Eddo Kumwembe: Hii inanitia shaka hata mimi

Eddo Kumwembe: Hii inanitia shaka hata mimi

Na yuko tayari kuwapa Wanyarwanda access ya IT dept ya nchi!!! Wanaweza kupandikiza chochote kile ili wakusanye siri mbali mbali za nchi.

Teh teh teh! BAVICHA bana, sasa mmeamua ku-act kwenye speculations tu...
 
Siri nzito akaenazo mtu mmoja? Yaani jeshi zima litegemee mtu mmoja. Mpaka jeshi linaweka siri hizo kwa mtu lazima ziweke mpango mbadala wa iwapo huyo msiri atakufa au atastaafu.
Kiusalama, ufunguo mmoja ukipotea, nunua kufuli jipya na funguo zake. Jeshi linajua namna ya kuzifanya hizo siri kuwa si lolote.
Hapa nimejibu hoja kuonesha udhaifu wa fikra zako kuhusi siri za jeshi. Siamini taarifa yako wala chanzo ulichokitumia.
 
Kuna kipindi tulimdai kagame wetu, benevolent dictator.
 
Wakati wa Jk akina Lizaboni, Jingalao na Lumumba fc walikuwa wanashangilia Jk kutopatana na PK. Na wakati huu PK kaja Tz wale wale wanashangilia.
Yaani hawa vjana sjuh wameshikiwa akili au vipi. Yaani kila kitu wao ni kushangilia ilimradi kimefanywa na yule aliyewashika akili.
Kwa akili za hawa vjana wa Lumumba hatuwezi kupata Tz ya viwanda.
mkuu kwan umesahau ya edo kusemwa vibaya wakati akiwa kwwnye mti wa kijana ila aliposhuka, akapanda bajaji akawa mtu mwema, i think is the same story... ntarudi..
 
Sometimes inabidi ujishushe ili ufanikiwe
 
Hahahahahaha mwenyewe hadi sasa sijapata maana ya huu urafiki ambao kila mmoja alisema ya kuwa wote walikuwa wanafanya kwa ajili ya maslahi ya taifa
 
Siri nzito akaenazo mtu mmoja? Yaani jeshi zima litegemee mtu mmoja. Mpaka jeshi linaweka siri hizo kwa mtu lazima ziweke mpango mbadala wa iwapo huyo msiri atakufa au atastaafu.
Kiusalama, ufunguo mmoja ukipotea, nunua kufuli jipya na funguo zake. Jeshi linajua namna ya kuzifanya hizo siri kuwa si lolote.
Hapa nimejibu hoja kuonesha udhaifu wa fikra zako kuhusi siri za jeshi. Siamini taarifa yako wala chanzo ulichokitumia.

Hoja ipi unayojaribu kuitoa?
Siri huwa zinaibiwa fahamu hilo haijalishi zinahifadhiwa wapi, unafahamu jinsi contractor wa NSA alivyofanikiwa kutoroka na siri lukuki za USA?
Tena kama hizo siri zipo kwenye computer systems ni rahisi sana.
 
  • Thanks
Reactions: y-n
Acha kulinganisha urafiki na mambo haya ya msingi. Hili tamko la kuwahusishwa Warwanda ktk ICT si ajabu mkuu lilimjia akiwa pale anahutubia ikabidi aliseme.

Maana kikawaida huwezi kuajiri watu wasiowazalendo kwa nchi yako wadesign na/kuendesha mifumo wa ICT, umeme, miundimbinu ya reli, barabara, mawasiliano, anga, jeshi nk. Hivi ina maana hata jeshi letu halina kitengo imara cha ICT mpaka leo? Hivi ni kweli hatuna system designers, analysts, programmers and developers?
Hivi kuna kiwanda kinaendeshwa bila hawa watu?
Mifumo yote ya viwanda iko automated na computer scientists and engineers, software engineers ndo wanapaswa kuautomate hiyo mifumo. Nenda TANESCO unakuta limashine likubwa linaendeshwa na computer. Sasa nchi inaazima wataalamu wa ICT nje alafu tuna ndoto ya kuwa na viwanda?
Yaani uzalishe bidhaa mechanically uje kushindana na mchina anayezalisha bidhaa zake kwa information systems!?

Basi kama hali hivyo ikitokea vita na Rwanda watatusambaratisha ndani ya mwezi. Maana cha kwanza watakachofanya ni ku-hack system zetu walizotuundia. Tunabaki bila mawasikiano alafu wanatumaliza.
The morden world is more technological than mechanical.

Hata kama hao wataalamu watakuja lengo hapa ni kuja kuwaongezea wataalamu wetu ujuzi na si kuwapa kazi ya kusimamia hizo sekta..ni jambo la kawaida sana na limekuwa likifanyika toka kitambo kwenye idara na sekta mbalimbali za serikali,,mara ngapi majeshi ya china,US na nchi nyingine yamekuja hapa kuongezea jeshi letu ujuzi? Hii ni ishu ya kawaida sana acheni kupotosha..!
 
Taratiibu nayaona mafanikio ya tutsi empire....
Mzee Pombe hata kama una vinasaba na Wanyarwanda, kumbuka damu yako ina mchanganyiko na Watanzania.
Watendee haki waliokulea, waliokusomesha, kukuchagua na kukulisha tangu uyajue ya Dunia hii.
Mwenzio Kaguta YM ana mapenzi na SISI japo mara nyingi hujikuta mikononi mwa HADAA za Paulo lakini kamwe hasahau FADHIRA ZETU.

Chonde chonde usije ukasema kuwa hatujakustua...
 
Wakati wa Jk akina Lizaboni, Jingalao na Lumumba fc walikuwa wanashangilia Jk kutopatana na PK. Na wakati huu PK kaja Tz wale wale wanashangilia.
Yaani hawa vjana sjuh wameshikiwa akili au vipi. Yaani kila kitu wao ni kushangilia ilimradi kimefanywa na yule aliyewashika akili.
Kwa akili za hawa vjana wa Lumumba hatuwezi kupata Tz ya viwanda.

Ni nyinyi pia wakati wa JK mlikuwa mnasema mnatamani nchi hii angepewa Kagame aiongoze hata kwa wiki moja..!
 
Hii ni scene mojawapo katika hii movie msiogope movie kamili itakamilika 2020.
 
eti unawapa access na IT systems za collection ya mapato

JK pamoja na udhaifu aliokowa nao lakini kwenye suala la PK nilimpongeza sana...he stood as a man and a real countryman
 
Back
Top Bottom