Ebu bashiri umri wa members humu JF

Hatari sana ukiingia kumi la pili tu hapo umri unapepea sio kinyonge.

Yani ilee paaap unashangaaa una 30 ujakaa sawa ngoma inasoma 38.

Ukija kustuka una 50 kama ujawekeza na kuzisaka kwa nguvu kwisha habari yako.
 
Wewe ni zee la miaka 38 acha kulisha watu matango pori.

Maarass bora walivyokukatalia Dujeumsaeng wewe uendelee kufanya humiliating , worst and poor paying jobs ikiwezekana wakurudishe bongo ulime Magimbi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…