EATV Na Joyce Kiria Msitirini huyo binti basi

EATV Na Joyce Kiria Msitirini huyo binti basi

Deo Corleone

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2011
Posts
17,038
Reaction score
13,467
Nacheki EATV now,kuna under18 anahojiwa hapa.

Anaelezea jinsi alivyokuwa anaingiliwa kinyume na maumbile na wanaume kwenye danguro linalomilikiwa na mmama mmoja wa O/BAY.

Mngemficha hata sura tu kwani ameshakuwa sexually abused huyo,ataaibika sana
 
Kama ni kweli hiyo imevuka mipaka! Sijui huyu Mwanamke huwa anawaza nini kichwani, lazima ulinde ubinadamu wa Mtu hata kama amekubali kupigwa picha!
 
Ni kweli kabisa. Hii ni double standard. Mbona wengine huwa wanawaficha sura. Huyu kwanini wamemuanika? Plz Joyce msitiri mwanamke mwenzio.
 
Dunia hii!!!??
 

Attachments

  • 1398797045484.jpg
    1398797045484.jpg
    69 KB · Views: 5,153
kwenye kuficha sura kosa ni la presenter,editor au producer?
attachment.php
 
kaniboa sana Joyce,hata kama kamuona hazitoshi ndo amuanike hivyo?
 
Kama ni kweli hiyo imevuka mipaka! Sijui huyu Mwanamke huwa anawaza nini kichwani, lazima ulinde ubinadamu wa Mtu hata kama amekubali kupigwa picha!

unaongea kama hujui nguvu ya pesa
 
Uandishi wa habari jina tu ila hajui sheria zake zikoje.
 
shameful people,its even against the law kwa kuwa yuko under age...issue zote za under 18 zinatakiwa kuwa in private,in this case, identity ya mtoto ilitakiwa kuhifadhiwa kuanzia jina hadi sura hata kama mtoto akikubali kuonyeshwa sura na jina bado ni against the law...wapumbavu kweli hawa, toa news ila make sure you protect the child
 
Back
Top Bottom