Lakini pia mazingira ya 2016 ni tofauti na sasa. Wakati ule alikuwa Trump businessman ambaye wengi walimpa benefit of doubt. Je, watu hao bado watatoa benefit hiyo tena?
Mkuu, 2016 watu walimpa benefit of doubt kwasababu alifanya ''exploitation'' hasa vijijiniIli kupata jibu la swali hilo, inabidi kuangalia Trump alirun 2016 kwa campaign-promises zipi, zilizompa hiyo benefit of doubt vs kwa sasa hivi 2020 anarun kwa campaign promises zipi.
Sijafuatilia sana, lakini inaonekana kama vile Trump anasema Biden Term = Seattle-on-Steroids ... Whatever happened in Democrat-led cities and states during these crises, is harbinger of what which is to come during Biden's Term.
Is that true? Will it work on Trump's favor or will it backfire on him spectacularly?
Kuna watu walikuwa wakiona majengo yameandikwa Trump wakidhanai yote ni ya kwake kumbe hamna kitu. Trump ni opportunist, racist na mwongo asiyekuwa na hata chembe ya haya. Anasema uwongo na kuonyesha racism waziwazi bila kufikiri. Akibanwa makosa hayo anajitetea kuwa alikuwa hajui au hakuambiwa kuwa anachosema au kufanya ni makosa.Mimi nasema na kurudia...Trump was a mistake and, for people with any understanding, a mistake shouldn't be repeated, a mistake is corrected, removed and forgotten. Kwa Trump hatua hii tayari imeanza kutekelezwa akishuhudia huku akiwa bado anaitwa Rais.
View attachment 1492507...View attachment 1492512
View attachment 1492515...View attachment 1492518
Hitler has no place in modern history
View attachment 1492548
From now on, it is just going to get worse for the conman occupying the WH. This November what America is going to witness is something much bigger than an election; it is going to be a revolution and America is ripe for one, thanks to Donald Trump. Huyo mhuni amelikoroga na hatakuwa na njia ya kukwepa kulinywa pamoja na uchungu wake.
Hawa wagombe wana changamoto kadhaa.Mimi ningekuwa ni mshauri wa Biden, ningemshauri yeye aache kuropoka na atulie tu ila awe anawapa watu matumaini mazuri dhidi ya Pandemic kuwa akiwa madarakani, ataimarisha huduma za afya ili kuhakikisha Pandemic yoyoye haitaingiliana na maisha yao ya kila siku kwa vile hilo ni jambo linaloweza kufanywa na serikali yu.
Waamerika wote leo hii wanalijua hilo
Kwanza kabisa yeye mwenyewe ni mzigo. Kwa hiyo licha ya kuwa anaingia na rundo la mizigo, yeye mwenyewe ni bonge la mzigo, habebeki. Kwa sasa kuna wasi wasi kama ataendelea kubebwa kwani hata wabebaji wameanza kuonesha dalili za kuchoka.Je, Trump anaingia uchaguzi akiwa na mzigo gani? Inaendelea
Nukuu za ziada ziko kwenye boldi.Hawa wagombe wana changamoto kadhaa.
Ukimsikiliza kauli ile ilikuwa 'sarcasm'. Katika siasa za DC hasa wakati wa uchaguzi kauli ni kitu muhimu sana. Republicans ni wazuri sana wa kugeuza kauli. Utakumbuka Obama na 'gas policy' wakitembea na vimita vya upepo, au Joe the Plumber na socialism au Trump na Birther.Mlenge, post: 35934258, member: 450"]
Biden kasema, kama wewe ni mtu mweusi, na mpaka sasa hujaamua umpigie kura wewe siyo mweusi kweli, au maneno yenye mwelekeo huo. Je, huo ni ukweli au ndio moja ya hizo 'gaffe' zenyewe?
Mkuu , with all due respect una ombwe kubwa la kufuatilia siasa na habari na siasa za DC na Marekani kwa ujumla.Kugombea kwa Kanye West (kama kweli atagombea) kutapunguza kura za Trump au za Biden miongoni mwa Wamarekani Weusi?
