezo kuna kitu hakipo sawa, haswa hawa watangazi wa michezo wa mpira wa miguu Tanzania makanjanja.

Yeye kung'ang'ania kua watanzania wamesoma public notice ya tume ya ushindani kuhusu thamani ya klabu ya simba sports club?

Wewe na makanjanja wenzio mmetumwa na nani kuchafua klabu ya SIMBA,? maswali yako ya KINAFIKI ukiwa unauliza kua kama watu wamesoma hio public notice, kana kwamba kuna kitu personal ambacho unacho na klabu ya SIMBA, na sio wewe tu mwandishi kanjanja, na wengine ambao hua "mnachokonoa" mambo ili ionekane SIMBA inafanya mambo kihuni.

Sikiliza nikwambie wewe na makanjanja wenzio wa habari za michezo,SIMBA ni klabu kubwa na taasisi kubwa, na tunafanya mambo kwa weledi wa hali ya juu, sasa nyie makanjanja endeleeni kubwatuka huko kwenye vyombo vya habari, simba tunajua maadui wapo wengi, na maadui wetu wa soka tupo nao hapa hapa nchini. Kila kitu kitawekwa wazi na zaidi itakua aibu kwenu na vituo vya redio mnavyotumia kujikinga navyo.

SIMBA NGUVU MOJA!
Naanza kwa kudeclare interest,
Mimi si shabiki wa yeyote kati ya Utopolo na Mikia, siko huko kabisa siku nyingi. Mwanzo nilikuwa Pan African na sasa ni shabiki wa Stand United kama mlezi pia.
Lakini niwashangae mashabiki wa Simba, kwa kweli mko tofauti sana na mashabiki wa timu yoyote hapa Tanzania. Yaani siwezi kuwafananisha hata na mashabiki wa Jang'ombe au Chipukizi ya Pemba.
Kwa upande wa uelewa na jinsi mnavyoargue mnazidiwa hata na mashabiki wa Tindo ya Tabora. Yaani kila nayeikosoa Simba kwenu ni adui mnatafuta jinsi ya kumvizia mitaani mumpopoe mawe? Ujinga gani huu? Mbona hatuoni maneno haya kwa mashabiki wa Azam, Yanga au Mtibwa? Hata mashabiki wa Coastal Union au Majimaji ya Songea hawawezi kuwa na maoni yanayofanana uovyo kama yenu wanaSimba. Yaani kila anayeibuka maoni yanafanana na aliyetangulia, mkoje nyie? Angalia wenzenu Utopolo, moja akiongea cha Ovyo mwingine anakataa, lakini nyie ni kama mmetokana na Yai moja!!!? Badilikeni Bwana!
 
desayi

JF-Expert Member
Aug 27, 2017
1,179

We ni utopolo mkubwa
 
njaakalihatari

JF-Expert Member
Feb 12, 2019
1,716
2,000
Kiukweli mchambuzi au mtangazaji wa michezo kuwa na ushabiki wa klabu fulani sio dhambi ni kawaida,Ila nimegundua wachambuzi wengi wa Tanzania wana wivu kupitiliza na mafanikio ya klabu ya Simba.Taarifa yeyote wanayoamini ni mbaya wao wataisimamia hapohapo,watu kama kitenge,mkule,David kampista,edgar kibwana Hawa ni mfano,wapo na propaganda za kuhakikisha Simba kuna mivurugano lakini hawaoni dalili,ishu za wakina mzee kilomoni,kuondoka kwa senzo,kuondoka manara,kususa kwa mo na nyingine nyingi walizipa zaidi ya saa nzima ktk redio zao,huyo edgar jana ameshupaza mishipa ya shingo kabisa tena kwa hasira kuwa "mnajua kwamba thamani ya Simba ni bilioni 38 kwa mujibu wa fcc?",kitu ninachokiamini hapa ni kwamba wachambuzi wengi wanatumika,ndani ya uwanja wanaona ni ngumu kwao kuchukua kila kitu Ila kudhoofisha nje ya uwanja,wengi wanaamini kiburi na jeuri ya Simba inatoka kwa dewji na kawaida mo ni mtu wa kususia hivyo wao wanahangaika kumtoa nje ya reli.NB: wachambuzi wa Tanzania eleweni kuwa simba ipo next level ndani ya miaka mitatu tuna rekodi nzuri africa na Tanzania kuliko timu nyingine yoyote kutoka Tanzania.
asante kabisa,tatizo lilikuja zile mara mbili MO aliposusa nafikiri hata hao wanaowatuma makanjanja waliwapa na bonus ila Edgar kibwana inaonekana ni jitu lenye wivu sana alikuw anaongea kwa hasira kali sana
Nikajiuliza huyu ni mwandishi wa aina gani sababu baada ya statement ya FCC kutoka simba walisema watatoa majibu kupitia kwa msemaji wao na statement ya majibu inatayarishwa na mwanasheria wa simba sasa kama mimi nilisikia yeye kanjanja lilikuwa linataka press conference ya jana itumike kujibu sual la FCC tena kwa lazima ina maana hakujua kuhusu majibu ya simba au ni uchonganishi tu

