Eddo Kumwembe: Hii inanitia shaka hata mimi

cantonna

JF-Expert Member
Mar 11, 2013
1,120
439
By Edo Kumwembe

....Nchi hii bwana....Uadui wa JK na Kagame ulitokana na kinachodaiwa kuwa maslahi kwa Taifa letu....na Urafiki wa JPM na Kagame unatokana na kinachodaiwa kuwa maslahi kwa taifa letu...na Marais wetu hao wawili wametoka ndani ya Chama kimoja.....Anyway napita, nitarudi. Kwa sasa nasoma kitabu kinaitwa 'KILA MWANADAMU NA AKILI ZAKE'
 
[QUOTE="Marlex Jr El, post: 16738312, member: 337468"]Nionyeshe rafiki yako nikwambie tabia yako...

halafu mkuu wa majeshi si mshauri wa raisi au ndo mkuru afungwi speed gavana.[/QUOTE]
kwenye.. bold ni kama signature yangu
 
Back
Top Bottom