EAC Chief warns Tanzania on regional Integration

EAC Chief warns Tanzania on regional Integration

Nani kawalazimisha. Tumesema kama hamtaki EAC ondokeni hatuwalazimishi. Mbona mnang'ang'ania. Si mmesema haiwafai?
Wewe hapo abanyamulenge unakaa kutwa nzima, all day every day bashing about Tanzania and praising EAC. We don't need this partnership in poverty. Mnaotulazimisha ni wewe na mnaweza kuendelea na coalition of the willing.
Good luck with your EAC!
Kinachowafanya msi-move on ni kitu gani?
 
Nani kawalazimisha. Tumesema kama hamtaki EAC ondokeni hatuwalazimishi. Mbona mnang'ang'ania. Si mmesema haiwafai?
Ni wewe ndie unaeukuja kulazimisha maneno yaliyo tamkwa, wakati huyo kibaraka wenu anaongea differently with court actions to follow and things of jilted wife nature.

Tanzania imeweka its position clear on what terms it is willing to participate on the EAC block, na aijawazuia kufanya mnachotaka kufanya only it wont be part of things which are not beneficial to its people. Sasa tatizo liko wapi mbona ni common arrangements kwenye miuongano.

Nchi tu kama USA wakati wanaungana kuna states zilitaka zibaki na autonomy zao za kisheria na maamuzi mengine na mpaka leo that is the case, kwanini liwe tatizo kwenye muungano wa 'independent sovereign' nchi moja kukataa some arrangements which it thinks are not in its peoples interest.

Mbona EU imekuwa taratibu na sasa ina miaka karibu au zaidi ya hamsini lakini most of the recent agreements are not even two decades and yet there some states who have not embraced all the proposed union arrangements without having their membership revoked, because of differing union matters.

Ndio maana you guys come across as desperate nations in need of help especially Rwanda and Kenya.
 
Ni wewe ndie unaeukuja kulazimisha maneno yaliyo tamkwa, wakati huyo kibaraka wenu anaongea differently with court actions to follow and things of jilted wife nature.

Tanzania imeweka its position clear on what terms it is willing to participate on the EAC block, na aijawazuia kufanya mnachotaka kufanya only it wont be part of things which are not beneficial to its people. Sasa tatizo liko mbona ni common arrangements kwenye miuongano.

Nchi tu kama USA wakati wanaungana kuna states zilitaka zibaki na autonomy zao za kisheria na maamuzi mengine na mpaka leo that is the case, kwanini liwe tatizo kwenye muungano wa independent sovereign nchi moja kukata some arrangements which its thinks are not in its interest. Mbona EU imekuwa taratibu na sasa ina miaka karibu hamsini lakini most of the recent arrangements are not even two decades and yet there some states who have not embraced all the proposed union arrangements and there still members on their terms.

Ndio maana you guys come across as desperate nations in need of help especially Rwanda.
Nakwambia huyu banyamulenge bila kuitaja Tanzania kila siku haoni raha. Haitapita hata 3 minutes utamwona , mara oooh kwa nini hamjoin EAC, mara oooh Rwanda will be better off with Tanzania out of EAC, mara oooh mtakuwa soko la S. Africa kula SADC, mara ooh mtabaki maskini.
Kinachowazuia hawa EAC members ku-move on ni nini? Watuachie Tanzania yetu.
EAC needs Somalia the most
 
Its desperate times for them, they need desperate measures. But my god there are too clingy.
 
Hata katika nchi za EAC(Kenya, Tanzania, Uganda) kuna similarities sana na geographical location ya Rwanda ipo pembeeni sana.

Rwanda ni mwanachama wa COMESA kuna tatizo gani Tanzania ikiwa SADC.
Je geographical position inaiweka Rwanda katika nafasi gani ikiwa na nchi nyingine. Je, kuna similarities za aina yoyote zaidi ya Uafrika.

Tazama kwanza msingi wa SADC na historia yake inatokana na nini halafu ndipo uje na hoja laini kama hii.
SADC imeundwa kutokana na nchi za frontline state ambazo zimebadili malengo kutoka ya awali na kuwa ya kiuchumi na kisiasa zaidi ya ukombozi. Angalia historia ya Tanzania na position yake kwanza kabla hujaandika maana unaandika mambo usiyoyajua au pengine umri hakuruhusu kufahamu kama si utamaduni wa chuki ambao ni legacy ya Rwanda dunia. Upo katika guiness book.

Mwaka 1967 EAC ilipoundwa Rwanda haikuwepo. Mwaka 1977 EAC ilipokufa Rwanda haikuwepo na Tanzania licha ya matatizo ilibaki fine kama anavyosema VUVUZELA

Mwaka 1984 Dr Umbrich aki mediate mgawanyo wa assets and liabilities za EAC Rwanda haikuwemo.
Mwaka huo ikiundwa kamati ya kuangalia maeneo ya ushirikiano ndani ya true EAC, Rwanda haikuwemo.

Mwaka 1990 akina Moi, Mwinyi na Mkapa wakisaini makubaliano ya kuanzisha EAC ya leo, Rwanda haikuwepo.
Mwaka 1993 mikataba ya EAC ikisainiwa Rwanda haikuwepo.
Ni wakati huo Kagame na Sezibera walikuwa wanaongoza genocide na hawakuwa na wazo la EAC FYI.

Kwa mtazamo huo Tanzania katika EAC ni major player, na Rwanda ni spoiler kama alivyodhihirisha Dr Sezibira.

Dr Sezibira anaalikwa kwenda kuongelea EAC vichochoroni Nairobi kwa maagizo kutoka Kigali.
Ameacha agenda na taratibu zinazoongoza EAC yupo bize akiendeleza arrogance ya kinyaranda iilijengwa katika misingi ya hatred.

Tanzania ipo ndani ya EAC na haina sababu za kujitoa. Ndio EAC yenyewe si Rwanda.
Mwambie Sezibera ajibu hoja si kukimbilia vichochoroni Nairobi just to appease his master for cheap popularity.EAC itajengwa kwa maono si cowardliness.

mkuu una maelezo mazuri mnoo
 
Last edited by a moderator:
Its desperate times for them, they need desperate measures. But my god there are too clingy.
I'm very surprised that EAC can't just leave Tanzania alone and move on with other members. I wonder why they can't just proceed with their agendas and ambitions. The lessons of 1977 still linger in our hearts, and we refuse to just jump in the EAC band wagon.
We, Tanzanians, wish EAC well and good luck!
 
Nakwambia huyu banyamulenge bila kuitaja Tanzania kila siku haoni raha. Haitapita hata 3 minutes utamwona , mara oooh kwa nini hamjoin EAC, mara oooh Rwanda will be better off with Tanzania out of EAC, mara oooh mtakuwa soko la S. Africa kula SADC, mara ooh mtabaki maskini.
Kinachowazuia hawa EAC members ku-move on ni nini? Watuachie Tanzania yetu.
EAC needs Somalia the most

hayuko pekee yake huyu murutongera katika keyboard lakini ni kama taasisi special kwa propaganda..
 
hayuko pekee yake huyu murutongera katika keyboard lakini ni kama taasisi special kwa propaganda..
Wana bahati sana wamemkuta rais tulie nae kwa sasa sio wa kufanya maamuzi magumu na hayuko smart hivyo.
I'm pretty sure the next president after JK will be very direct and straight forward, and will make a crystal clear statement about our standing in this bogus EAC. They can remain our neighbors, but I can't see Tanzania join in this cra.p...... eti sijui EAC common passport, EAC common currency............
Common passport ya kwenda wapi? Again, 1977 is still fresh in our hearts.
This EAC is a mere HOGWASH!!!
 
Sasa kwa nini mnalia eti hamkushirikishwa kwenye mkutano wa Entebbe na Mombasa? You see...you guys don't know how to play this political game. Tumewaminya kidogo tu, mkaachia. ile road toll. Tulieni mjifunze kutoka kwa wataalam. Unajua with corruption in your country, you will always be played because your leaders are greedy and corrupt. Hamna patriotic leaders hapo. Wanaangalia matumbo yao tu.
 
Hatujalia, we just questioned the move, and we now know where EAC stands and where we stand as well. No hard feelings. Good luck with your EAC
 
Hawa wahamiaji haramu cku hz wanakimbilia znz badala ya kwenda kwao, cjui hapa tz kuna nini?
 
Yes. I agree with you. Just withdraw and consolidate your SADC membership. Play second fiddle to SA. Actually no. Play last fiddle to SA. Kwenye SADC tanzania ni outsider. Just look at all members of SADC, kuna similarities fulani considering the geographical location ya hizo nchi. Tanzania iko pembeeni sana.

..umesahau kwamba Rwanda mliomba kujiunga na SADC?

..hivi majuzi tu mlikuwa mna-negotiate trade deals na South Africa.

..pia nadhani unaijua Tanzania, but not that well. tumepakana na DRC, Zambia, Malawi, na Mozambique, ambazo ni wanachama wenzetu wa SADC. we r not outsiders in SADC, we are one of the founding members of SADC na sasa hivi SG wa SADC ni Mtanzania.

..Tanzania tutaendelea kuwepo ktk EAC, but on our own terms. Pia tunaamini kwamba eventually SADC na EAC zitakuja kuwa one big common market na Tanzania ndiyo tutakuwa kiungo muhimu ktk mjumuiko huo.

NB:

..Kenya wanaowadanganya Rwanda kwamba SA ni wabaya, but they are doing more business with SA than with Rwanda.

cc VUVUZELA, Nguruvi3, Ngongo, Ruzibiza
 
Last edited by a moderator:
I do not think genuine integrationists in East Africa should be worried by Kenya, Uganda and Rwanda meeting in Mombasa to plan joint projects; just as a meeting of Tanzania, Burundi and Rwanda to hasten the implementation of the proposed Musoma-Arusha-Tanga Railway should not worry Kenya and Uganda.

Projects which facilitate the integration of two or more of the partners in the EAC are all in the right direction. Rwanda and Burundi should for instance be very much interested in the rehabilitation and renovation of the Tanzania Central Railway Line and Dar es Salaam Port.

As the last Secretary General of EAC (Phase I) I lament that it was not possible during that phase to extend the Tanga-Arusha Railway to Musoma. Arguments that passing through the Serengeti National Park would disturb this wonder of the world were advanced by a number of people, especially those pre-occupied with Kisumu and Mombasa ports' business expansion. Anyway, the economic and financial strains that followed , made the Tanzania authorities shelve the project.
 
Hawa Rwanda ni wazimu! Tanzania alilie EAC wakati kawakaribisha nyie ili msiendelee kuchinjana leo ndio mnajifanya ku dictate terms? Maajabu! Penye makosa lazima tukubali kusahihisha! Frankly speaking we have nothing to loose by leaving EAC.

Tatizo EAC SIYO YENU NYIE WANYAMURENGE! Ni Mali ya nchi 3 tu, ebu angalia was taabu wa Burundi.hivi tutafaidika nini kwa kuing'ang'ania Rwanda yenye uchumi kama wa wilaya ya korogwe? Madini ya wizi tumeziba sasa sijui mtaishi vipi? Mtalipwa mboga Za majani na mihogo kama mishahara au umesahau mlikuwa mnalipana nini kabla ya kuanza wizi wa madini ya DRC!

Sasa kwa nini mnalia eti hamkushirikishwa kwenye mkutano wa Entebbe na Mombasa? You see...you guys don't know how to play this political game. Tumewaminya kidogo tu, mkaachia. ile road toll. Tulieni mjifunze kutoka kwa wataalam. Unajua with corruption in your country, you will always be played because your leaders are greedy and corrupt. Hamna patriotic leaders hapo. Wanaangalia matumbo yao tu.
 
..umesahau kwamba Rwanda mliomba kujiunga na SADC?

..hivi majuzi tu mlikuwa mna-negotiate trade deals na South Africa.

..pia nadhani unaijua Tanzania, but not that well. tumepakana na DRC, Zambia, Malawi, na Mozambique, ambazo ni wanachama wenzetu wa SADC. we r not outsiders in SADC, we are one of the founding members of SADC na sasa hivi SG wa SADC ni Mtanzania.

..Tanzania tutaendelea kuwepo ktk EAC, but on our own terms. Pia tunaamini kwamba eventually SADC na EAC zitakuja kuwa one big common market na Tanzania ndiyo tutakuwa kiungo muhimu ktk mjumuiko huo.

NB:

..Kenya wanaowadanganya Rwanda kwamba SA ni wabaya, but they are doing more business with SA than with Rwanda.

cc VUVUZELA, Ngongo, Ruzibiza
Thanks mkuu, Na Uganda nayo iliomba kuwa SADC sasa sijui kama haipo pembeeni kama anavyosema mwenzetu.

Hata nje ya EAC Tanzania itabaki kuwa kiungo muhimu kwa nchi zinazoelekea kuwa na EAC ya pembeni.

Amesahau kuwa migogoro kama wa Comoro na Madascar, DRC ndani ya SADC impact ya Tanzania haihitaji microscope.
Mike Okema ameandika vema katika EAC. Amesema for strong EAC kuiacha Tanzania ni kuwa na light weight.
Akaongezea kusema mambo ambayo Tanzania inaonekana kutokabaliana nayo ni ya msingi zaidi kuliko kupuuzwa.
 
I do not think genuine integrationists in East Africa should be worried by Kenya, Uganda and Rwanda meeting in Mombasa to plan joint projects; just as a meeting of Tanzania, Burundi and Rwanda to hasten the implementation of the proposed Musoma-Arusha-Tanga Railway should not worry Kenya and Uganda.

Projects which facilitate the integration of two or more of the partners in the EAC are all in the right direction. Rwanda and Burundi should for instance be very much interested in the rehabilitation and renovation of the Tanzania Central Railway Line and Dar es Salaam Port.

As the last Secretary General of EAC (Phase I) I lament that it was not possible during that phase to extend the Tanga-Arusha Railway to Musoma. Arguments that passing through the Serengeti National Park would disturb this wonder of the world were advanced by a number of people, especially those pre-occupied with Kisumu and Mombasa ports' business expansion. Anyway, the economic and financial strains that followed , made the Tanzania authorities shelve the project.
Mzee Mtei, nadhani hakuna tatizo kukiwa na ushirikiano miongoni mwa wanachama kama ulivyosema.
Tatizo ni kuwa mkataba wa EAC unasema mashirikiano ya namna hiyo yafanyike kukiwa na taarifa ndani ya sekretari ya EAC. Kilichotokea ni kuwa hakukuwa na taarifa na wala mwaliko. Sidhani kama kungekuwa na ubaya kualika wanachama wengine hata kama hawashiriki kama waangalizi kama dhamira njema.

Kibaya zaidi miradi wanayofanya wenyewe haielezwi kwa msingi wa EAC. Kwa mfano reli wanayotaka kujenga kutoka Mombasa au ufunguzi wa gati za meli Mombasa nadhani ni ushirikiano wa kawaida kama ilivyokuwa project ya Tanga-Musoma-Kampala. Kwa bahati mbaya wanatumia ushirikiano huo kama shinikizo kwa Tanzania tena wakiweka sababu za kisiasa zaidi ya zile za kiuchumi. Kwa mfano, zipo propaganda kwamba Tanzania ina 'dither' au imekuwa kikwazo.

Jambo la kujiuliza kama kuna mradi baina ya Burundi na Rwanda au Uganda ambao ni kwa manufaa yao kwanini wachanganye hoja hizo na sentiment zao dhidi ya Tanzania? Hapo ndipo tatizo lilipo ya kuwa kuna kitu kingine zaidi ambacho hakisemwi wazi.

Jambo lingine ni kufanya mambo kwa kukomoana. Suala la kuondoa wahamiaji haramu ambalo ni halali na haki ya kila mwanachama linaonekana kuwaudhi baadhi ya washiriki. Badala ya kufanya maamuzi ya kiuchumi kitaalam siasa ndio inaongoza.

Na mwisho labda nikuulize Mzee Edwin Mtei, hivi kilichoua jumuiya ya mwaka 1967 ni nini hasa.
Tunategemea maoni yako kwa kuzingatia ushiriki wako katika jumuiya iliyokufa na tutaelewa kwa kina na kuona je tupo mbali na sababu hizo au bado tunarudi kule kule.
 
Last edited by a moderator:
Sasa kwa nini mnalia eti hamkushirikishwa kwenye mkutano wa Entebbe na Mombasa? You see...you guys don't know how to play this political game. Tumewaminya kidogo tu, mkaachia. ile road toll. Tulieni mjifunze kutoka kwa wataalam. Unajua with corruption in your country, you will always be played because your leaders are greedy and corrupt. Hamna patriotic leaders hapo. Wanaangalia matumbo yao tu.
''Patriotic leader' una maana gani? kama wale wa 1993 genocide au una maanisha nini.
 
on this issue of East africa integration, Tanzanians leave kenya alone! kenya has the most important resource to go alone;its confident and resourceful people.achieving development using neighbours resources was never part of our plan.
 
Nakumbuka ZZK alitaka na DRC ikubaliwe kuingia EAC
 
Back
Top Bottom