Job Richard
JF-Expert Member
- Feb 8, 2013
- 3,875
- 2,201
PK RWANDA NCHI YAKE ILE KAJIKABIDHISHA TZ JE???????? napitaaaaaaa tu mimi peoplessssssssss popote kambi la kibabe
. Hahahaas,kama nakuona umeviiimba!!!Usilazimishe kuwachorea wenzako mpaka wa ukomo wa kufikiri kama ccm ilivyofanya kwa wabunge wake,matokeo yake wakapitisha kwa mbwembwe bajeti "inayomnyonya damu mwananchi", wewe unayechangia katika jukwaa hili la siasa tuambie ulisomea wapi masuala ya siasa hadi ujione kuwa na sifa za kipekee za kuchangia mada hapa jukwaani?
Hii nchi ni ya Watanzania wote,kujiona kuwa una haki zaidi ya mwenzake ni ulevi wa kiitikadi unaotukuzwa na ccm na serikali yake.Ndiyo maana leo hii tumefikia hatua ya kubaguana mbele ya sheria,sheria ileile inakuwa na Tafsiri tofauti kulingana na itikadi yako kisiasa.Mfano wa haya ni kile kinachoitwa intelijensia ya policcm inayokataza shughuli za kisiasa kwa washindani wa serikali,huku ikitoa baraka kwa ccm na serikali yake.
Kwa kukubali kutumika kisiasa,jeshi la polisi limekuwa Taasisi ya hovyo kabisa,katika jamii ya wapenda Demokrasia,polisi anachukuliwa kama adui namba moja wa ustawi wa Demokrasia nchini.
Mwamba umekuwa adimu sana siku hizi.Jaman muacheni mtukufu malaika hakosei..
Binafsi nimekuelewa sana kuhusu "siri" japo huyu jamaa unaemfafanulia mambo haya bado analazimisha ubishi na ushindani..Top secrets zinaathari kubwa sana kwa nchi husika, maadui Wako wanaeza kuzitumia sababu wanajua na kufahamu vizuri strength na weakness zako.
Dunia imefahamu USA anafanya spying kwa mfano na uhusiano wa kidiplomasia na washirika wake ukadhorota mpaka hivi sasa hawamwamini tena.
Na yule jamaa Snowden anasiri nyingi tu zaidi anasubiri kuzieka wazi katika mda husika.
Tazama regime change aliyoipanga kwa kipindi cha mda fulani inavyopingwa, watu wameelewa na wanalaani vitendo vyake vilokuwa ni siri na sasa viko wazi.
Ingekuwa siri hazina madhara majasusi wasingekuwa wanauawa wanapokamatwa.
Binafsi nimekuelewa sana kuhusu "siri" japo huyu jamaa unaemfafanulia mambo haya bado analazimisha ubishi na ushindani..
Mimi wasiwasi wangu ni kwamba je hivi nchi hii tized hizo siri zipo kweli??
Ukute data base haina siri hata moja.
Labda siri ya vifo vya akina ....****....ambayo haina madhara kwa PK
Au ukute siri kubwa ni namna makomandoo (sio jay dee na hamza kalala jnr) wanavyoweza kupasua kwa kichwa tofali za block.
Jk yeye hana time na mtu anazidi kulimbikiziwa tu vyeo tena vya kimataifa huku akijua urafiki wa PK na JPM mwisho wake mbaya.Sijui jk anajisikiaje juu ya urafiki wa PK na JPM
Ukiitwa kuhojiwa unaweza kuthibitisha hii hoja yako?Na mtuache na urafiki wetu,hapa tuna mpango wa kummegea nchi upande wa rusumo PK ili apate ardhi kidogo ya kulima msijali wadanganyika
Hivi ni like comment yako itaonekana na mimi nakusapoti??
Sheria za mtandao zinasemaje maana nataka ni like...!!
Then do it for the nation..Wengine tusiseme sana tukakosa kibarua na kushtakiwa kwa uhaini dhidi ya nchi