EAC Chief warns Tanzania on regional Integration

 

Wee kichefuchefu sisi Watanzania tulikuwepo EAC kabla ya Rwanda na Burundi. Kulikuwa shwari; mbona mnaleta hoja ya vioja wakati nyinyi wachache mnataka EAC kwa nguvu.

Kwa kweli watawala wa sasa wa Tanzania wasipoangali hili suala litachukua maisha ya mtu. Walionywa hawkusikia, sasa wanatendwa wamenyamaza. Tanzania was there before EAC. It decided postpone its independence to accommodate the community. Sasa wanaharamu, wauaji wabaguzi wa kikabila wako madarakani wanataka kumuamrisha kila mtu. Ujinga na upuuzi huu uishie huko huko.

NI WAKATI MUAFAKA KUWAACHIA EAC YAO. Waondoke wakatengeneze jumuiya yao.
 
 
Wanayo EAC yao wameshajiundia KKK sasa huku TZ wanatafuta nini tena??
 
 
UK is a member of Schengen but "partial participant". I think as a country, we should be very clear on what we are not ready at a moment than not saying anything. I am not sure if as a country we are silent on some aspects of this regional integration, BUT I think we have not made it very clear to other partners. And if this has not yet been very clear to other partner countries, then we have not expressed it well.

We should study very well on what we are worried about while others are implementing to have better decisions in future. The Schengen was hardly established by five states before the treaty was adopted by EU. However; the adoption by other states was slow.

Nevertheless; the UK, Ireland and other few countries have hardly taken some parts in the Schengen arrangements by request to cooporate in some aspects. The point over here is that THEY WERE DISCUSSING AND NOT FORCING ONE ANOTHER.
 
Huyu EAC secretary General wa sasa majanga matupu, Wao washaamua kushirikiana waendelee waunde intergaration yao ya Kenya, uganda na rwanda.
Sisi hatutaki kuharakisha shirikisho la kisiasa halitakiwi kwanza, kinachotakiwa tushirikiane kwenye biashara, mambo ya soko moja, sarafu moja nk. Shirikisho la kisiasa na kuingilia sheria za nchi ingine la nini?
Kila nchi ibaki na sheria zake, cha muhimi tunashirikiana kwenye mambo ya msingi tu basi.

Kama EAC ndo uhuni hivi na katibu mkuu mhuni namna hii, Tanzania tuanze kuangalia utaratibu wa kujitoa EAC, EAC kwa sasa ni hatari kwa usalama na mustakabali wa taifa letu.



 
nngu007 Seriously tunamtaka Waziri Sitta ajenge hoja ya kumkataa huyu jamaa kuendelea kuwa SG wa EAC--openly biased fellow! Mbona Juma Mwapachu hakuwa hivi?

Tatizo watanzania tumezoea kubebana na ndo mana tunaogopa ushindani. Waje tu ili akili zetu zipanuke... Suala la ardhi sio sababu ya msingi kwa sababu sasa hivi ardhi ipo lakini wamiliki ni wachache, pia kila mtu anategemea kuajiriwa hakuna mipango ya kujiajiri wakija tutatia akili na kuchangamka zaid.
 
watanganyika walalamishi, na wapenda sana kudhulumu. wao muungano wa usawa hawautaki. kufata mikataba wanayokuabaliana wakiona wao hawapati kikubwa hukiuka.

sisi wazanzibar hucheka sana tunapowaona wamepata wababe wenzao EAC. maana ss wametukalia na kutuonea kila tukijipapatua bado KUBWA JINGA limetushikilia. tuacheni Hebu tupumue
 
Hivi hawa trio si tuliwaambia waendelee tu na ndoa yao ya mkeka!?. Mbona bado wanatufatafata!
 

mkuu kwani kufanya biashara na kenya au uganda ni lazima uruhusu wanainchi wa nchi hizo wahamie hapa, au wamiliki ardhi hapa tz, au ni lazima ujiunge na political federation!!!!
 
mkuu kwani kufanya biashara na kenya au uganda ni lazima uruhusu wanainchi wa nchi hizo wahamie hapa, au wamiliki ardhi hapa tz, au ni lazima ujiunge na political federation!!!!

