moja tu nikienda job nikirud saa 7
Mkuu
Duh aibu man, joto lote la tz unaoga mara moja?
Halafu hujanijibu suala langu unatumia viwembe? Musisingizi joto, unapo tumia viwembe ndio chanzo vya mapele.
Jengine mkuu mi binafsi huku niliko nchi za baridi naoga mara mbili mpaka tatu, na nikioga mara moja bado najiona kwamba natema harufu ya mwili, kila mwanadamu anayo harufu la mwili lakini pale unapo toka jasho unatoa harufu flani, nakupa mfano na jichunguze. Kabla hujalala oga najua huogi, ukiamka jinuse mwenyewe mwili wako unasikiaje? Au mtafute mtu wa karibu yako muulize.
Unajua unapo lala mwili hupumzika at the same time unafanya kazi, unatoa sumu ndani ya mwili wako, ndio maana asubuhi unasikia harufu kwa mbali.
Jengine jasho huchangia kiasi kikubwa kupata mapele au majipu sehemu kama za kwapa na kwenye maumbile yetu.
Wakati mwengine sehemu za mikono kufanya ukurutu, hivyo boss wangu oga mara kwa mara, asubuhi na wakati unao rudi kazini lazima uwoge na kulala vile vile.