Duru za Siasa: Marekani (U.S) Chini ya Donald J. Trump

Nguruvi3

Platinum Member
Jun 21, 2010
13,678
2,000
Wanajamvi

Uchaguzi wa US umekamilika jana baada ya D.J Trump kuwa Rais wa 45
Leo ilikuwa siku ya kwanza kamili ya Trump kama Rais wa US

Uzi utakuwa utaangalia serikali mpya na mwelekeo wa siasa na uchumi
Siasa za Marekani , taifa lenye nguvu katika uso wa dunia zinaathari kubwa duniani

Ni kwa kuzingatia hilo, uzi utaleta kwa kadri, yanayojiri katika Taifa hilo

Tutaendelea kumalizia hotuba ya Trump baada ya kutawazwa katika uzi huu
Duru za Siasa: Matokeo ya Uchaguzi Marekani

Rais Trump, mfanyabiashara aliyefanikiwa katika biashara ameondoka katika utawala wa makampuni na sasa ni mtawala wa umma na Taifa la Marekani

Kuchaguliwa kwake kama mtawala wa juu wa Taifa lenye ushawishi umekuja na mshtuko kutokana na nafasi aliyopewa katika uchaguzi wa ndani ya chama cha Republican na ule mkuu

Kuna mitazamo tofauti kuhusu kuchaguliwa kwa Trump. Kwasababu zozote ambazo wachunguzi wanaendelea kuzifuatilia kisiasa , uchumi, jamii n.k. Trump ndiye Rais wa Marekani

Siku ya kwanza, Trump amekumbana na changamoto za utawala wa nchi na si kampuni binafsi

Katika historia ya miongo michache ya Marais wa US, siku ya kwanza haikuwa nzuri kwake

1. Maandamano ya wanawake duniani
2. Ziara iliyozua utata katika Intelligence community (IC)

Tutajadili mambo hayo mawili na picha ya haraka ya nini kitarajiwe kwa siku za usoni

Tusemezane
 

Mlenge

Verified Member
Oct 31, 2006
1,086
2,000
Lakini pia mazingira ya 2016 ni tofauti na sasa. Wakati ule alikuwa Trump businessman ambaye wengi walimpa benefit of doubt. Je, watu hao bado watatoa benefit hiyo tena?
Ili kupata jibu la swali hilo, inabidi kuangalia Trump alirun 2016 kwa campaign-promises zipi, zilizompa hiyo benefit of doubt vs kwa sasa hivi 2020 anarun kwa campaign promises zipi.

Sijafuatilia sana, lakini inaonekana kama vile Trump anasema Biden Term = Seattle-on-Steroids ... Whatever happened in Democrat-led cities and states during these crises, is harbinger of what which is to come during Biden's Term.

Is that true? Will it work on Trump's favor or will it backfire on him spectacularly?
 

Mag3

JF-Expert Member
May 31, 2008
11,092
2,000
Hapa tunamshuhudia conman-in-chief akiulizwa swali rahisi sana kwenye kituo chake anachokipenda FOX NEWS...

What are your top priority items for a second term?
Hii ni mbele ya mashabiki wake kwenye town hall meeting...
Ukitaka kujua ni mweupe kichwani, sikiliza majibu yake...

View attachment toppriority.mp4
Wamarekani hawawezi kurudia kosa na kama kuna asiyeamini, November haiko mbali. Kuna mawili...ama atajitoa au watu makini ndani ya GOP wataanza kumkimbia.

Declaring in 2016 that "I alone can fix it," Donald Trump made the country's fate all about him. He promised so much "winning" we'd get sick of it, and asked "What have you got to lose?"

As President he made everything into a fight between Team Trump (good) and everyone else (bad). He bullied those he couldn't persuade and even survived an impeachment trial.

But now, confronted with a pandemic, an economic crisis, and a moment of reckoning over racism, the limit of the president's method is obvious, and he seems on the brink of becoming the thing he most dreads: A loser.
 

Nguruvi3

Platinum Member
Jun 21, 2010
13,678
2,000
Ili kupata jibu la swali hilo, inabidi kuangalia Trump alirun 2016 kwa campaign-promises zipi, zilizompa hiyo benefit of doubt vs kwa sasa hivi 2020 anarun kwa campaign promises zipi.

Sijafuatilia sana, lakini inaonekana kama vile Trump anasema Biden Term = Seattle-on-Steroids ... Whatever happened in Democrat-led cities and states during these crises, is harbinger of what which is to come during Biden's Term.