Mkuu kwani jumuia ya afrika mashariki maana yake ni kuwa wananchi wa Kenya na Uganda wanahamia Tanzania na kumiliki ardhi hapa Tanzania. Sheria za Tanzania zinakataza ardhi kumilikiwa na wageni, hadi hapo hiyo sheria itakapofutwa ndio nitapata mashaka kuhusu wao kumiliki. Lakini vitu kama kuondoa vikwazo vya kubiashara na vikwazo vya kusafiri ni mabongolala tu ndio watakao shangilia kwa kuwa hata hizi fursa zilizopo sasa kabla ya jumuia ya afrika mashariki watu hawazitumii zaidi ya kulalamika tu na kukataa jumuia...

Cha ajabu ni kwamba kuna mizungu, miarabu na mihindi kibao inamiliki ardhi ya kufuru hapa Tanzania kinyume cha sheria baada ya kutoa rushwa lakini hakuna mtu anayeongelea, nyie mko busy na wakenya tu. Lazima tupambane na kuwashinda wakenye na sio kuwaogopa, think out of the box
 
aisee naomba 2rejee mikataba iliopitishwa na eac.hi habar ya ardh ipo na n janga kwetu kama tukiruhusu mapema.hati miliki kwanza,vitambulsho vya taifa,na elimu kwa asilimia 75,na miundombinu na sera za ndan kuimarishwa.anaeutaka huo muungano akakaenao huko.
 
mkuu kwani kufanya biashara na kenya au uganda ni lazima uruhusu wanainchi wa nchi hizo wahamie hapa, au wamiliki ardhi hapa tz, au ni lazima ujiunge na political federation!!!!


Hizi shule mnafaulu vipi kwa akili hizi? Kwa ufupi anasema kwasababu sisi tunayo ardhi kubwa,basi tuitumie kikamilifu,tulime tuzilishe nchi majirani. Kwamba soko la mazao yetu ya kilimo lipo,lakini hatufanyi juhudi ya kulima na kuwauzia wenzetu,tunakalia ooh wanataka ardhi yetu! Akili za kipimbi hizi!
 
wavuta bangi hao kaka koba umewasahau?unaona ameishaingiza rwanda,baadaye kagame,kabla haijafika mwisho hii thread watakuwa wametaja na m23.....chuki itawatafuna wenyewe...
jina lako tu limekaa kinyarwanda najua wewe na sezbera wote ni watumwa wa kagame na tanzania tulikosea sana kuruhusu nchi kama rwanda ambazo bado zipo vitan rejea m23 ni kikosi cha kagame cha kuwaua wakongo ili apanue nchi ndogo ya rwanda na kuipata kivu ya kusini na kaskazini hima empire,,,mwambie kagame tunajua bila tanzania hakuna east afrca community so hamuwez kutulazmisha ndoa isiyo na maslahi kwetu wote kenya,rwanda, na uganda hamna ardhi na resource sasa mtagawana nini tanzania si shamba la bibi
 
Soko la ndani linatutosha tuachane na huo muungano wa eac wa mashaka watusi wanataka wajtanue na tusi empre yao kweli mtkila alinena haya tukamzarau tuts empre jengen rwanda na uganda na mkiingia drc tunawachapa
 

Acha kuwaza kama mbumbumbu,ukongwe wetu ktk EAC unatusaidia nini kama hatuna maamuzi kama nchi nini tunataka ktk ushirikiano wa EAC?

Naamini ukimwuliza JK ama SS ni nini mpango mkakati wa Tanzania ktk EAC ujibiwa majibu ya ajabu kabisa! Sasa badala ya sisi kujadili watawala wetu kwanini wameshindwa,na sisi tunatumbukia ktk kundi la kushindwa!

Nimekua nawaambia watu wa CDM,na hasa Mawaziri kivuli wa sekta husika,hizj ni ndizo fursa muhimu kujitangaza mngekua watawala mgefanya nini Tanzania kufaidika na ushirikiano wa EAC. Juzi juzi hapa Muhongo katoa kauli ya dharau kuhusu uwekezaji wa wazawa ktk sekta ya mafuta na gesi,sikusikia kauli yoyote toka CDM! Mnata Mungu awape nini tena?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…