ngoshwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2009
- 4,141
- 951
Wanawake Live EATV Leo tarred 29.04.14. Kuna binti anaitwa Christina Frank anahojiwa na Joyce Kiria anaelezea stori ya kusikitisha ya kuajiria na Wanawake wenzake kwa mama mmoja hapa Dar ambapo kwa KAI za Nyangi lakini baadae kutumikishwa Kwa biashara ya kuuza mwili. Ameingiliwa kinyume na maumbile, kabakwa na kuondolewa kizazi kwa kupasuliwa na mwanaume ambae alikuja kutaka huduma kwenye danguro ambae mama aliyemwajiri alimleta kama Mteja. Anasema Alikuwa akilazimisha kutoa uroda, ameingiliwa kishenzi kinyume na maumbile na kubanwa na bisibisi ili asipige kelele...
Binti huyo ameathirika kutokana na kubakwa na sasa Hali Yale si Nzuri. Alipata hela aliyochangiwa na wasamaria alipopeleka nyumbani kwao Moshi, mama yake mdogo alimnyanga'anya hela zote na hakamfukuza. Akapata msaada wa kuelekezwa kwa Joyce Kiria. Kwa ujumla habari yake inasikitisha sana.. kaharibiwa maisha kwa ujumla.