Lazima tukumbuke historia alioitoa huyu binti, na bado anakiu ya kusikia siku moja huyu mama anatiwa hatiani. Na hili ni miongoni mwa mengi yanayoumiza jamii kila siku, mimi nina laani sana wote waliolaumu kuweka wazi na ikumbukwe kuwa haya yote amesha simulia watu wengi na inafahamika wewe ulitaka wafiche nini >ameumizwa>ameambukizwa HIV>ametimuliwa na ndugu zake>pia anakumbuka namna wezake wanavyoendelea kuumizwa kule kwa mama mnyongaji.
Nimekesha nikiomba hawa wote waliochukulia jambo hili kiutani na kajeli zisizo na kichwa ije watokea watoto wao au ndugu kuchanwa sirin kwao kingono na wao wawe wauguzi, wakati wasababishaji wanakunywa chai mtaani watajua "KWA NINI WATU WAMEAMUA KUANIKA." Na bado siamini kama watu hawaijui nyumba hii na huyo mama, huu ni mwanzo wa kumeza mabomu inatia hasira, na hizo haki za kumlinda zinafanya kazi kwenye jamii ya kistarabu sio hii ya wahuni.Angalia kundi ambalo limemuingilia ni la walafedha tupu polic,docters & watu wenye nafas kifedha (JAMII SERIKARI TUMSAIDIE KWANZA )