EAC Chief warns Tanzania on regional Integration

EAC Chief warns Tanzania on regional Integration

Tanzania yashtukia mtego jeshi la pamoja EAC
NA MOSHI LUSONZO
28th September 2013

Siri za kutengwa kwa Tanzania katika Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) zinazidi kufichuka, baada ya kudaiwa kuwa nchi za Kenya, Uganda na Rwanda zilitumia ubabe kushinikiza ikubali kusaini itifaki ya kuunda jeshi la pamoja.

Habari za uhakika kutoka vyanzo vyetu vya habari, zilidai kuwa nchi hizo zilikuwa zikiishinikiza Tanzania ikubali kutia saini ripoti ya viongozi wakuu wa nchi hizo, ambapo ndani yake kuna itifaki inayojulikana kama Mutuar Defence Park (MDP) inayoruhusu majeshi ya nchi hizo kuingilia kati nchi mwanachama zinapopigana vita.

Hata hivyo, katika kikao hicho kilichofanyika jijini Bujumbura nchini Burundi, hali ilikuwa mbaya baada ya kuona wajumbe wa Tanzania wakipinga suala hilo, wakitoa sababu kwamba jambo hilo ni jipya, lazima yawepo kwanza majadiliano ya wazi.

Msimamo huo wa serikali, ulionyesha kuzikera nchi za Rwanna Uganda ambazo kwa miaka mingi zinakabiliwa na mapigano dhidi ya vikundi vya waasi.

Nchi hizo zilikuwa zikiamini kuwa kama Tanzania itakubali kusaini itifaki hiyo, haitaweza kupeleka majeshi yake Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DRC), kupambana na waasi wa M23.

Lengo la nchi hizo ni kusaidiwa katika vita vyao na waasi wa Rwanda wa Interahamwe (FDLR) kwa upande wa Rwanda na waasi wa Lord Resistance Army (LRA) wanaopigana na Serikali ya Uganda.

"Wajumbe wa Tanzania hawakukubaliana na jambo hilo, walisema suala hilo ni jipya na endapo litakubaliwa kuwa itifaki nchi itajiingiza kwenye mtego," kilisema chanzo hicho.

Pamoja na msimamo huo, nchi hizo zilishinikiza kusaini kwa ripoti hiyo haraka, hatua ambayo ilisababisha wajumbe kutoka Tanzania kususia kikao hicho.

"Wakati wa kusaini ripoti hiyo, kiti cha nchi yetu kilikuwa kitupu jambo ambalo lilileta hali ya wasiwasi kwa Watanzania," ilisema.

Chanzo hicho kilisema kuwa baada ya kuona hali imekuwa ngumu, nchi hizo zilikubaliana na maoni ya Tanzania na kuomba kuwepo na majadiliano ya namna ya kufikia muafaka wa jambo hilo.

SERIKALI YAZUNGUMZA
Akizungumza na gazeti hili kwa njia ya simu, Naibu Waziri wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Dk. Abdullah Juma Sadallah, alithibitisha kuwepo kwa tukio hilo na kusema uamuzi huo ulikuwa kwa ajili ya maslahi ya Watanzania.

Hata hivyo, alisema tayari viongozi wa nchi zote wamelipatia ufumbuzi suala hilo na kutiliana saini ya uanzishwaji wa mazungumzo ya uwepo wa suala hilo.

"Ninasisitiza kwamba nchi yetu inafuata taratibu za kidemokrasia lazima kama kitu kipya wananchi wafahamishwe na waridhie kuliko kufanya makubaliano ya viongozi." alisema Dk. Sadallah.

Alipoulizwa kama nchi hizo zitakapoiweka Tanzania kando na kuanza suala hilo peke yao kama ilivyofanya hivi karibuni katika mambo mbalimbali ikiwamo miradi, viza ya pamoja na raia kuwa na uhuru wa kuingia kwenye nchi hizo bila kikwazo. Dk. Sadallah alisema hilo halitawashangaza.

