Duuuh, kweli wanawake wengine!

Duuuh, kweli wanawake wengine!

Unasubiri nini mzee?! Nyapu imesafiri kutoka Dom mpaka Moro kwa ajili Yako afu unakuja kuomba ushauri. Asee!! Kweli upele unampata asie na kucha. We mtafune Afu mwambie iwe Siri yenu
 
Nimeshaandaa chakula,nimetoka bila kuaga naenda zangu hoteli,ntakupeni mrejesho kesho,ila hakika kama wanawake wetu wengi wapo hivi basi ni hatari kweli kweli!!!!
 
Atakupwelepweta bure huyo hafai,ila shemeji kinyama cha hamu
 
Nimeshaandaa chakula,nimetoka bila kuaga naenda zangu hoteli,ntakupeni mrejesho kesho,ila hakika kama wanawake wetu wengi wapo hivi basi ni hatari kweli kweli!!!!
Mwanamke wako akikufanyia surprise akamkuta shemeji ndani ???
 
Sppamoja ya kwamba namheshim sana mke wangu sinaga tabia ya kuvumilia wanawake kiasi hiki aisee. We piga mambo mataokeo utajua mbele kwa mbele mi hata angekuwa mke wa kaka yangu wa dam kwa mazingira hayo nikimuacha mizimu ya Kipare lazima iniadhibu.

Duc in Altum

Wewe Mtu ni hatari sana. Unaupenda uzinzi na uasherati Mpaka unasingizia mizimu ya Ugweno? Hahahahaaaaaa
 
Huyo mtu toka unawasiliana naye anaonekana tu anataka dyudyu..Sasa we sijui ambacho haukukielewa ni kipi mpaka ukamkaribisha..Au ulikuwa unataka ushahidi???....We Dada kaa hapohapo usiondoke bila kupewa Dushe
Umeona eeeh.......watu kwa kijishaua bana.......
Sasa nini hapo hajaelewa........
Kazi uchoyo tu.......
 
Kuna watu sijui uwa wanafikilia aje sijui we unamsauli mwenzio eti kula mzingo jamani tuache hizo nacho ona hapa kaa tu na huyo demu mueleze kinaga ubaga kuwa huwezi fanya hivyo akizingua mwambie tu jamaa ake ili ajipraud kuwa na wewe ila kuwa makini huyo mwanamke anaweza kugeuka.
 
Kwa kuwa umemkubalia tangu mwanzo hujamwambia rafiki yako hadi huyo shemeji kafika hapo endelea kumtunzia siri
 
Mwambie kesho asubuhi aondoke na alale sebureni!
Ila umefanya makosa kumpokea hapo wakati ulikuwa unajua lengo lake..
 
Kwani una chumba kimoja? Muangalie sehemu nzuri tu ya kulala hadi Jumamosi kama alivyo kuambia ataondoka tu
 
Aisee hawa watu wakati mwingine wanatugombanisha na rafiki zetu wa karibu,tena tuliotoka nao mbali,najiuliza jamaa yangu atanielewa nikimwambia hali halisi ya msichana wake?au ndo utakuwa mwisho wa urafiki wetu?
Kuna uwezekano mkubwa wa uhusiano wenu kuishia hapo
Jamaa hata ukimwambia anaweza asiamini
 
Back
Top Bottom