minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 23,320
- 22,325
Ndio matatizo ya std 7 haya kuwaweka wafanye vipindi kisa tu wanajuwa "kubwabwaja"
Usomi Bongo? Wapo wapi wasomi? Akina Profesa Shivji akina Kapuya,akina Dr Hamis K mbunge wa Nzega ?ni aina gani ya Wasomi unawataka ? Maana wasomi wengi Tz ni wezi wa kalamu wanatumia Usomi kufanya Ufisadi,wasomi wengi Tz ni Wasomi Feki baada ya kupata vyeti kijanja Janja kwa kuiba Mitihani, kununua Majawabu,Kusoma kwa Kukariri kila somo na Rushwa ya Ngono nk,wengi wanajidai wamesoma lakini kichwani Taaluma hawana, Wasomi Tz wengi hawana Msaada kwa Nchi wapo kwa ajili ya Mtumbo Yao Binafsi, bora huyo darasa la 7 anayejitahidi kufichua Uovu waziwazi kuliko Msomi anayelea na kuhifadhi Maovu.