"Ninachowaomba wananchi wasiwe na hofu hata kama wakiamua wao kuanza basi ruksa, lakini kwanza kuwepo na makubaliano ya nchi zote tano vinginevyo itakuwa nje ya EAC kama walivyofanya nyuma," alisema.

Alisisitiza kuwa wizara hiyo inayoongozwa na Waziri Samuel Sitta ipo makini na inafanya kazi zake kulingana na maoni na matakwa ya wananchi na ndio maana bado maslahi ya nchi yanaendelea kulindwa.
CHANZO: NIPASHE
Haya yanafanyika chini ya uangalizi wa Dr Sezibera akitumika kama kamba ya kuitia kitanzi Tanzania.

Endapo lingekuwa suala la uchumi basi tungeelewa, hili ni la kisiasa likiwa na perfume ya kiuchumi, kwamba mikataba ya ujenzi wa reli ndani inahusisha mikataba ya majeshi!

Dr Sezibera hana sababu za 'kuionya Tanzania' huku tukifahamu kuwa ana agenda ya siri kwa kutumia wadhifa wake wa katibu mkuu wa EAC.

Haiwezekani achomeke vifungu kwa jinsi ajuavyo ili kuishinikiza Tanzania, leo yupo katika mikutano 'ya kijiweni' akiikashfu Tanzania.

Hivi suala kama hili linahitaji uharaka gani kiasi cha kushinikizana.
Lengo la Museveni kuingiza Rwanda ili kupata nguvu za kisiasa ni la kuangalia kwa tahadhari.
Ni Museveni aliwahi kudai urais wa kwanza wa shirikisho, sasa tunaona haya ya majeshi.

Katika kuficha ukweli wa mambo muhimu Kenya na Rwanda wameamua kutumia media kwa madai eti Tanzania inaogopa ushindani.

Hivi kuna ushindani gani katika suala la kuunganisha majeshi? Kuna ushindani upi wa kiuchumi.
Kwa bahati mbaya sisi tunafuta wanachokisema wao na si ukweli wa kile wasichokisema.

Wanatuondoa katika issue ili tujadili spinning zao za kitoto kuhusu ushindani na elimu.
Leo nani alijua kuwa kuna vipande vya mikataba vinachomekwa na Dr R.Sezibera kwa shinikizo la Kagame na Museveni.

Nani anaweza kuniambia mgogoro wa Ardhi wa KM 1 ya migingo umesuluhishwa vipi.
Kwanini Tanzania ikionyesha concern ionekane kama ni kwenda kinyume na spirit ya EAC.

EAC inatakiwa ijengwe kwa misingi ya wananchi na siyo viongozi.
Tatizo la mwaka 1977 lilitokana na viongozi wawili tu, Charles Njonjo na Jomo Kenyatta.

Wananchi wa Kenya hawakupenda ife na wala hapakuwa na manung'uniko yoyote miongoni mwao kama ilivyokuwa kwa nchi za Tanzania na Uganda. Kosa hilo linaonekana kutaka kujirudia.
EAC si ya Kikwete, Museveni, Uhuru, Kagame au Nkurunzinza. Ni ya wananchi, hivyo kila jambo lapaswa kuwa wazi na kwa ukweli si kificho kama alivyofanya Dr Sezibera

Leo Dr Sezibera kwa kwa matakwa yake anachomeka vifungu vinavyohusu mambo mazito kama ulinzi na usalama eti visainiwe bila kufuata misingi na taratibu zilizounda EAC.

Baada ya hapo anakimbia mitaani Nairobi na kusema hovyo dhidi ya Tanzania huku akijua fika anatekeleza masilahi ya Kagame na wala si EAC.

