Baadhi ya watz walidiriki kusema tumpe PK bandari Salama atuoneshe namna ya kuukuza uchumi. Hiyo ilikuwa enzi ya JK.. Leo JPM anasutwa kumkaribisha PK kutumia bandari Salama. Watoto hawa wa Nyerere ni kama Waingereza Eddo.By Edo Kumwembe
....Nchi hii bwana....Uadui wa JK na Kagame ulitokana na kinachodaiwa kuwa maslahi kwa Taifa letu....na Urafiki wa JPM na Kagame unatokana na kinachodaiwa kuwa maslahi kwa taifa letu...na Marais wetu hao wawili wametoka ndani ya Chama kimoja.....Anyway napita, nitarudi. Kwa sasa nasoma kitabu kinaitwa 'KILA MWANADAMU NA AKILI ZAKE'
Ishi kadiri uwezavyo na sio wapendavyoSijui jk anajisikiaje juu ya urafiki wa PK na JPM
Umeelewa vizuri topic mkuu? Mleta uzi anasema wote yaani JK na JPM walifanya hayo kwa maslahi ya nchi. Kwa ujumla anachosema Edo sio urafiki wa hawa maraisi kama urafiki wao binafsi.Wewe marafiki zako nani alikuchagulia?
That is where uelewa wako umeishiaSerikali haiongozwi kwa macho na mitizamo ya watu..!
That is where uelewa wako umeishia
You cant understand... Uko below par
Marekani ipo kwenye hatari gani kwa sasa kwa ajili ya Snowden wenu huyo. Hizo ni siri nyepesi tu.Tatizo lenu watanzania hampendi kusoma. Sidhani hata kama habari katika vituo vya habari vya kimataifa huwa mnafutalia!!!!!!
Ulishawahi msikia mtu anaitwa Edward Snowden. Embu kasome amewafanya nini wamarekani ndo uje hapa ku'comment mdogo wangu....
Moyo wa mtu kichaka si rahisi kujua kila kitu alichonacho nacho moyoni. Makamanda wa ulinzi na usalama wa nchi hii wanalijua hilo. Hivyo si rahisi kuweka mayai yote ndani ya kapu moja. Kaondoka na siri nyepesi zisizo na madhara na zinazorekebishika kwa urahisi na madhara hayawezi kutokea.Smart people daima huzuia matatizo ambayo hueza kuepukika, sio mpaka yatokee watu waumie useme mpango wa pili unachukuliwa.
Huko ni kucheza na maisha ya watu.
Kikwete uongozi wake ulikua lax sana, lakini Kikwete ni smarter na calculating kuliko Magufuli, hasa linapokuja kwenye masuala ya kisiasa na mahusiano, sisemi kuwa uhusiano wake na Kagame ni mbaya ila azingatie kuomba ushauri kwa jamaa tu kwenye haya masuala,
Moyo wa mtu kichaka si rahisi kujua kila kitu alichonacho nacho moyoni. Makamanda wa ulinzi na usalama wa nchi hii wanalijua hilo. Hivyo si rahisi kuweka mayai yote ndani ya kapu moja. Kaondoka na siri nyepesi zisizo na madhara na zinazorekebishika kwa urahisi na madhara hayawezi kutokea.
tunataarifa za kiintelijensia kuwa akili yako imelike huu uzi jiandae tunakuja kukufuata na washawasha hat kama uko peke yakoHivi ni like comment yako itaonekana na mimi nakusapoti??
Sheria za mtandao zinasemaje maana nataka ni like...!!
Naelewa usichoelewa weweWew mwenye akili ni kipi unacho elewa?
Unaadhibiwa kwa mujibu wa sheria tu na si kwasababu taifa lipo hatarini sana.Siri ni siri tuu na hulindwa kwa tahadhari ya juu sana.
Ndio mana USA wanamsaka yule jasusi wa NSA ikiwezekana wamnyonge.
Sio huyo tu yeyote anayekuwa na siri za taifa lolote lile kama sio Usalama wa taifa basi hutafutwa na ukipatikana utasahaulika.
It seems true.Kibaya zaidi hawa watu wanatofautiana u-smart,PK yuko smart mpaka inaogopesha ila huyu wetu mmmh hata anavoongea ni dhahiri kuna mambo huwa hayajui.
By Edo Kumwembe
....Nchi hii bwana....Uadui wa JK na Kagame ulitokana na kinachodaiwa kuwa maslahi kwa Taifa letu....na Urafiki wa JPM na Kagame unatokana na kinachodaiwa kuwa maslahi kwa taifa letu...na Marais wetu hao wawili wametoka ndani ya Chama kimoja.....Anyway napita, nitarudi. Kwa sasa nasoma kitabu kinaitwa 'KILA MWANADAMU NA AKILI ZAKE'