hearly JF-Expert Member Joined Jun 19, 2014 Posts 54,297 Reaction score 80,156 Jun 25, 2019 #21 Hahaha yaani wame enda kuzindua kabisa hawana hata aibu. ..aise bora ukose Mali upate akili
mitale na midimu JF-Expert Member Joined Aug 26, 2015 Posts 10,419 Reaction score 17,761 Jun 25, 2019 #22 hahaha unakuta BOQ inaonyesha gogo moja kukatwa bure na kuwekwa juu ya daraja ni Tsh milioni na laki moja. hahahah wonder shall never end. JPM anaweza kutumbua nchi nzima akabaki peke yake maana hii kama kweli ni balaa
hahaha unakuta BOQ inaonyesha gogo moja kukatwa bure na kuwekwa juu ya daraja ni Tsh milioni na laki moja. hahahah wonder shall never end. JPM anaweza kutumbua nchi nzima akabaki peke yake maana hii kama kweli ni balaa