Tuliwahi kuwa na katibu mkuu kutoka Kenya, Uganda na Tanzania.
Katika nyakati zote mambo ndani ya EAC yalikuwa shwari na kauli zililingana na misingi ya jumuiya.
Baada ya Sezibera kuingia jumuiya imekuwa hovyo kwasababu ya kutofuata taratibu.

Nilitegemea Sezibera angezungumzia mikutano inayowatenga Tanzania na Burundi kuwa kinyume na kifungu kinachoruhusu ushirika miongoni mwa wanachama.

Kifungu hicho kinaeleza wazi kuwa mkataba au makubaliano yoyote ya wanachama lazima yajulikane katika sekretari ya EAC.

Rwanda, Uganda na Kenya hawajajulisha sekretari ya EAC kuhusu mambo yao.
Tanzania na Burundi zimeuliza ni kwanini.

Ilikuwa jukumu la Dr Sezibera kutoa majibu na si kukimbilia Nairobi katika mikutano ya binafsi na kuanza kutoa kashfa zisizo na ukweli dhidi ya Tanzania na kuficha ukweli wa nini tatizo.

Dr Sezibera anaacha majukumu yake kama katibu mkuu anakimbilia ushabiki akiwa mtendaji.
Hili ni tatizo kubwa sana kunapokuwepo na mtu katika chombo muhimu kama hicho akiendesha agenda za watu binafsi na si wananchi wa EAC.

Huyu kibaraka na msaliti Sezibera anazidi kuiua EAC na ni hatari sana kwa mustakabali wa Tanzania. Anachuki dhidi ya Tanzania, ni hatari wa kuangaliwa kwa umakini. Ni waziri wa Kagame si katibu mkuu wa EAC.

Mchora wamani wa kifo cha EAC ni Rwanda kwa kumtumia Dr Sezibera ambaye nadiriki kusema hajaongoza taasisi nyingine ya kimataifa isipokuwa EAC ambayo anataka kuiua makusudi.

Hakuwepo mwaka 1977 wala 1984, hamjui Moi, Mwinyi, Mkapa au basi Museveni.
Kitendo cha yeye kukimbilia hoja dhaifu za kipuuzi zenye arrogance ya Kinyarwanda ni cha kulaaniwa.

cc Mchambuzi JokaKuu Zinedine
 
Tanzania will be just fine without EAC

Yes. I agree with you. Just withdraw and consolidate your SADC membership. Play second fiddle to SA. Actually no. Play last fiddle to SA. Kwenye SADC tanzania ni outsider. Just look at all members of SADC, kuna similarities fulani considering the geographical location ya hizo nchi. Tanzania iko pembeeni sana.
 
Hata katika nchi za EAC(Kenya, Tanzania, Uganda) kuna similarities sana na geographical location ya Rwanda ipo pembeeni sana.

Rwanda ni mwanachama wa COMESA kuna tatizo gani Tanzania ikiwa SADC.
Je geographical position inaiweka Rwanda katika nafasi gani ikiwa na nchi nyingine. Je, kuna similarities za aina yoyote zaidi ya Uafrika.

Tazama kwanza msingi wa SADC na historia yake inatokana na nini halafu ndipo uje na hoja laini kama hii.
SADC imeundwa kutokana na nchi za frontline state ambazo zimebadili malengo kutoka ya awali na kuwa ya kiuchumi na kisiasa zaidi ya ukombozi. Angalia historia ya Tanzania na position yake kwanza kabla hujaandika maana unaandika mambo usiyoyajua au pengine umri hakuruhusu kufahamu kama si utamaduni wa chuki ambao ni legacy ya Rwanda dunia. Upo katika guiness book.

Mwaka 1967 EAC ilipoundwa Rwanda haikuwepo. Mwaka 1977 EAC ilipokufa Rwanda haikuwepo na Tanzania licha ya matatizo ilibaki fine kama anavyosema VUVUZELA

Mwaka 1984 Dr Umbrich aki mediate mgawanyo wa assets and liabilities za EAC Rwanda haikuwemo.
Mwaka huo ikiundwa kamati ya kuangalia maeneo ya ushirikiano ndani ya true EAC, Rwanda haikuwemo.

