Hongera mzee wangu Hassan Dalali kwa kuongea ukweli kwanini akina Baleke wanakosa magoli ya wazi

1979Magufuli

JF-Expert Member
Feb 20, 2023
439
1,754
Sisi tunaojua tamaduni za mchezo wa soka hasa soka la bongo kama huuchezi mpira nje na ukajifanya wewe ni mzungu unaendesha mambo kizungu basi huwezi kutoboa.

Madhara ya kutofanya utamaduni katika soka hata kama unaujua vip, hata kama una kocha mzuri kiasi gani yako kama ifuatavyo.

1.Wachezaji wanakuwa wazito sana uwanjani
2.Magoli ya wazi wazi unakosa uwanjani kama jana na vs Kagera
3.Wachezaji hawachezi vizuri uwanjani, wanaonekana wamechoka, wazee, hawajitumi kumbe majina yao yamefukiwa kaburini
4.Madhara ya kutofanya utamaduni utaishia kupigwa mabao 5 kwa sababu mwenzako anaamini bila utamaduni hawezi kwenda
5.Viongozi hamtaelewana hata kidogo na mtabakia kutuhumiana t.

Leo wakati wa uzinduzi wa hamasa pale Mbagala, mzee wangu ambaye kiutamaduni anatisha na ninamuamini kuliko yoyote ndani ya Simba, mzee Dalali ameongea mambo ambayo kila siku mm nimekuwa nikiwashauri viongozi ingawa wanatuona mafala, wajinga na mawazo yetu ya kihanithi.

Dalali ameomba wazee waruhusiwe waingie klabu kusafisha hali ya mambo, anaona wachezaji wanachezewa, Dalali na hata mm mwenyewe tunaamini kabisa kuna michezo michafu imefanyika kwa wachezaji wa Simba waonekane wazee na hawana uwezo, Dalali amejiuliza kwanini Baleke ambaye ni mfumania nyavu mzuri kabisa anakosa mabao namna hii, Baleke kakosa magoli na Power Dynamo, Baleke kakosa magoli na Al Ahly, Baleke kakosa magoli ligi kuu NBC, Baleke kakosa magoli na Wydad na viongozi wa Simba msipomtafuta Dalali na wazee wenzie kwenda kuondoa uchafu uliowekwa kwa wachezaji pale Bunju basi hamasa mnayofanya haitokuwa na maaan maana Wydad hatofungika.Kaeni mkijua kuwa tuko vitani, ruhusuni kila mwenye mbinu mbadala aende pale Bunju kufanya yake, uwanja wa Bunju mkifanya mazoezi kushinda ni ngumu mechi ngumu, shida hii nyie hamuioni.

Mwisho Dalali amesisitiza umoja ndani ya timu akisema Simba ikiwa moja hakuna wa kuizuia, Dalali anasema Simba hii ni tema mate chini isipokuwa kuna mambo yanatakiwa yafanyike ili wachezaji wawe wepec, uongozi mpeni kazi hiyo Dalali acheni ubinafsi, Wydad hatokuja kizembe na anajua mechi ya Simba ni do or Die.
 
Yaani wewe kwa akili za kishirikina unaongoza. Yaani kila kitu maishani mwako yatakuwa yanaongozwa kwa akili za kishirikina. Dalali alikwambia hayo mlivyokuwa wapi? Mnafanya nini? Ushahidi uko wapi?
 
Fungu la kuwalipa marefarii na baadhi ya wachezaji wa timu pinzani limepungua.
 
How old are you?
 
Yani Simba si ajabu boss kulalamika hasara kila siku. Mnaacha kuboresha timu nyie kila siku ulozi aisee!
 
Back
Top Bottom