EATV Na Joyce Kiria Msitirini huyo binti basi

EATV Na Joyce Kiria Msitirini huyo binti basi

Nacheki EATV now,kuna under18 anahojiwa hapa.

Anaelezea jinsi alivyokuwa anaingiliwa kinyume na maumbile na wanaume kwenye danguro linalomilikiwa na mmama mmoja wa O/BAY.

Mngemficha hata sura tu kwani ameshakuwa sexually abused huyo,ataaibika sana

Hao ndio tunao wategemea!, wamepewa kazi kwa maumbile yao mazuri wala sio kwa taaluma walizo nazo. A bridge is too far.
 
shameful people,its even against the law kwa kuwa yuko under age...issue zote za under 18 zinatakiwa kuwa in private,in this case, identity ya mtoto ilitakiwa kuhifadhiwa kuanzia jina hadi sura hata kama mtoto akikubali kuonyeshwa sura na jina bado ni against the law...wapumbavu kweli hawa, toa news ila make sure you protect the child

Sio under 18, ana miaka 25 kwa sasa ila kazi hiyo haramu alianza akiwa na miaka 13 kwa mujibu wa maelezo yake.
 
  • Thanks
Reactions: amu
Nacheki EATV now,kuna under18 anahojiwa hapa.

Anaelezea jinsi alivyokuwa anaingiliwa kinyume na maumbile na wanaume kwenye danguro linalomilikiwa na mmama mmoja wa O/BAY.

Mngemficha hata sura tu kwani ameshakuwa sexually abused huyo,ataaibika sana

Naomba niweke vzr kdg, kwa mujibu wa maelezo yake sio under 18, kwa sasa ana miaka 25. Ila kazi hiyo haramu ameanza na miaka 13, kaitumikia kwa miaka 12 kwahiyo kwa sasa ni 25.
 
Huyu Joyce kiria ni tatizo kwenye hii fani ya habari. Kwake maadili ya kazi yake ni 0!
Na huwa najiuliza ni nani anayempa kiburi? Hata kama huyo bint ni above 18 alitakiwa kumsitiri!
 
Sio under 18, ana miaka 25 kwa sasa ila kazi hiyo haramu alianza akiwa na miaka 13 kwa mujibu wa maelezo yake.

asante,nashukuru kwa kunieleza coz nilishangaa sanaaa..kwa hyo ni mtu mzima na ametoa maamuzi yake basi Mungu amsaidie
 
Naona mnamlaumu joyce kwani mabosi wake hawalijuihilo na huyo bint kaanza ukahaba m13 du wazazi wako hai au wamekufa
 
Kama ni under age sheria inasema lzm AFICHWE sura lkn kama above 18 ni victim mwenyewe atachagua ama azibe sura au aache!
 
Mie hapa nitamlinda Joyce kwa upande mmoja.
Joyce siku zote anakubali kukosolewa na mie nimekuwa nafuatilia vipindi vyake almost vyote.
Na wala uwezo wake wa taaluma haufichi,na maisha aliyopitia ndio yakafanya mpaka aanzishe kipindi hiki kwakuwa ana Experience ya kutosha kwenye maisha ya namna hiyo na ndio maana ameona haitoshi ameanzisha kipindi kingine Star Tv.

Mie nahisi tatizo sio kuponda ni kwamba faida ya vipindi vyake ki ujumla ni kubwa sana kwa jamii,ni bora asaidiwe ushauri kuliko kuponda kwa ujumla kwa kosa alilofanya jana.Nakiri kweli ni kosa kubwa sana ila pia tupime mambo mazuri sana aliyafanya na anayoendelea kuyafanya Dada huyu.Ukipima basi utakuta mazuri ni more than 99%.

Tusimhukum kosa hili na kuona hajafanya mazuri.
Hata Oprah hana shule ila ana Directors wakali sana kitaaluma na kiuzoefu.

KWA JOYCE:-
Maana yule binti alianza kuwa Mateka wa ngono akiwa na miaka 13,na kwa sheria za kimahakama na kama yule MAMA akishtakiwa ni kwamba atashtatiwa kuanzia kipindi hicho kwa kumteka mtoto kingono akiwa na miaka 13 .Kwahiyo hawatoangalia umri wake wa sasa wamiaka 25 in deep,bali alipoanza
Sasa ndio kama jana,yule pale ni kwamba amesimama kama Binti wa miaka 13 kwahiyo alitakiwakulindwa ili asije kutengwa na jamii,na hasa baada ya kuonekana kwamba ni muathirika wa HIV.Na ukizingatiwa ameishatengwa na Familia yake mwenyewe.

KWA DIRECTORS WAKE:
Haya ndio mambo ya mtu kuwa muandaaji kipindi na kubeba majukum mengi peke yako,mie naamini kama ana Director huyu ndio wakulaumiwa sana.Aangaliwe vyeti na experience.