Mwaka 1990 akina Moi, Mwinyi na Mkapa wakisaini makubaliano ya kuanzisha EAC ya leo, Rwanda haikuwepo.
Mwaka 1993 mikataba ya EAC ikisainiwa Rwanda haikuwepo.
Ni wakati huo Kagame na Sezibera walikuwa wanaongoza genocide na hawakuwa na wazo la EAC FYI.

Kwa mtazamo huo Tanzania katika EAC ni major player, na Rwanda ni spoiler kama alivyodhihirisha Dr Sezibira.

Dr Sezibira anaalikwa kwenda kuongelea EAC vichochoroni Nairobi kwa maagizo kutoka Kigali.
Ameacha agenda na taratibu zinazoongoza EAC yupo bize akiendeleza arrogance ya kinyaranda iilijengwa katika misingi ya hatred.

Tanzania ipo ndani ya EAC na haina sababu za kujitoa. Ndio EAC yenyewe si Rwanda.
Mwambie Sezibera ajibu hoja si kukimbilia vichochoroni Nairobi just to appease his master for cheap popularity.EAC itajengwa kwa maono si cowardliness.

Last edited by a moderator:

Whether we are last or first it really doesn't matter. We gonna be just fine and it's high time you and your fellow EAC states to leave us alone. We will be just fine, dude!
1977 still lingers in our hearts and we refuse to be railroaded and rushed into something that isn't of benefit to our beloved Tanzania. After all EAC is nothing but partnership in poverty! We were played fools like a grand piano in 1977 and we still remember. Once beaten twice shy.
Go after Somalia. Somalia has been working on submitting EAC membership bid. You guys need to replace Tanzania with Somalia
EAC needs Somalia
 
Hata katika nchi za EAC(Kenya, Tanzania, Uganda) kuna similarities sana na geographical location ya Rwanda ipo pembeeni sana.

Rwanda ni mwanachama wa COMESA kuna tatizo gani Tanzania ikiwa SADC.
Je geographical position inaiweka Rwanda katika nafasi gani ikiwa na nchi nyingine. Je, kuna similarities za aina yoyote zaidi ya Uafrika.

Tazama kwanza msingi wa SADC na historia yake inatokana na nini halafu ndipo uje na hoja laini kama hii.
SADC imeundwa kutokana na nchi za frontline state ambazo zimebadili malengo kutoka ya awali na kuwa ya kiuchumi na kisiasa zaidi ya ukombozi. Angalia historia ya Tanzania na position yake kwanza kabla hujaandika maana unaandika mambo usiyoyajua au pengine umri hakuruhusu kufahamu kama si utamaduni wa chuki ambao ni legacy ya Rwanda dunia. Upo katika guiness book.

Mwaka 1967 EAC ilipoundwa Rwanda haikuwepo. Mwaka 1977 EAC ilipokufa Rwanda haikuwepo na Tanzania licha ya matatizo ilibaki fine kama anavyosema VUVUZELA

Mwaka 1984 Dr Umbrich aki mediate mgawanyo wa assets and liabilities za EAC Rwanda haikuwemo.
Mwaka huo ikiundwa kamati ya kuangalia maeneo ya ushirikiano ndani ya true EAC, Rwanda haikuwemo.

Mwaka 1990 akina Moi, Mwinyi na Mkapa wakisaini makubaliano ya kuanzisha EAC ya leo, Rwanda haikuwepo.
Mwaka 1993 mikataba ya EAC ikisainiwa Rwanda haikuwepo.
Ni wakati huo Kagame na Sezibera walikuwa wanaongoza genocide na hawakuwa na wazo la EAC FYI.

Kwa mtazamo huo Tanzania katika EAC ni major player, na Rwanda ni spoiler kama alivyodhihirisha Dr Sezibira.

Dr Sezibira anaalikwa kwenda kuongelea EAC vichochoroni Nairobi kwa maagizo kutoka Kigali.
Ameacha agenda na taratibu zinazoongoza EAC yupo bize akiendeleza arrogance ya kinyaranda iilijengwa katika misingi ya hatred.

Tanzania ipo ndani ya EAC na haina sababu za kujitoa. Ndio EAC yenyewe si Rwanda.
Mwambie Sezibera ajibu hoja si kukimbilia vichochoroni Nairobi just to appease his master for cheap popularity.EAC itajengwa kwa maono si cowardliness.

Don't contradict yourselves...mara mnasema hamuitaki EAC mara hatutoki EAC!! Tuwaeleweje? Either you are in or you are out. Don't sit on the fence. Na kama mko ndani basi nendeni na kasi ya wenzenu, sio kujivutavuta ka mgonjwa mahututi. We have no time for slow thinkers man.
 
Go after Somalia. EAC needs Somalia
 
Kwanza mimi siyo incompetent maana nimeshavuka kiwango cha kitaifa niko kimataifa zaidi na pili mimi siko kwa Mwanaasha sijui maana simjui ninachosema ni uzalendo uwekwe mbele hiyo hoja umeikwepa. Narudia tena uzalendo mbele kwanza

Kama wewe ni incompetent kwenye labor market shauri yako, hatuwezi kusubiri hadi wewe ujitambue ndio tuungane wakati umekumbatia ujinga. Kama woga ndio kuheshimu nchi yako ni bora nionekane siheshimu. Serikali ya awamu ya tatu chini ya Mkapa ilikuwa na ujasiri wa kujadiliana na kutekeleza makubaliano, nyie akina Mwanaasha hamueleweki mnataka nini kwenye jumuia, ni bora kujitoa ijulikane moja kuliko kuwa mguu nje mguu ndani. Ni bora kuwa moto au kuwa baridi kuliko kuwaVUGUVUGU
 
Don't contradict yourselves...mara mnasema hamuitaki EAC mara hatutoki EAC!! Tuwaeleweje? Either you are in or you are out. Don't sit on the fence. Na kama mko ndani basi nendeni na kasi ya wenzenu, sio kujivutavuta ka mgonjwa mahututi. We have no time for slow thinkers man.
Kasi gani unayoongelea? Hii ya Sezibera ya kutaka tusaini mikataba ya jeshi kwa siri.
Hilo hamtafanikiwa kwasababu Tanzania ina experience ya haya mambo na Kagame na Sezibera hawawezi kutufundisha kuhusu EAC.

Wakati EAC inaanzishwa some cowards were in the bush killing the generation leo watueleze kasi gani.
Sisi ndiyo EAC siyo Rwanda for FYI

Please tell Sezibera to stop Rwandese arrogance, EAC is not genocide field.
Mwambie uzoefu wa kuua watu ni huko Kigali beyond that ni civilization inayofanya kazi.

Habari ya kwenda kuongea utumbo Nairobi ili ku appease ''wazee'' wake haikubaliki.
He can entertain Kenyans in his house but not inside EAC office.

Haya na wewe nikuulize. You want in or you want out? Jibu swali kwanza halafu nitakupa mtiririko.
 
The so called EAC can't be without Tanzania.If Tanzania says no to it, it will die automatically.
 
Hilo swali haliwezi kuulizwa Tanzania mwanzilishi wa jumuiya labda Rwanda mgeni akiendelea na vurugu zake ataulizwa.

Haya na wewe nikuulize. You want in or you want out? Jibu swali kwanza halafu nitakupa mtiririko.
 
Jibu swali: How long will your EAC continue to neglect Somalia?

We will cross the bridge when we get there. Kuhusu Tanzania ambaye mko ndani ya EAC, are you with the coalition of the willing au nyie ndio the ostracized boy in the class.
 
Back
Top Bottom