Earphone fake zinavuruga sana

Saiz wana ofaa hyo apo utaipata kwa usd 119 kutoka usd 149

Na jbl extreme saiz bei ya ofa ni 199usd kutoka 299 usd

Pita hapa kweny site yao ujionee

Official JBL Store - Speakers, Headphones, and More!

Sound inayotoka mkuu huwez amini
Kwahiyo bei hapana, kuna hizi zinaitwa ANKER.. mkuu ni dollar 50 tu, lakini mdundo wake ni kama subwoofer. Hatari sana Inakaa na charge siku nzima. Nimewaagizia sana wanafunzi wa UDOM.
 
Kwahiyo bei hapana, kuna hizi zinaitwa ANKER.. mkuu ni dollar 50 tu, lakini mdundo wake ni kama subwoofer. Hatari sana Inakaa na charge siku nzima. Nimewaagizia sana wanafunzi wa UDOM.

Anker ikasome boss kwa jbl hasa hyo jbl extreme...siku ukikutana nayo utanambia mkuu

Jamaa wanajua had kweny sound za gari...
 

Kama ni za Xiaomi kariakoo nyingi ni fake, labda uagize online. (kwa maelezo ya chief mkwawa). Ni bora utafute hizi za Samsung ndio zinapatikana hapa bongo kwa uraisi
Shida ni kuwa hazipigi inavyotakiwa,huwa napenda inner ear kwa maana kishindo chake ni kama unasubwoofer maskioni. Ndio raha ya muziki ilipo
 
Sijawah ila jbl nawajua tangu kweny sound za gari had home theater...anyway ngoja nifanye review ya anker ikinivutia nijarbu kuagiza nione..naona iko cheap
Tafuta hii Anker SoundCore Pro 25W Premium Portable Wireless Bluetooth Speaker with Superior Bass and High Definition Sound with 4 Drivers, naona kwenye reviews wanaisifu sana..
 
Mkuu JBL unawaonaje?

Nmekutana na pill yao jana...sound yake makini sana yani bass unaskia sio yakutoka kweny ile pill...nawaza inakuaje area ndogo kutoa mzik wa kias kile...

View attachment 657745

Ahh hii kitu niliikuta duka la tech 360 mazee, kwa sisi tuliozoea enzi za chuo chuo na masubwoofer yale ya wachina, kwa kweli hata mimi nilishangaa vibaya sana.. nikaamini kweli JBL kwenye sound ni noma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…