Mi mpenzi wa kula ngoma kwa hiyo mdundo kwangu lazima!Duuh poleni ayse...mimi huwa napenda earphone zenye mdundo haijalishi zikoje. Kwa Headphone yale makubwa kwangu big no.
Naomba muongozo namna ya kuziagiza mkuuHizi siuzi mkuu, unaweza agiza ndani ya siku 15-20 unakuwa umezipata.
Sh ngapi Jumla gharama yake na kuagiza??Hizi siuzi mkuu, unaweza agiza ndani ya siku 15-20 unakuwa umezipata.
Shilingi ngap Mkuu?15000/= , mkuu huu ni mwaka wa pili nazitumia, haziumuzi maskio, zina mdundo hatari, ni imara, zina active noise cancellation kama unaongea na simu.
Hizi earphone za vimipira naonaga kama ni uongo flan ivi yan...namaanisha kitu gani?Basi tatizo ni simu yako, lakini hizi earphone nyingi ni low quality, jaribu kutafuta za MI
Bongo mkuu vitu vingi ni fake aise sijui ni laana au ni vp sipendi hii kitu basi tuKumbe hadi Xiaomi zipo fake?, ila mm nina uhakika na zile ninazo nunua www.gearbest.com online ni original 100%
Fake izoyap hizi hizi, aggrey ni 5000 au 4000 hivi, sema ni za kuchomoa, supply yake si kubwa sana.
ukiagiza inachukua mda gani kama ni Aliexpress?Mkuu umewai kutumia hizi? Xiaomi piston fresh edition. Ni hatari sana zina clear sound haziumizi maskio. Mm nilishaacha kununua earphone za hapa bongo maana nyingi ni low quality. Zinaumiza masikio tu.
Hizi earphone za vimipira naonaga kama ni uongo flan ivi yan...namaanisha kitu gani?
Jibu ni hivi kwa kawaida sikio likisha banwa na iyo mipira maana izo ni za kutumbukiza then zinabana sikio kabisa ni rahisi mziki kiusikia kama nj mzito ofwhc mimi huwa na prefer zile za visponge ndio atlist zimekaa poa kama ni mdundo bas ni mdundo wenyewe ukizingatia zile sio za kutumbukiza kwenye tundu la sikio.
Sio fake zinakuja na Samsung kitochi (Guru), hazina quality kwenye sauti Ila material yake yapo vizuri na zinadumu Sana Tu.Fake izo
Sh ngapi Jumla gharama yake na kuagiza??
Fungua account aliexpress.com, halafu uwe VISA card au Mpesa mastercad yenye pesa. Chapili uwe na physical address hapa bongo na kitambulisho kwajili yakupokea mzigo unapofika Posta.Naomba muongozo namna ya kuziagiza mkuu
hakika.Hizi earphone za vimipira naonaga kama ni uongo flan ivi yan...namaanisha kitu gani?
Jibu ni hivi kwa kawaida sikio likisha banwa na iyo mipira maana izo ni za kutumbukiza then zinabana sikio kabisa ni rahisi mziki kiusikia kama nj mzito ofwhc mimi huwa na prefer zile za visponge ndio atlist zimekaa poa kama ni mdundo bas ni mdundo wenyewe ukizingatia zile sio za kutumbukiza kwenye tundu la sikio.
Hizo bei ganiTafuta earphone zinaitwa. MI izo ni balaa mkuu
Zinauzwa buku5 kkoo pale ni earphones kali sana kuanzia dB zake kwenye sauti mpaka muundo wa nje zina waya mzuri siyo wakukatika kirahisiHizo bei gani
Sikio likisha banwa ni rahisi kupata mdundo wa earphone acha ubishiSasa ww katie mpila kweny zile za kawaida uskie kama utapata sound inayotoka kweny rock ,au kanunue mipira ya kariakoo kisha skia kama utapata base au sound kali
Ahaa sema za kariakoo mkuu nyingi ni fake labda ununue na simuSio fake zinakuja na Samsung kitochi (Guru), hazina quality kwenye sauti Ila material yake yapo vizuri na zinadumu Sana Tu.
Mimi nimeagiza memory card hatimae juma 3 nimeambiwa nikachukue garama ya pale posta ni shlingi ngapFungua account aliexpress.com, halafu uwe VISA card au Mpesa mastercad yenye pesa. Chapili uwe na physical address hapa bongo na kitambulisho kwajili yakupokea mzigo unapofika Posta.
NB
Sio lazima uwe na Sanduku la Posta.... cha muhimu ni kuandika jina lako kama lilivyo kwenye kitambulisho chako na namba ya simu basi.
Huwa wanachukua 1000 au 2000 ya vocha maana wanakupigia simu, na ukiwaambia umesahau kuja na hela pia wanaweza wasikudai kitu.Mimi nimeagiza memory card hatimae juma 3 nimeambiwa nikachukue garama ya pale posta ni shlingi ngap