Mkuu Nguruvi3, mtanisamehe kwa kuwa so blunt kwenye michango yangu lakini ukweli ni kuwa wapo watu wanadandia mambo ya Marekani kwa juu juu bila kuijua vyema historia ya nchi hiyo. Hata uchunguzi mdogo tu ungeweza kuonesha kuwa conman-in-chief Donald Trump was a mistake, na Wamarekani hawathubutu kurudia kosa walilolifanya 2016. Haitashangaza hata kidogo kwa moja ya mawili kutokea...ama Trump kujitoa au the real GOP ikianza kuachana naye.Mkuu , with all due respect una ombwe kubwa la kufuatilia siasa na habari na siasa za DC na Marekani kwa ujumla. Katika hali ya siasa kumtaja Kanye kunaleta goose bumps!
Mkuu , with all due respect una ombwe kubwa la kufuatilia siasa na habari na siasa za DC na Marekani kwa ujumla.
Katika hali ya siasa kumtaja Kanye kunaleta goose bumps!
...
Kwa ufupi ninachotaka kusema hapa ni kuwa, kwa siasa za Marekani kumfikiria Kanye na hata kufikiri anaweza kugawa kura za Biden ni jambo la kushangaza sana na kwamba umeona nini na una taarifa zipi tofauti na zilizopo duniani kuhusu Kanye!!!
Kura za maoni zinawapotosha sana...! Hawajifunzi. Nakumbuka namna HR Clinton alivyovimbishwa kichwa na kura za maoni. Na kipindi hicho yeyote aliyeshauri watu wawe na kiasi katika kujihakikishia nani anakuwa Rais wa US basi alionekana 'kituko'. Naona wale wale wanataka kurudia kosa.5.Je, Trump anaingia uchaguzi akiwa na mzigo gani? ...
Trump inaonekana anaendelea kutumia mbinu ileile aliyoitumia 2016: kuwa un-PC na kuuchonganisha utamaduni wa political correctness vs wapiga kura. Hotuba yake ya Mlima Rushmore imejaa mifano mingi ya hivyo. Safari hii ya 2020 mbinu itafanya kazi kama 2016? My prediction ni kwamba uchaguzi huu pana mtu atagaragazwa kwa ushindi wa sunami: ama Trump au Biden. Mbinu ya Trump itafeli sana au itafanikiwa mno: Atashinda kwa ushindi mnono kuliko wa 2016, au atashindwa kwa namna ambayo haikupata kutokea kwa karne kadhaa.
Kura za maoni zinawapotosha sana...! Hawajifunzi. Nakumbuka namna HR Clinton alivyovimbishwa kichwa na kura za maoni. Na kipindi hicho yeyote aliyeshauri watu wawe na kiasi katika kujihakikishia nani anakuwa Rais wa US basi alionekana 'kituko'. Naona wale wale wanataka kurudia kosa.
But if Kanye 2020 really happens, what does this mean for Joe Biden and Donald Trump?
Beyond the guffaws and eye-rolling, another reaction from Hollywood liberals this week was fear and loathing. Their concern? Kanye could morph into a hip-hop Ralph Nader, siphoning votes from Biden and handing Trump a second term, which would be the end of America.
...
The conventional wisdom is Kanye 2020 would be a bludgeon to Biden.
I seriously doubt that. If Kanye does manage to enter this race, his banner should not be the Birthday Party — it should be the Funeral. He’s not going to help Trump because he is Trump 2.0.
With Joe Biden’s help, Kanye West could be the final nail in the MAGA coffin.
But his announcement has angered fans of presidential contender Joe Biden for fear that, as an independent candidate, West will take votes away from Mr Biden, a tactic that could favour Mr Trump.
West said that he was OK with the prospect of siphoning off Black voters from Democratic candidate Joe Biden, which could damage Biden's chances of winning in November.
But some are skeptical about his true motives, suggesting the known Trump supporter really wants to split the vote among young people.
CJ Pearson, president at activist youth organisation Last Hope USA, said:
"If Kanye runs in 2020 he’d only take away votes from Joe Biden.