KWA EATV:-
Hiki kipindi kimenunuliwa Airtime.
Mfano wasani wengi hurejeshewa kazi zao kwamba hazina viwango vya kuruka hewani,kama nyimbo,filam nk,ambapo wahusika huenda tena kufanyakazi upya ya kurekebisha makosa.
Sasa hapo tatizo kubwa pia ni kwa waandaji wa vipindi vya EAT,sasa sijui weledi upo wapi wa taaluma ya uandishi wa habari na tukio hili.Maana kipindi sio Live ni recorded.
Mfano mmoja ni kwamba mie hufuatilia sana kipindi cha Jiji letu,huwa kuna siku mtu haonyeshwi sura,tena mtumzima tu ili kulinda maadili nauhalisia wa tukio.Na wakati mwingine hata machangudoa pia hufichwa sura.Sasa inakuwaje kwa binti kamahuyu alielawitiwa kwa miaka zaidi ya kumi,kuambikizwa HIV aanikwe namna ile.Wakati kuna waathirka wengine wa HIV huwa wanazibwa uso ili wasitengwe na jamii itakuwa huyu aliekuwa mtumwa wa ngono kwa miaka zaidi ya 12?

Hapa ningeomba jamani tusimlaumu sana Joyce,maana yeye haishi mjini kwa ku act kama ni msomi na amekuwa akilisema sana hili,ila tatizo ni watu wanaosimamia kipindi ndio ilkuwa tatizo,na uongozi wa EAT nao tatizo pia,sijui waajiri muandaaji vipindi mkenya?maana sie tunalalamika tukipewa nafasi ndio madudu kama hayo.

Pia ningeomba sana kwa hivi mlivyomuanika huyu bindi basi naomba mumsaidie,na sie pia tupo pamoja.

Joyce hongera sana kwa kazi zako nzuri,hizi ndio changamoto za kazi,umevumilia mengi naimani na hili ni lamapito tu,naamini umejifunza kitu juu ya hili.
Bana sana hao Directors wako

Joyce Kiria,

Kama anasoma JF, kuonesha sura ya huyo "victim" ni kosa na mbaya zaidi "victim" ana umri mdogo. Producer na uongozi mzima wa EATV wawe makini maana TCRA wanaweza kuwafuata kwa huu udhalilishaji waliomfanyia huyu binti.

Hata kama "victim" aliridhia uso wake kuoneshwa EATV walitakuwa kutumia utashi na kumlinda huyu binti. Hivi EATV hawana wanasheria wa kuwashauri kwenye codes of conduct? Na huyo Joyce amesomea wapi journalism?
 
Last edited by a moderator:
shameful people,its even against the law kwa kuwa yuko under age...issue zote za under 18 zinatakiwa kuwa in private,in this case, identity ya mtoto ilitakiwa kuhifadhiwa kuanzia jina hadi sura hata kama mtoto akikubali kuonyeshwa sura na jina bado ni against the law...wapumbavu kweli hawa, toa news ila make sure you protect the child
Huyo mdada na makengeza yake mimi huwa ananiudhi sana na hicho kipindi chake! Hivi ana taaluma ya uandishi wa habari huyu mbulumunda huyu? Mradi tu anajua kupanua hilo domo lake ndo anaona kila kitu ni sawa tu She.nzy type kabisa!!! Mtoto mwenyewe yuko under 18, hivi siyo kwanza alitakiwa awe na mtu wa karibu wa kumsindikiza kwenye hayo mahojiano? Hebu huyu macho kum-chuzi awe na aibu aisee!!
 
Acha dharau wewe unaelimu gani?

Siwezi kukutajia kiwango changu cha elimu ila huyu dada anafanya kazi ambayo anapaswa kuisomea. Huko ndio atafundishwa ethics of journalism.

Soma hapa kidogo uone...

- Show compassion for those who may be affected adversely by news coverage. Use special sensitivity when dealing with children and inexperienced sources or subjects.

Source :: SPJ Code of Ethics | Society of Professional Journalists | Improving and protecting journalism since 1909
 
Huyo mdada na makengeza yake mimi huwa ananiudhi sana na hicho kipindi chake! Hivi ana taaluma ya uandishi wa habari huyu mbulumunda huyu? Mradi tu anajua kupanua hilo domo lake ndo anaona kila kitu ni sawa tu She.nzy type kabisa!!! Mtoto mwenyewe yuko under 18, hivi siyo kwanza alitakiwa awe na mtu wa karibu wa kumsindikiza kwenye hayo mahojiano? Hebu huyu macho kum-chuzi awe na aibu aisee!!
Subiri sheria imgeuke, atajuta kuifahamu TV. Fidia yake mbona yatamdondoka ya sirini?
 
Back
Top Bottom