EATV Sio Kwa Ushilawadu Huu!

EATV Sio Kwa Ushilawadu Huu!

Jackal

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2012
Posts
10,258
Reaction score
14,102
Screenshot_2019-06-23-15-44-29.png
 
Hawa UVCCM ndiyo think tank wa ccm halafu ndiyo wanategemewa walete maendeleo nchini. Hilo daraja baya hata Warumi karne ya 4 BC walijenga madaraja mazuri kuliko huo uchafu wao.

Lakini Songea nao wanaipenda sana CCM wacha wanyooshwe. Hivi uchafu kama huo CCM wanaweza kuufanya Kilimanjaro, Arusha, Kagera, Mara, au Dsm?

Ila najua Dodoma UVCCM wanaweza kupeleka vichwa vyao kukagua kama hivyo.
 
Kwenye hiyo figure wangepunguza sifuri moja mkuu kidogo kungekuwa na uhalisia
Hapana hiyo ndio ilikuwa bajeti halisi Lakini Kilichofanyika ni hicho... Unakumbuka kile kibanda cha ushuru pale Kibaha stand enzi za Jk kilichoandikiwa kuwa kilijengwa kwa M7 au 12 nadhani... Wakati kiuhalisia hakikuzidi hata laki2
Hiyo ndio chama chawala kaka
 
TRA angalieni mnawadai kodi kiasi gani hawa eatv na earadio,takukuru angalieni kama yale mashindano ya yanayoendeshwa na hawa watu kuna harufu ya rushwa,wale watangazaji kina ian diallo waangaliwe na migration kama wana permanent passports.
 
Hahaha haaa Dah Tukiwa kama taifa tunatia Aibu sana aise
 
Hahaha
TRA angalieni mnawadai kodi kiasi gani hawa eatv na earadio,takukuru angalieni kama yale mashindano ya yanayoendeshwa na hawa watu kuna harufu ya rushwa,wale watangazaji kina ian diallo waangaliwe na migration kama wana permanent passports.
 
Yaani milion 7 ndio imeisha katika huo ujenzi wa hivyo vijitofali. ... waache masihara aise
 
Back
Top Bottom