"Young people are already unenthusiastic enough as is about Biden’s candidacy but he’d also chip away at Biden’s black support.
"Trump voters are TRUMP voters. His base remains unchanged."
If Kanye West Actually Runs for President, Will He Hurt Biden or Trump?
Given West’s low favorability among Democrats, however, it seems likely he could take more from Trump’s share than Biden’s.
Nilikushauri utafute mahali pa simba na yanga si hapa! Kama una jambo la maana eleza.Kura za maoni zinawapotosha sana...! Hawajifunzi. Nakumbuka namna HR Clinton alivyovimbishwa kichwa na kura za maoni. Na kipindi hicho yeyote aliyeshauri watu wawe na kiasi katika kujihakikishia nani anakuwa Rais wa US basi alionekana 'kituko'. Naona wale wale wanataka kurudia kosa.
Ha ha ha aa! Mkuu, najivunia kukujua kupitia jukwaa hili. Na kwa mara nyingine nakiri nimejifunza mengi kutoka kwako kupitia jukwaa hili.mahali pa simba na yanga
Zinawapotosha kina nani?Kura za maoni zinawapotosha sana...!
Nani hao wasiojifunza?Hawajifunzi
HR Clinton alivimbishwa kichwa? We mpuuzi kweli kweli. Kwa taarifa yako alishinda kura kwa idadi ya wapiga kura milioni tatu.Nakumbuka namna HR Clinton alivyovimbishwa kichwa na kura za maoni.
Nani alimshauri nani? Hata Trump mwenyewe alijua anashindwa. Wengi hawakusumbuka kujitokeza kupiga kura kwa sababu walijua Trump hawezi kushinda kwa idadi ya wapiga kura na kweli alishindwa kwa kura milioni tatu.Na kipindi hicho yeyote aliyeshauri watu wawe na kiasi katika kujihakikishia nani anakuwa Rais wa US basi alionekana 'kituko'.
Ndio maana mimi nasema it was a mistake. Mwaka 2016, watu walipuuza kujitokeza kupiga kura na hivyo Rais akapatikana kwa utaratibu mwingine na hata matokeo ya mwaka 2018 yalikuja kuthibitisha ukweli huo.wale wale wanataka kurudia kosa.
Achana naye huyo, leo Chairman of the Joint Chiefs of Staff wa Marekani kampa somo conman-in-chief Trump akimwambia majadiliano lazima yafanyike kuhusu bendera za waasi (confederate flags) sanamu zao pamoja na majina yao kupewa vituo vya kijeshi na hatua kuchukuliwa kuziondoa hizo bendera, sanamu na majina kufutwa. Mambo yanazidi kuwa moto kwa huyo conman-in-chief!Nilikushauri utafute mahali pa simba na yanga si hapa! Kama una jambo la maana eleza.
Siku zote michango yako imekuwa dhaifu iliyojaa ushabiki usio na maana unkisubiri watu waseme. Kinyume na hapo hatukuoni jukwaa. Hapa si Mataga, please
Mkuu kuna upuuzi unaitwa Mataga ambao watumishi wake wapo kila mahali. Kazi ya Mataga ni propaganda, kwa bahati mbaya sana bila weledi. Kazi ya pili ni mbaya sana..."Mag3, post: 35976570, member: 10873"]
TUJITEGEMEE, sisi wengine hapa si wapiga kura wa Marekani na nakuomba sana uache kukurupuka kwa hoja za kipuuzi. Yawezekana ndani ya hilo jiwe lenu mnauona Utrump lakini kaa ukijua huko kuna sheria na hakuna aliye juu ya sheria. Ndio maana nasema acheni kujadili mambo ya Marekani kwa jicho la Kitanzania. Siasa za Bongo mwisho mpakani.
..
Nikirejea kwa Mkuu Mlenge , please ya Kanye tuyaache. Ni mgonjwa na kwa anayejua siasa za viungani DC kumuongelea ni kama kumdhihaki ikijulikana kuwa jamaa ni Mgonjwa! Mbona hilo lipo wazi na hata mwenyewe analisema. Hayo magazeti yanauza habari. ..