Edgar Kibwana na wengine mnatumiwa na nani na kwa manufaa gani?

Kumbuka; kuna nyakati mbili za kujaji mambo, mosi ni kipindi Mambo yanaenda Vizuri (mafanikio) na kipindi unafanya Makosa makubwa! Hizo nyakati tegemea kusemangwa sana. Muhimu ni wakati huu Simba wako wapi
Itasaidia sana kama unajitambua katika hizo ntakati, Simba saivi inajitambua sana kupitia management yake yote, they’ve invested a lot na sidhani kama kwa sasa wapo katika wakati wa makosa makubwa yanayowafanya wachafuliwe namna hii

Kama una-perform vizur na unachafuliwa just move on na kama unafanya makosa makubwa na unachafuliwa tafakari unakwama wapi uchukue hatua stahiki regardless ya nani yupo upande wako coz wengi mamluki eg. Senzo
 
Ninasikitika sana sijui kwa nini Simba haiweki nguvu kupambana na watu wajinga wajinga na makanjanja waliojaa katika vyombo vya habari wanaochochea na kulazimisha migogoro itokee Simba sasa hivi ambapo inajiandaa kwa mashindano makubwa.

Hii tume ya ushindanini FCC kwa nini inaingia sasa hivi baada ya kuona Simba inafanya vizuri na ikikabiliwa na mashindano makubwa hivi karibuni?Nani yuko nyumba ya haya yote?
Mafia wa HSC wako nyuma ya hizi hujuma, wamemwaga mamilioni mengi tu kuanzia kwenye media houses hadi kwenye taasisi za kiserikali kuiharibia Simba.
 
Huyo Kibwana na wenzie wameshavuka mipaka siku nyingi sana.

Naanza kulazimika kuamini huenda kuna mkono wa mwanasiasa nyuma yao.

Haya mambo yaliiangusha stand united.Baada tu ya kupata udhamini mnono wa Barick,wachambuzi makanjanja kama hawa akina Edgar Kibwana,wakatumika kuchochea migogoro kwenye club,kwa maneno yao na maswali yenye kuzua hisia za kutokuaminiana.Matokeo yake ni migogoro isiyokwisha hadi stand united leo wako ligi ya kata
Kilichoiua stand united sio watu wa nje, bali zilikuwa ni njaa zao, viongozi baada ya pesa kuanza kuingia!!kuhusu simba/yanga tatizo lenu mashabiki wa mpira nchi hii, mnaendeshwa na mihemuko, na mapenzi, ya virabu, kuliko kuwa wapenzi wa mpira!!yeye MO, mwanzoni aliwaaminisha watu kama wewe kuwa FCC, ndio walikuwa wanamkwamisha, sasa walipoanza kujibu tuhuma hizo, imeonekana nani mbabaishaji!!ile FCC, ni taasisi ya serikali ambayo isipofanya majukumu yake ipasavyo lawama itakuja kuwa kwao, lakini kwakuwa mnaendeshwa na mihemuko mnaona MUDY anaonewa!!ni kweli kuna mambo hayako sawa, ukisoma ile MOU, ya simba, na kilichofanyika hadi leo ni utata mtupu!!hayo mambo ni ya kisheria , tatizo wa washabiki wa bongo kila mtu anajua kila kitu!!kuna mambo mengine watu wamekwenda darasani kusomea miaka si chini ya sita, tuwe tunawapa heshima zao!!hasa kwenye mambo ya sheria!!yaani std three B, anatoana povu na wakili msomi kwenye mambo ya sheria!!ni maajabu!!!
 
Mafia wa HSC wako nyuma ya hizi hujuma, wamemwaga mamilioni mengi tu kuanzia kwenye media houses hadi kwenye taasisi za kiserikali kuiharibia Simba.
Zile bilioni 20 ziko wapi kwanza?!!msitafute mchawi mwambie MUDY, apeleke hizo"documents support"(kulingana na shabiki wa simba mmoja) anavyosema!! Akate mzizi wa fitina mbona ni suala dogo sana!!!yeye aliwaaminisha kuwa FCC, ndio walikuwa wanamkwamisha, sasa mbona walipojitokeza amekuwa mpole?!!huu ni mfumo mgeni lazima changamoto ziwe hivyo sasa isionekane kuwa ni vikwazo kama mnavyojazwa upepo!!hata yanga nao subiria wauanze rasmi lazima kuna changamoto zitajitokeza kutokana na mifumo ya hizi timu zilivyokuwa zikiendeshwa!!
 
Ninasikitika sana sijui kwa nini Simba haiweki nguvu kupambana na watu wajinga wajinga na makanjanja waliojaa katika vyombo vya habari wanaochochea na kulazimisha migogoro itokee Simba sasa hivi ambapo inajiandaa kwa mashindano makubwa.

Hii tume ya ushindanini FCC kwa nini inaingia sasa hivi baada ya kuona Simba inafanya vizuri na ikikabiliwa na mashindano makubwa hivi karibuni?Nani yuko nyumba ya haya yote?
Hata sisi ilikuwa ghafla tu manji akaanza kuzongwazongwa hata haieleweki ilikuwaje hadi tukapoteana so kuwa makini mtani sitaki upite niliyoyapitia mm ni balaaaaaa hapafai
 
Sheria gani mbweha wewe?Kwa nini usifuatilie mambo ya timu yako ya utopolo?

Nyie ndio wanafiki mnaoshangilia migogoro ili mfanikiwe kushinda kwa fitna.Utopolo tunawajua bila fitna hamuwezi kufanya chochote
Haaaaaaahaaaaa simba mkipanic huwa nafurahi kishenzi
 
Kama mdau wa michezo kuna kitu hakipo sawa, hasa hawa watangazi wa michezo wa mpira wa miguu Tanzania makanjanja.

Yeye kung'ang'ania kuwa Watanzania wamesoma public notice ya tume ya ushindani kuhusu thamani ya klabu ya simba sports club?

Wewe na makanjanja wenzio mmetumwa na nani kuchafua klabu ya SIMBA? maswali yako ya KINAFIKI ukiwa unauliza kua kama watu wamesoma hio public notice, kana kwamba kuna kitu personal ambacho unacho na klabu ya SIMBA, na sio wewe tu mwandishi kanjanja, na wengine ambao hua "mnachokonoa" mambo ili ionekane SIMBA inafanya mambo kihuni.

Sikiliza nikwambie wewe na makanjanja wenzio wa habari za michezo,SIMBA ni klabu kubwa na taasisi kubwa, na tunafanya mambo kwa weledi wa hali ya juu, sasa nyie makanjanja endeleeni kubwatuka huko kwenye vyombo vya habari, simba tunajua maadui wapo wengi, na maadui wetu wa soka tupo nao hapa hapa nchini. Kila kitu kitawekwa wazi na zaidi itakua aibu kwenu na vituo vya redio mnavyotumia kujikinga navyo.

SIMBA NGUVU MOJA!
Siku zote ukishaanza tu kuona Mtoto wa Kiume ananenepeana hovyo hasa Mashavu na Makalio kama huyu uliyemtaja hapa jua ameshaharibikiwa.
 
Mashabiki wa bongo ni wapuuzi sana huwa hawataisha kusikia team zao zinaongelewa vibaya hata kama ni kweli, kosa la Kibwana ni wewe ni nini hapo? Yeye ndio kaandika huo waraka wa FCC? yeye kama mwandishi kafanya wajibu wake kutafsiri kilicho andikwa kosa lake lipi hapo una anza kuleta vitu personal , hawa wawekezaji uchwara wanajua weakness za mashabiki wanapita humo humo
 
Kama mdau wa michezo kuna kitu hakipo sawa, hasa hawa watangazi wa michezo wa mpira wa miguu Tanzania makanjanja.

Yeye kung'ang'ania kuwa Watanzania wamesoma public notice ya tume ya ushindani kuhusu thamani ya klabu ya simba sports club?

Wewe na makanjanja wenzio mmetumwa na nani kuchafua klabu ya SIMBA? maswali yako ya KINAFIKI ukiwa unauliza kua kama watu wamesoma hio public notice, kana kwamba kuna kitu personal ambacho unacho na klabu ya SIMBA, na sio wewe tu mwandishi kanjanja, na wengine ambao hua "mnachokonoa" mambo ili ionekane SIMBA inafanya mambo kihuni.

Sikiliza nikwambie wewe na makanjanja wenzio wa habari za michezo,SIMBA ni klabu kubwa na taasisi kubwa, na tunafanya mambo kwa weledi wa hali ya juu, sasa nyie makanjanja endeleeni kubwatuka huko kwenye vyombo vya habari, simba tunajua maadui wapo wengi, na maadui wetu wa soka tupo nao hapa hapa nchini. Kila kitu kitawekwa wazi na zaidi itakua aibu kwenu na vituo vya redio mnavyotumia kujikinga navyo.

SIMBA NGUVU MOJA!
Ukiulizwa mchakato wa kumpata CEO wa Simba ulifanyika vipi utajibu nini?
 
Huyo huyo amepatikanaje, kwanini aliporwa kutoka simba? Kwanini zisingetangazwa kazi na watu wakaomba, kwanini mkaenda kupora kama sio uhuni ni nini? CEO wa simba ni mtendaji mkuu wa club, wewe ulitaka apatikanaje? Au ulitaka uchukuliwe wewe? Acheni siasa kwenye mpirs, acheni watu wapige kazi , tumechelewa sana!!
Usinihusishe na Yanga nme kuuliza CEO amepatikana kwa mchakato upi? huko Yanga Senzo ni mshauri wa mababiliko
 
Jaribu kujiuliza kama simba ingekuwa na kesi za kudhulumu mishahara kama za utopolo ingekuwaje?Tambwe,zahera,dante hadi leo hawajalipwa pesa zao full kushtaki hadi FIFA sasa ingekuwa imetokea simba hiyo kanjanja fm zingewaka moto walahi.
Kuna kipindi Ally kamwe alitoa tuhuma za uongo kwamba wachezaji wa simba hawajalipwa mishahara miezi miwili magori akaja juu akidhani ni EFM akawa blast baadaye akagundua siyo wao wakayamaliza maana EFM walitishia kushtaki kwamba brand yao inachafuliwa ingawa kipindi chao cha michezo kuna wawili hapo ni wachafuzi wazuri tu wa brand ya simba kila siku,mwishowe kamwe aliomba radhi kwa uongo huo ila ikitokea utopoloni huko wenye hadi kesi Fifa za kudhulumu mishahara hakuna anayeshikia bango hata kidogo
Huyo kibwana baada ya watu wawili walioutumwa na kampuni fulani wajipenyeze kugombea uenyekiti simba kuchujwa kuna siku aliwaka kinomakinoma redioni akilaumu mchakato wa kuchuja uenyekiti yaani jamaa wanatafuta vurugu simba kwa kila namna
fikiria kama tukio hili ingekuwa kipa wa simba manula anamuelekeza mganga ilipo hirizi akaitoe ,simba liingia tu paka siku hiyo francis mhando anataka kuhusisha tukio hilo na ushindi vs platnum wajanja weledi wakamkatiza wakaweka na tangazo juu yaani mtangazaji unaleta mihemuko ya kimtandaoni kwenye kazi yako inayohitaji weledi?

Hawa watangazaji wanaoiponda Simba wanapoteza nguvu zao bure maana hakuna wakuzuia mafanikio ya Simba.
 
Huyu jamaa ana WIVU MKALI sana na timu za Tanzania haswa zinazofanya vizuri kimataifa, ana jicho LA HUSDA ..leo hii anasema haoni NAMUNGO ikifanikiwa kwenye kundi lake,..au na yeye alikua anataka share ya pesa wanayopewa namungo ?
tuwe wakweli Namungo anapenyaje kwenye hilo kundi?
 
Hivi hawa mikia vichwa vyao vikoje wao kila mtu anawahujumu mara Senzo anatuhujumu mara Prisca anaihujumu simba nara wasafi wanaihujumu simba mara Kitenge anaihujumu simba hivi kauli ya kuhujumiwa mbona haitoki midomoni mwenu?
 
leo walikuwa wanaongea kwa kipole kuhusu pafomansi ya utopolo kwa ken gold huku wakitoa ushauri kwa kocha kaze..hahaha siku simba kampiga mwarabu last week mpira yulivyoisha kale ka dada ka zbc 2 kanataka hadi kulia macho mekundu ,aiseee duh
kibwana hafichi chuki zake kwa simba,
Nadhani weredi wake umeshuka
 
Back
Top Bottom