Ndugu zanguni,namshukuru sana,lakini pia nawashukuruni ninyi wadau mbali mbali kwa kunishauri katika hili,kipekee nimshukuru rafiki yangu karena,alinitia moyo na kuniongezea ujasiri ktk kuikabili hali ambayo sikuitegemea.
Hakika asubuhi hii nimefika nyumbani,sijamkuta mchumba wa rafiki yangu.
Nimeshtuka kwa mambo mawili ambayo kwa kweli sijui namna ya kuyakabili.
1.Jamaa yangu amenipigia simu asubuhi sana,anaonekana kupoa sanaaaa,kitu ambacho sio kawaida yake kabisa,(sijui amepata habari gani juu ya hii issue).
Mbaya zaidi ni ujumbe alionitumia huyu shemeji yangu,umenifanya nichanganyikiwe zaidi,naomba ninukuu ujumbe wake,then mniambie nini nifanye jamani,naomba mnivumilie tu ndugu zangu,
"Bahati yako we mwanaume,kutoka moyoni nawachukia sana wanaume,mwambie na rafiki yako,kwa maisha yangu ya sasa nalipa kisasi kwa mtu yeyote anaitwa mwanaume,I'M HIV POSITIVE,umenusurika but your friend unknowingly is already positive,mshukuru Mungu wako mshenzi wewe"
Nimeishiwa pozi kwa kwelinashindwa kuamini shemeji yangu mpole na mkarimu kweli kweli awezakuwa mnyama kiasi hiki.
Kinachoniumiza ni juu ya rafiki yangu,je,anajua hali hii??,nimwambie kilichotokea??au nimnyamazie tu??
Hakika duniani tunayo dhiki juu,daaah!!!
well said mkuu! umenena cc mwambunnyaraUnamwoneaje aibu mtu aso na haya? Mwambie humtaki aondoke asipokuelewa mpigie simu jamaa yako tena mbele yake umweleze kila kitu! FUNZO rafiki wa mkeo/mmeo si rafiki yako....usijenge nao mazoea!
sikiliza hoja hapa huyo demu ni wa nani,hoja ya msingi ni kanuni kuwa mke wa mtu simtaki ila nikinpata simwachi,pili huyo demu kaona bora kitu kizuri ale na nduguye kuliko kupeleka mali nje na tatu rafiki yangu huyu jamaa kama alikuwa anataka ushauri tu hapa asingeleta huu uzi,huyu jamaa nidhahiri mzigo keshapakua hapa kaja pima upepo tuhuyu mwenzetu kaja na option mbili mpe ushauri mzuri anaonekana hataki kufanya uzinzi nashangaa wengi humu mnamtia ndimu tuuu amsaliti rafiki yake angekuwa anataka kuduu nae asingeleta hii mada hii mada kaileta anataka ushauri juu ya kumuepuka mbona hamuelewi nyie?????afu hamjui tuu pengine huyo mnaetaka agegedwe ni demu wako watu humu wanaficha tu uhalisia wao labda ni wako yawezekana kabisa
Hicho kilichotokea asubuhi ya leo ndugu yangu,highly confused!!Mrejesho?
Ndugu yangu,kilichotokea ningetubutu kufanya naye muda huu ningekuwa najutia sana,AHSANTE MUNGU!!!Piga dudu huyo..... Mtoto akililia wembe mpe.... Mengine mtayasolve baadae.
Mrejesho. Katoa huoDamn!
Hapo sasa unakuta asubuhi mambo yameharibika,Vipi ukienda lala hotelini demu akaona anaumbuka akafanya kitu kibaya kwako kama vile kunywa sumu
Vipi sir-mimi!mbona damn???Damn!
kwa hiyo kwa sasa hujutii?Ndugu yangu,kilichotokea ningetubutu kufanya naye muda huu ningekuwa najutia sana,AHSANTE MUNGU!!!
Unasubiri nini mzee?! Nyapu imesafiri kutoka Dom mpaka Moro kwa ajili Yako afu unakuja kuomba ushauri. Asee!! Kweli upele unampata asie na kucha. We mtafune Afu mwambie iwe Siri yenu
tafuna mkuu
Mle tigo
Daah.. Kwel penye miti hapana wajenz gonga baba
mimi naona hapo mgonge alafu mwambie asikuzoee na usimwambie mshkaji wako wala nini, ukijitia mwema sana ukamfukuza na kumwambia jamaa unaweza ukawa umekosa utamu na rafiki yako hatakuelewa na urafiki wenu unaishia hapo, ukakosa bara na visiwani
kumbuka huu msemo na utumie maishani na hautajuta
NICE GUYS SUCKS, DON'T BE TOO NICE, YOU WILL ALWAYS END UP REGRETTING
mmmh amesema kweli prof jay yaan dunia ya sasa rafiki wa kweli ni mama yako mzazi tuPiga dudu huyo..... Mtoto akililia wembe mpe.... Mengine mtayasolve baadae.
mkuuu hongera kwa utunzi mzuri wa hadithi ila ujumbe tumepata ahsanteNdugu zanguni,namshukuru sana,lakini pia nawashukuruni ninyi wadau mbali mbali kwa kunishauri katika hili,kipekee nimshukuru rafiki yangu karena,alinitia moyo na kuniongezea ujasiri ktk kuikabili hali ambayo sikuitegemea.
Hakika asubuhi hii nimefika nyumbani,sijamkuta mchumba wa rafiki yangu.
Nimeshtuka kwa mambo mawili ambayo kwa kweli sijui namna ya kuyakabili.
1.Jamaa yangu amenipigia simu asubuhi sana,anaonekana kupoa sanaaaa,kitu ambacho sio kawaida yake kabisa,(sijui amepata habari gani juu ya hii issue).
Mbaya zaidi ni ujumbe alionitumia huyu shemeji yangu,umenifanya nichanganyikiwe zaidi,naomba ninukuu ujumbe wake,then mniambie nini nifanye jamani,naomba mnivumilie tu ndugu zangu,
"Bahati yako we mwanaume,kutoka moyoni nawachukia sana wanaume,mwambie na rafiki yako,kwa maisha yangu ya sasa nalipa kisasi kwa mtu yeyote anaitwa mwanaume,I'M HIV POSITIVE,umenusurika but your friend unknowingly is already positive,mshukuru Mungu wako mshenzi wewe"
Nimeishiwa pozi kwa kwelinashindwa kuamini shemeji yangu mpole na mkarimu kweli kweli awezakuwa mnyama kiasi hiki.
Kinachoniumiza ni juu ya rafiki yangu,je,anajua hali hii??,nimwambie kilichotokea??au nimnyamazie tu??
Hakika duniani tunayo dhiki juu,daaah!!!
kwa hiyo kwa sasa hujutii?
unajua (kama ni kweli) alichofanya ni failed attempt ya''criminal transmission of HIV''?..PELEKA Kwenye vyombo vya sheria kuokoa wengine..ushahidi wa kimazingira unaonesha ''anachukia wanaume,bado naamini dhamira yake ya kuambukiza wengine ipo palepale...
Fikiri.. chukua hatua........
btw...unavyoielezea kama vile unauhakika wahusika si members wa jamiiforums..............[/QUOT
Aisee kwa sasa navuta pumzi na siamini kilichotokea,nahisi kama nipo ndotoni hivi,maswali ninayojiuliza ni kwanini shemeji yangu huyu amefikia hatua hii???