Eddo Kumwembe: Hii inanitia shaka hata mimi

Eddo Kumwembe: Hii inanitia shaka hata mimi

Na yuko tayari kuwapa Wanyarwanda access ya IT dept ya nchi!!! Wanaweza kupandikiza chochote kile ili wakusanye siri mbali mbali za nchi.
Huwa nasikia Waisraeli ndo wataalamu wakutamainiwa Marekani? Au hizi huwa ni stori tu za vijiweni!!!Pia nasikia wataalamu wengi waliopo Rwanda walisoma Tanzania labda mheshimiwa anataka kuwarudisha baada ya kufundishwa nidhamu
 
Pia inawezekana neno maslahi ya Taifa linatumiwa vibaya maana daah ata sielewi
 
By Edo Kumwembe

....Nchi hii bwana....Uadui wa JK na Kagame ulitokana na kinachodaiwa kuwa maslahi kwa Taifa letu....na Urafiki wa JPM na Kagame unatokana na kinachodaiwa kuwa maslahi kwa taifa letu...na Marais wetu hao wawili wametoka ndani ya Chama kimoja.....Anyway napita, nitarudi. Kwa sasa nasoma kitabu kinaitwa 'KILA MWANADAMU NA AKILI ZAKE'
Nadhani sisi kama nci ni wajinga! Dr.Dre alisema ukipata cha mjinga kula mpaka mwisho.
 
Na yuko tayari kuwapa Wanyarwanda access ya IT dept ya nchi!!! Wanaweza kupandikiza chochote kile ili wakusanye siri mbali mbali za nchi.
Na hivi CoICT-UDSM, DIT na CIVE- UDOM huwa wanafundisha nn mpaka tunakosa system designers, programmers na system analyst?
 
Ufipa tangu lini mkaitakia mema ccm na Magufuli wake kiasi kwamba mkawapa ushauri Wa maana??

Endeleeni na diplomasia yenu ya kubadili gia angani na kuuza chama.

Shame on you!!
 
Kikwete uongozi wake ulikua lax sana, lakini Kikwete ni smarter na calculating kuliko Magufuli, hasa linapokuja kwenye masuala ya kisiasa na mahusiano, sisemi kuwa uhusiano wake na Kagame ni mbaya ila azingatie kuomba ushauri kwa jamaa tu kwenye haya masuala,
100%
 
Wengine tusiseme sana tukakosa kibarua na kushtakiwa kwa uhaini dhidi ya nchi
Nadhani hata kitengo hakimshauri vizuri. Sijui kama mkuu wetu ana morning briefing kuhusu mambo ya usalama kila siku. Nadhani kuna tatizo. Au ujuaji mwingi? Make wenye PhD nao bwana wana Mbwembwe. Mhhhh Tena kitengo cha ukusanyaji mapato? jirani ajue wewe chungu chako kina nini? Au Mkulu hajui kuwa developers wanabaki na source code ya hiyo program waliyomtengenezea? au Mkuu hajui kuwa wanaweza kuifanya isifanyekazi kwa kubadiline line moja ya code? Au Mkuu wetu hajui kuwa wanaweza kupata taarifa zote za nchi kupitia mfumo huo kwa kutengeneza malicious program wanayoweza kuituma kama updates? Wataalamu wa mambo ya IT wa nchi mshaurini Baba yetu. NAkujua kitengo kina kila field, siamini kama watu wa IT watashindwa kumshauri baba kuhusu usalama wa hili analotaka kulifanya.
 
Mtoa mada ainisha unayofikiri ni mabaya na mazuri katika mahusiano hayo ili uwe msaada badala ya kuishia njiani tu
 
Usalama wa Taifa,Military Inteligence,Foreign Affair Special Branch,Ikulu,Kamati ya usalama ya Bunge,Hizo taasisi zote hazishindwi kutatatua au kushauri jambo,tulio nje tunapenda uvumi usio na mantiki.
 
Wewe marafiki zako nani alikuchagulia?
Acha kulinganisha urafiki na mambo haya ya msingi. Hili tamko la kuwahusishwa Warwanda ktk ICT si ajabu mkuu lilimjia akiwa pale anahutubia ikabidi aliseme.

Maana kikawaida huwezi kuajiri watu wasiowazalendo kwa nchi yako wadesign na/kuendesha mifumo wa ICT, umeme, miundimbinu ya reli, barabara, mawasiliano, anga, jeshi nk. Hivi ina maana hata jeshi letu halina kitengo imara cha ICT mpaka leo? Hivi ni kweli hatuna system designers, analysts, programmers and developers?
Hivi kuna kiwanda kinaendeshwa bila hawa watu?
Mifumo yote ya viwanda iko automated na computer scientists and engineers, software engineers ndo wanapaswa kuautomate hiyo mifumo. Nenda TANESCO unakuta limashine likubwa linaendeshwa na computer. Sasa nchi inaazima wataalamu wa ICT nje alafu tuna ndoto ya kuwa na viwanda?
Yaani uzalishe bidhaa mechanically uje kushindana na mchina anayezalisha bidhaa zake kwa information systems!?

Basi kama hali hivyo ikitokea vita na Rwanda watatusambaratisha ndani ya mwezi. Maana cha kwanza watakachofanya ni ku-hack system zetu walizotuundia. Tunabaki bila mawasikiano alafu wanatumaliza.
The morden world is more technological than mechanical.
 
Nawaza tu ile sheria ya kazi inayosema
HAIRUHUSIWI KUMPA MTU WA NJE YA NCHI KAZI INAYOWEZA KUFANYWA NA MWANANCHI WA TANZANIA.
 
Chadema watatetea kila aina ya uozo mwaka huu.

Majizi, mafisadi, mashoga, vibaka, wakwepa kodi, wavuta shisha wote mtetezi wao ni chadema!!!

Hii ndio maana ya chama kubadili gia angani.
 
Back
Top Bottom