Eddo Kumwembe: Hii inanitia shaka hata mimi

Eddo Kumwembe: Hii inanitia shaka hata mimi

Ngoja nimung'unye kwanza, nikitaka kumeza nitawaaambia.
 
Skuizi wachambuzi wa Mpira wanachambua utendaji wa serikali?? Kwani kutofautiana ndiyo bifu la maisha? Ama tuvutane na Rwanda kama Simba na Yanga? Mbona China na USA wanabishana lakini wanashirikiana katika mengi. Tuzielekeze akili zetu kiusahihi,waweza kuwanazo Sana lakini ukazielekeza kusikoeleweka
 
Hili ni kweli kabisa Mkuu, Kagame yuko more smart kuliko huyu wa bongo. Pamoja na kuwa ana Phd, lakini hiyo Phd yake hmmmmmm!!

Kibaya zaidi hawa watu wanatofautiana u-smart,PK yuko smart mpaka inaogopesha ila huyu wetu mmmh hata anavoongea ni dhahiri kuna mambo huwa hayajui.
 
Hakuna mchambuzi wa mpira katika jukwaa hili, kama unataka kuyasoma ya wachambuzi wa mpira kuna jukwaa la sports humu. Pita huko utawakuta wachambuzi wa mpira.

Watanzania tuna haki ya kujadiliana mambo mbalimbali kuhusu mustakabali wa nchi yetu ikiwemo mambo ya kisiasa.

Skuizi wachambuzi wa Mpira wanachambua utendaji wa serikali?? Kwani kutofautiana ndiyo bifu la maisha? Ama tuvutane na Rwanda kama Simba na Yanga? Mbona China na USA wanabishana lakini wanashirikiana katika mengi. Tuzielekeze akili zetu kiusahihi,waweza kuwanazo Sana lakini ukazielekeza kusikoeleweka
 
Hoja ipi unayojaribu kuitoa?
Siri huwa zinaibiwa fahamu hilo haijalishi zinahifadhiwa wapi, unafahamu jinsi contractor wa NSA alivyofanikiwa kutoroka na siri lukuki za USA?
Tena kama hizo siri zipo kwenye computer systems ni rahisi sana.
USA waliathirikaje na wanaendelea kuathirikaje mpaka sasa. Hivi vitu vipo tu vinatokea na vitaendelea kutokea. Hakuna cha kuwahofisha wananchi utafikiri nchi ipo hatarini sana.
 
Kikwete uongozi wake ulikua lax sana, lakini Kikwete ni smarter na calculating kuliko Magufuli, hasa linapokuja kwenye masuala ya kisiasa na mahusiano, sisemi kuwa uhusiano wake na Kagame ni mbaya ila azingatie kuomba ushauri kwa jamaa tu kwenye haya masuala,
Umeongea kweli mkuu
 
Unaweza kuhisi Rais kashaongoza miaka minne.......no hope
 
USA waliathirikaje na wanaendelea kuathirikaje mpaka sasa. Hivi vitu vipo tu vinatokea na vitaendelea kutokea. Hakuna cha kuwahofisha wananchi utafikiri nchi ipo hatarini sana.

Top secrets zinaathari kubwa sana kwa nchi husika, maadui Wako wanaeza kuzitumia sababu wanajua na kufahamu vizuri strength na weakness zako.

Dunia imefahamu USA anafanya spying kwa mfano na uhusiano wa kidiplomasia na washirika wake ukadhorota mpaka hivi sasa hawamwamini tena.
Na yule jamaa Snowden anasiri nyingi tu zaidi anasubiri kuzieka wazi katika mda husika.
Tazama regime change aliyoipanga kwa kipindi cha mda fulani inavyopingwa, watu wameelewa na wanalaani vitendo vyake vilokuwa ni siri na sasa viko wazi.

Ingekuwa siri hazina madhara majasusi wasingekuwa wanauawa wanapokamatwa.
 
Eddo hayupo kwenye mpira tu, jamaa anajua kulitumia jicho la tati
 
Top secrets zinaathari kubwa sana kwa nchi husika, maadui Wako wanaeza kuzitumia sababu wanajua na kufahamu vizuri strength na weakness zako.

Dunia imefahamu USA anafanya spying kwa mfano na uhusiano wa kidiplomasia na washirika wake ukadhorota mpaka hivi sasa hawamwamini tena.
Na yule jamaa Snowden anasiri nyingi tu zaidi anasubiri kuzieka wazi katika mda husika.
Tazama regime change aliyoipanga kwa kipindi cha mda fulani inavyopingwa, watu wameelewa na wanalaani vitendo vyake vilokuwa ni siri na sasa viko wazi.

Ingekuwa siri hazina madhara majasusi wasingekuwa wanauawa wanapokamatwa.
Hayo huwa matokeo ya kutazamiwa na inapotokea mpango wa pili huchukuliwa.
 
Siri nzito akaenazo mtu mmoja? Yaani jeshi zima litegemee mtu mmoja. Mpaka jeshi linaweka siri hizo kwa mtu lazima ziweke mpango mbadala wa iwapo huyo msiri atakufa au atastaafu.
Kiusalama, ufunguo mmoja ukipotea, nunua kufuli jipya na funguo zake. Jeshi linajua namna ya kuzifanya hizo siri kuwa si lolote.
Hapa nimejibu hoja kuonesha udhaifu wa fikra zako kuhusi siri za jeshi. Siamini taarifa yako wala chanzo ulichokitumia.
Tatizo lenu watanzania hampendi kusoma. Sidhani hata kama habari katika vituo vya habari vya kimataifa huwa mnafutalia!!!!!!

Ulishawahi msikia mtu anaitwa Edward Snowden. Embu kasome amewafanya nini wamarekani ndo uje hapa ku'comment mdogo wangu....
 
Skuizi wachambuzi wa Mpira wanachambua utendaji wa serikali?? Kwani kutofautiana ndiyo bifu la maisha? Ama tuvutane na Rwanda kama Simba na Yanga? Mbona China na USA wanabishana lakini wanashirikiana katika mengi. Tuzielekeze akili zetu kiusahihi,waweza kuwanazo Sana lakini ukazielekeza kusikoeleweka

Usilazimishe kuwachorea wenzako mpaka wa ukomo wa kufikiri kama ccm ilivyofanya kwa wabunge wake,matokeo yake wakapitisha kwa mbwembwe bajeti "inayomnyonya damu mwananchi", wewe unayechangia katika jukwaa hili la siasa tuambie ulisomea wapi masuala ya siasa hadi ujione kuwa na sifa za kipekee za kuchangia mada hapa jukwaani?

Hii nchi ni ya Watanzania wote,kujiona kuwa una haki zaidi ya mwenzake ni ulevi wa kiitikadi unaotukuzwa na ccm na serikali yake.Ndiyo maana leo hii tumefikia hatua ya kubaguana mbele ya sheria,sheria ileile inakuwa na Tafsiri tofauti kulingana na itikadi yako kisiasa.Mfano wa haya ni kile kinachoitwa intelijensia ya policcm inayokataza shughuli za kisiasa kwa washindani wa serikali,huku ikitoa baraka kwa ccm na serikali yake.

Kwa kukubali kutumika kisiasa,jeshi la polisi limekuwa Taasisi ya hovyo kabisa,katika jamii ya wapenda Demokrasia,polisi anachukuliwa kama adui namba moja wa ustawi wa Demokrasia nchini.
 
Hayo huwa matokeo ya kutazamiwa na inapotokea mpango wa pili huchukuliwa.

Smart people daima huzuia matatizo ambayo hueza kuepukika, sio mpaka yatokee watu waumie useme mpango wa pili unachukuliwa.
Huko ni kucheza na maisha ya watu.
 
Skuizi wachambuzi wa Mpira wanachambua utendaji wa serikali?? Kwani kutofautiana ndiyo bifu la maisha? Ama tuvutane na Rwanda kama Simba na Yanga? Mbona China na USA wanabishana lakini wanashirikiana katika mengi. Tuzielekeze akili zetu kiusahihi,waweza kuwanazo Sana lakini ukazielekeza kusikoeleweka
kumbe kikwete alifanya beef binafsi kuwa ni ishu ya kitaifa?
 
Back
Top Bottom