Najua Juma nkamia atashinda,ASIOGOPE KUZITIA SPANA REDIO ZA AINA HII WAKIWAPIGIA SIMU MSIPOKEE,SMS MSIJIBU WAKIBADILI NAMBA MKAPOKEA WAAMBIENI MKO BIZE waacheni waongee waropoke watakavyo ila muwaapuuze au tangazeni hadharani tuzisusie kama kipindi kile cha Aden Rage na radio one
 
njaakalihatari

JF-Expert Member
Feb 12, 2019
1,716
2,000
Wanaionea wivu Simbaa mnyama
shughuli ni pevu ,kuna wakati unaweza ukadhani nchi nzima ina hamu ya kuona soka la klabu linaenda mbele kumbe wapi bwana ,hii mission ni kubwa sana ni kama zile drug cartel za wa mexico hadi makanjanja yako ndani lakini tutavuka salama ,majamaa yana wivu sana haya mwishowe yasije kutuulia hata wachezaji wetu
 
njaakalihatari

JF-Expert Member
Feb 12, 2019
1,716
2,000
Hukiona viongozi wako kimya, jua Kuna la ukweli, na serikali hii inayoongozwa na jemedari wa Vita ya ufisadi Hon. Magufuli, watu walafi Kama kina Mo na nyie mnaoshabikia vitendo vya konyonyaji, hakika hamtabaki salama. Narudia Tena hamtabaki salama ndugu zangu, hebu badilikeni haraka na muwe mstari wa mbele kukemea tabia za urafi anazofanya huyo mnayedai Ni mwekezaji wenu kumbe mnyonyaji tu. Msiangalie timu inafanya vizuri, angalia na uadilifu pia wa hao wanaojidai wanawekeza. Maendeleo hayana Chama.
bora unyamaze kimya hilo la jana ni mfano mmoja tu haipiti siku makanjanja bila kuongea uongo kwa hasira kubwa kuhusu ma champions hata mtu akijamba pale msimbazi kanjanja fm zinalipuka
 
park don

JF-Expert Member
Dec 2, 2017
1,818
2,000
Sio yeye tu wapo wengi, wanataka kupata umaarufu kupitia simba, anywy tukiwajibu tutawapa umaarufu zaid..
 
kyata

JF-Expert Member
Jun 20, 2015
1,791
2,000
bora unyamaze kimya hilo la jana ni mfano mmoja tu haipiti siku makanjanja bila kuongea uongo kwa hasira kubwa kuhusu ma champions hata mtu akijamba pale msimbazi kanjanja fm zinalipuka
Mafisadi awamu hii mtaimbapoo, serikali imeshtukia janja ya Mo, na nyie situkeni. Hata Kama hamstuki serikali haiwezi kunyamaza, hiko kazini. Haiwekani Simba sc inachukuliwa na kutumiwa na wajanja wachache kwa manufaa yao, ndiyo maana watu waadilifu waliamua kujiweka kando na ufisadi huu, walikuwa huko inaweza watokea puani na ndicho kinachokuja kutokea. Wazalendo piga kelele na kuwa pamoja na serikali kupinga unyonyaji huu wa ksnjibah na genge lake, Fcc kazia hapo hapo, wazalendo wako pamoja nanyi, Ila wake mafisadi watawapinga. Maendeleo hayana Chama.
 
kwaheriiii
 
kyata

JF-Expert Member
Jun 20, 2015
1,791
2,000
Mkuu, maadui wa mpira wetu tupo nao humu humu nchini, na hao ma cartel wanatumika na viongozi wakubwa either wa mpira wa miguu au vilabu vya soka, yawezekana pia wanatumika na vilabu tunavyoshiriki navyo kucheza klabu bingwa ya afrika..

Kama serikali ilivyo na mkono mrefu, basi naamin na jamii forum ina mkono mrefu, na ALERT hii itawafikia management ya simba, na ushauri ikiwezekana waunde kitengo kikali cha Ku deal na makanjanja kama haya, na pia kitengo hicho kitahusika na kupigana vikali na propaganda za kipuuzi zinazoendeshwa dhidi ya simba. Kitakua kitengo kama cha kijasusi vile, manara mwenyewe anachoka na hana back up na manara anafanya kazi kubwa sana kuilinda image ya simba, lakini hana ushirikiano, hana timu ya "kijasusi", watakaomsaidia kazi..

Ni dhahiri shahiri sasa simba wameona inaenda hata kuchukua ubingwa wa afrika, achana na huu wa ligi kuu ambao tunao tayari ( anayebisha anywe sumu), kutakua na vita ya kila aina. Hicho kitengo cha kijasusi ni muhimu kiwepo, makanjanja wenyewe walishtuka alivyopigwa mtu goli nne hapa.
Tatizo lenu mnapenda Sana timu yenu kuliko mchezo wenyewe
 
njaakalihatari

JF-Expert Member
Feb 12, 2019
1,716
2,000
Jaribu kujiuliza kama simba ingekuwa na kesi za kudhulumu mishahara kama za utopolo ingekuwaje?Tambwe,zahera,dante hadi leo hawajalipwa pesa zao full kushtaki hadi FIFA sasa ingekuwa imetokea simba hiyo kanjanja fm zingewaka moto walahi.
Kuna kipindi Ally kamwe alitoa tuhuma za uongo kwamba wachezaji wa simba hawajalipwa mishahara miezi miwili magori akaja juu akidhani ni EFM akawa blast baadaye akagundua siyo wao wakayamaliza maana EFM walitishia kushtaki kwamba brand yao inachafuliwa ingawa kipindi chao cha michezo kuna wawili hapo ni wachafuzi wazuri tu wa brand ya simba kila siku,mwishowe kamwe aliomba radhi kwa uongo huo ila ikitokea utopoloni huko wenye hadi kesi Fifa za kudhulumu mishahara hakuna anayeshikia bango hata kidogo
Huyo kibwana baada ya watu wawili walioutumwa na kampuni fulani wajipenyeze kugombea uenyekiti simba kuchujwa kuna siku aliwaka kinomakinoma redioni akilaumu mchakato wa kuchuja uenyekiti yaani jamaa wanatafuta vurugu simba kwa kila namna
fikiria kama tukio hili ingekuwa kipa wa simba manula anamuelekeza mganga ilipo hirizi akaitoe ,simba liingia tu paka siku hiyo francis mhando anataka kuhusisha tukio hilo na ushindi vs platnum wajanja weledi wakamkatiza wakaweka na tangazo juu yaani mtangazaji unaleta mihemuko ya kimtandaoni kwenye kazi yako inayohitaji weledi?
 
goukun wadey

JF-Expert Member
Apr 22, 2020
211
250
Katika harakati za Maisha kubali kuchafuliwa, kubali kuchafuka, Watu kama hao tunaishi nao poa tu... Anatafuta ugali wake na sisi tunatafuta wetu ila akivuka mipaka ni za uso anakula
Kumbuka; kuna nyakati mbili za kujaji mambo, mosi ni kipindi Mambo yanaenda Vizuri (mafanikio) na kipindi unafanya Makosa makubwa! Hizo nyakati tegemea kusemangwa sana. Muhimu ni wakati huu Simba wako wapi
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom