kichikapua2
Member
- Apr 29, 2016
- 14
- 9
Mungu atusaidie watanzania tupite salama.
Hataweza.... HawatamkubaliANa yuko tayari kuwapa Wanyarwanda access ya IT dept ya nchi!!! Wanaweza kupandikiza chochote kile ili wakusanye siri mbali mbali za nchi.
Sijui jk anajisikiaje juu ya urafiki wa PK na JPM
MAGU hajui nini maana ya neno rafikiBy Edo Kumwembe
....Nchi hii bwana....Uadui wa JK na Kagame ulitokana na kinachodaiwa kuwa maslahi kwa Taifa letu....na Urafiki wa JPM na Kagame unatokana na kinachodaiwa kuwa maslahi kwa taifa letu...na Marais wetu hao wawili wametoka ndani ya Chama kimoja.....Anyway napita, nitarudi. Kwa sasa nasoma kitabu kinaitwa 'KILA MWANADAMU NA AKILI ZAKE'
JK ni smart kwa siasa za CCM na Ukawa. Zaidi ya hapo hamna kitu. Siwezi kumfikiria rais asiyejua kwanini nchi yake maskini kama mtu smart. He is just an average guy.Kikwete uongozi wake ulikua lax sana, lakini Kikwete ni smarter na calculating kuliko Magufuli, hasa linapokuja kwenye masuala ya kisiasa na mahusiano, sisemi kuwa uhusiano wake na Kagame ni mbaya ila azingatie kuomba ushauri kwa jamaa tu kwenye haya masuala,
Na yuko tayari kuwapa Wanyarwanda access ya IT dept ya nchi!!! Wanaweza kupandikiza chochote kile ili wakusanye siri mbali mbali za nchi.
PK ni rafiki wa Joseph au Rais?Wewe marafiki zako nani alikuchagulia?
alitumia vzr UZOEFU wake wa kuwa Waziri wa Mambo ya NJE kwa MIAKA 10Humu ndani Jk anaweza kuwa hakufanya vema sana ila kwa siasa ya nje alikuwa anaijua sana
Remember, we have our Maiga on the floor! everything is under control. Don't worry!!
Ivi wakati wa JK serikali ilitangaza kuwa na mgogoro na serikali ya Rwanda?
Chauongo wewe.Na yuko tayari kuwapa Wanyarwanda access ya IT dept ya nchi!!! Wanaweza kupandikiza chochote kile ili wakusanye siri mbali mbali za nchi.
Kwa upande wa maarifa cheo kimemzidi mmhhapo ndipo tunaona tofauti kati ya mwanadipromasia na mtendakazi,,,na dipromasia ndio inayojenga mantiki ktk uchumi wa nchi
Hapo kama unajua mahesabu vzuri unakuta unapata maslahi = 0By Edo Kumwembe
....Nchi hii bwana....Uadui wa JK na Kagame ulitokana na kinachodaiwa kuwa maslahi kwa Taifa letu....na Urafiki wa JPM na Kagame unatokana na kinachodaiwa kuwa maslahi kwa taifa letu...na Marais wetu hao wawili wametoka ndani ya Chama kimoja.....Anyway napita, nitarudi. Kwa sasa nasoma kitabu kinaitwa 'KILA MWANADAMU NA AKILI ZAKE'