Edgar Kibwana na wengine mnatumiwa na nani na kwa manufaa gani?

rodrick alexander

JF-Expert Member
Feb 12, 2012
10,541
2,000
Hivi hawa mikia vichwa vyao vikoje wao kila mtu anawahujumu mara Senzo anatuhujumu mara Prisca anaihujumu simba nara wasafi wanaihujumu simba mara Kitenge anaihujumu simba hivi kauli ya kuhujumiwa mbona haitoki midomoni mwenu?
Wanaosema waamuzi wanawahujumu ni nani .
Manyani katika ubora wenu
 

Billions

JF-Expert Member
Nov 30, 2016
4,339
2,000
Edga kimavi naona ushindi wa mnyama umekuuma, naona umetumwa na maadui kua simba wamehusika kuhujumu sababu ya covid,
***** zenu , this is simba.....
 

Kiti Chema

JF-Expert Member
Oct 18, 2017
1,151
2,000
Ni upuuzi kushabikia timu wakati wanaofaidi ni wachezaje, bia anywe mtu mwingine kulewa ulewe wewe ni sawa kweli, me sina ushabiki wa timu yoyote duniani ila ukitaka kilevi cha kweli analia movie au ziliwaze kwa kucheza hata Game huondoa strees
 

rodrick alexander

JF-Expert Member
Feb 12, 2012
10,541
2,000
Ni upuuzi kushabikia timu wakati wanaofaidi ni wachezaje, bia anywe mtu mwingine kulewa ulewe wewe ni sawa kweli, me sina ushabiki wa timu yoyote duniani ila ukitaka kilevi cha kweli analia movie au ziliwaze kwa kucheza hata Game huondoa strees
Kwani kwenye movie wanaofaidi ni kina nani
Utopoloni ugonjwa hatari kuliko Corona
 

kibaravumba

JF-Expert Member
Dec 21, 2012
6,642
2,000
Huyu Edgar Kibwana ni mtu asiyemakini hata kidogo.Kipindi cha taarabu nadhani kinamfaa zaidi.

Hoja zake kuwa Simba imehujumu ili washinde haina mashiko.

Vipimo vya covid vinafanywa na mamlaka za serikali kwa kushirikiana na CAF officials.Yeye anasema unatenganishaje serikali ya nchi na timu husika?

Hoja kama hiyo inaonesha uwezo mdogo wa kufikiri na tabia ya kutoheshimu taaluma za watu.Anadhani ni rahisi kupima na kutoa majibu ya uongo kama anavyojaribu kupendekeza?

Kama hoja ni kushindwa kutofautisha mamlaka za serikali na Timu,je anajua kuwa hata mechi ya awali huko kwao Sudan kuna wachezaji watano walikutwa na covid? Je hapo utasema Simba ina influence kwa serikali ya Sudan?

Au kwa akili zake fupi anadhani vipimo vinafanywa na club ya Simba?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom