EAC ALERT: 15 % of Kenyans are Gay!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

EAC ALERT: 15 % of Kenyans are Gay!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by JokaKuu, Jun 21, 2011.

 1. J

  JokaKuu Platinum Member

  #1
  Jun 21, 2011
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,794
  Likes Received: 5,069
  Trophy Points: 280
  ..wanasema wamefanya utafiti.

  ..hata yule Chief Justice mvaa hereni waliyemchagua anaonekana ni gay.

  ..angekuwa kijana I would have understood, but haiyumkiniki Mzee wa miaka 65 unavaa hereni.

  ..sasa na jinsi hawa jamaa wanavyopenda wa-Tanzania tufanye vile wanavyotaka wao sijui itakuwaje na hili lijumuiya wanalotulazimisha.
   
 2. SHERRIF ARPAIO

  SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member

  #2
  Jun 21, 2011
  Joined: Aug 25, 2010
  Messages: 7,081
  Likes Received: 1,819
  Trophy Points: 280
  Ngoja nikachome ndizi nna njaa nitarudi......
   
 3. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #3
  Jun 21, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Gays in Africa a very closed. How do you survey and come up with figures of gay people in Kenya? Would like to know the technic they used to get this data.
   
 4. F

  FJM JF-Expert Member

  #4
  Jun 21, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  wanasema wamefanya utafitivi - Tanzania wamefanya utafiti? wako wangapi? binafsi ningefurahi sana kama ungeweka research results za Tanzania hapa jamvini, including bi-sexuals. You will be shocked! Huu ukanda wa Pwani umechangamka kuliko wengi tunavyodhani. Wapo wanaume wanaotembea na wanaume wengine mchana na usiku wanarudi kwa wake zao just to fit the status quo!

  ..hata yule Chief Justice mvaa hereni waliyemchagua anaonekana ni gay - wanaume wa kimasai wanavaa hereni - nao wanaonekana gay? Plus Willy Mutunga the new chief justice amesema kabisa mbele ya kamati ya bunge, he's not gay.

  jinsi hawa jamaa wanavyopenda wa-Tanzania tufanye vile wanavyotaka wao sijui itakuwaje na hili lijumuiya wanalotulazimisha - kwa hiyo unaamini Tanzania ina watu wengi gay? Kama jibu ndio, huu ubaguzi wa 'wao' dhidi ya 'sisi' ni wa nini hasa when infact tuna wanajamii wa mlengo huo.
   
 5. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #5
  Jun 21, 2011
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 5,043
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  FJM.....mbona unatetea sana...vipi mwenzetu?
   
 6. fredmlay

  fredmlay JF-Expert Member

  #6
  Jun 21, 2011
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 1,855
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Mimi nafikiri hii sio story ya kutustua kwakuwa ugay hauambukizwi usihofu kwamba utakuwa gay cha msingi ni wewe kwenda na uhalisia wa mambo kama ndivyo ulivyo la sivyo ugay utakukumba tu hata bila wa Kenya kuwepo
   
 7. simplemind

  simplemind JF-Expert Member

  #7
  Jun 21, 2011
  Joined: Apr 10, 2009
  Messages: 11,811
  Likes Received: 2,584
  Trophy Points: 280
  Are there underlaying reason for one being gay? Hili linataka utafiti zaidi..Hii misimamo mikali haina tija .Kumbuka kanisa limewahi kumhukumu kifo mwanasayansi copernicus alipovumbua tena kwa usahihi kabisa kwamba jua na siyo dunia ndiyo center of universe. We should get our priorities right/ fight ufisadi na nguvu zote.
   
 8. J

  JokaKuu Platinum Member

  #8
  Jun 21, 2011
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,794
  Likes Received: 5,069
  Trophy Points: 280
  FJM,

  ..kwa uelewa wangu, Wamasai, Wagogo, etc wanatoboa masikio lakini hawavai hereni ndogo-ndogo kama anayovaa CJ wa Kenya. pia Wamasai hawatoboi masikio kwa mtindo huu wa CJ Mutunga.

  ..uvaaji hereni wa CJ Mutunga unaendana zaidi na vijana wa kizazi kipya na gays. sasa kwasababu yeye ni Mzee mwenzetu, tena wa miaka 65, ndiyo maana nikasema anaangukia ktk kundi hilo la pili.

  ..hata yule Govenor wa New Jersey alikuwa anakana kwamba na gay. Hata Askofu wa Episcopal alikuwa anakana kwamba ni gay. hawa huwa wanakana kwanza halafu wakishapata kile wanachokitaka[most of the time vyeo] ndiyo wanajilipua kwa kutangaza madudu yao.
   
 9. VUVUZELA

  VUVUZELA JF-Expert Member

  #9
  Jun 21, 2011
  Joined: Jun 19, 2010
  Messages: 3,106
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Source????
   
 10. J

  JokaKuu Platinum Member

  #10
  Jun 21, 2011
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,794
  Likes Received: 5,069
  Trophy Points: 280
  Vuvuzela,

  ..source zangu ni debate za bunge la Kenya, pamoja na maelezo ya Nancy Baraza Deputy CJ wa Kenya aliyechaguliwa hivi karibuni.

  ..this info' is on the internet unaweza uka-search kujiridhisha.
   
 11. simplemind

  simplemind JF-Expert Member

  #11
  Jun 21, 2011
  Joined: Apr 10, 2009
  Messages: 11,811
  Likes Received: 2,584
  Trophy Points: 280
   
 12. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #12
  Jun 21, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  A good challenge. How did they get to know in such great details? The figures may have been cooked up. Kwa hiyo wanazungumzia zaidi ya wakenya milioni 5? Hakuna uhalisia hapa!
   
 13. T

  Tikerra JF-Expert Member

  #13
  Jun 21, 2011
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 1,704
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Hivi huoni ukakasi kuongelea jambo la kishenzi namna hii.It seems you are also gay,kwa hiyo unachofanya ni kuji-comfort kwamba you are not alone.
   
 14. j

  jumanne kabwela Member

  #14
  Jun 21, 2011
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  unavuka mipaka
   
 15. M

  Mkandara Verified User

  #15
  Jun 21, 2011
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Mkuu wangu unashangaa kipi hali swala hili leo hii linakubalika karibu dunia nzima kinyume cha mafundisho ya dini wanazoabudu..

  Hutakiwi kuwachukia bali unatakiwa kuwapongeza ni gay pride nasikia hadi wamasai na wajaluo nao wamo!
  Wala usiulize tutafanya nini, umeshasema mashoga, ndio itabidi kuwahemea migongoni..(ashakum si matusi)
   
 16. Wacha1

  Wacha1 JF-Expert Member

  #16
  Jun 21, 2011
  Joined: Dec 21, 2009
  Messages: 12,766
  Likes Received: 920
  Trophy Points: 280
  Mnashangaa nini wakati Smatta aliwekwa kimada muda mrefu tu huku Tanzania?
   
 17. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #17
  Jun 21, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Ndiyo nani Smatta?
   
 18. C

  CHESEA INGINE Senior Member

  #18
  Jun 21, 2011
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 180
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Tatizo la hawa ma-gay hawana haya hata chembe! Kama wapo kwenye uongozi ni shida kweli kweli!
   
 19. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #19
  Jun 21, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,496
  Likes Received: 19,892
  Trophy Points: 280
  ntarudi
   
 20. VUVUZELA

  VUVUZELA JF-Expert Member

  #20
  Jun 21, 2011
  Joined: Jun 19, 2010
  Messages: 3,106
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
   
Loading...