Is that true? Will it work on Trump's favor or will it backfire on him spectacularly?
Mkuu, 2016 watu walimpa benefit of doubt kwasababu alifanya ''exploitation'' hasa vijijini


1. Trump hakuwa na platform na alitumia opportunity kwa kuangalia wimbi la kisiasa na kulitumia

Mfano, Trump hakuwa na Healthcare plan. Alichokifanya ni ku attack Obamacare. Wakati huo wengi hawakujua benefit za Obamacare. Leo Obamacare ni maarufu sana kiasi cha Republicans kuhofia pale Trump anapotaka kuishambulia kama ilivyo sasa kule Suprem Court. Moja kati ya vitu vilivyoleta madhara midterm ni Obamacare

Leo GOP hawataki kusikia kabisa suala la Obamacare kwani ni mwiba na hawana jibu.
Miaka 4 hakuna blue print ya Healthcare plan ya Trump. Sasa Obama hayupo , miaka 4 atulizwa amefanya nini?

2. Alitumia ''wall' na kwamba Mexico watalipa. Leo ame divert pesa kutoka military kwenda kujenga wall.
Suala la wall halina popularity tena. Kibaya zaidi, amejenga uhasama na Latinos waliomsaidia kule Florida kwa kuweka vitoto kwenye cage. Arizona inapokuwa katika swing state, si hali nzuri.
Ni kama vile New York iwe swing state, hilo si jema kwa Dems.

3. Aliahidi kubana biashara na china ili kupunguza 'trade deficit'. Well approach imewaacha wakulima wa Soy n.k. katika matatizo. Pesa anazosema amepata kutoka China si kweli, ni EI na Subsidy kwa Wakulima wenye hasira.

4. Tax Cut- Inaonekana kuneemesha matajiri ndiyo maana anataka nyingine ya middle class. Katika deficit ya Trillions hilo halitatokea katika miezi minne iliyobaki.

Alipokea uchumi kutoka kwa Obama, hali ya sasa hana kauli tena! na hakuna Obama wa kumlaumu

5. Aliahidi kuondoa majeshi na kumaliza vita middle east. Kinyume chake askari wengi wamepelekwa na haionekani kama kuna kupunguza. Jaribio la kumkomoa Angela Merkel kwa kuondoa majeshi Ujerumani lina mgharimu sasa

Taarifa zinazorindima leo kuhusu uswahiba wake na Putin na kupuuzia PDB iliyoeleza kuhusu Talibani kupewa dau na Russia ili kuua askari wa 'coalition' ni mbaya sana.

Chama cha veteran kimelaani kwa kukalia taarifa hiyo huku WH ikihaha kujinasua na kashfa hiyo ambayo si kwamba imeonyesha udhaifu wake bali pia imewatia wasi wasi wananchi kuhusu uwezo wake.
Veteran ni sehemu kubwa sana ya wapiga kura wake

Unajua nani kachoma utambi? Siyo NY Times, hizi ni habari za washirika wa Europe zilizopenyezwa na sasa zinamsumbua sana. Kama unafuatilia kashfa hii ni moja ya yale tuliyosema yanaweza kubadili trajectory

Kundi lililompa benefit ni 38% na lipo pale pale , haliondoki.
Kumbuka kuna state alishinda kwa less than 1%.Kuna independents, kuna waliondoa doubt zao kwake n.k.
Ukitazama kwa jicho kali, Trump ana kazi kubwa mbele.
Karata muhimu aliyo nayo ni race na hii ni muhimu kwa wingi wake.
 

Kichuguu

Platinum Member
Oct 11, 2006
9,237
2,000
Mimi nasema na kurudia...Trump was a mistake and, for people with any understanding, a mistake shouldn't be repeated, a mistake is corrected, removed and forgotten. Kwa Trump hatua hii tayari imeanza kutekelezwa akishuhudia huku akiwa bado anaitwa Rais.

Kuna watu walikuwa wakiona majengo yameandikwa Trump wakidhanai yote ni ya kwake kumbe hamna kitu. Trump ni opportunist, racist na mwongo asiyekuwa na hata chembe ya haya. Anasema uwongo na kuonyesha racism waziwazi bila kufikiri. Akibanwa makosa hayo anajitetea kuwa alikuwa hajui au hakuambiwa kuwa anachosema au kufanya ni makosa.
 

Kichuguu

Platinum Member
Oct 11, 2006
9,237
2,000
From now on, it is just going to get worse for the conman occupying the WH. This November what America is going to witness is something much bigger than an election; it is going to be a revolution and America is ripe for one, thanks to Donald Trump. Huyo mhuni amelikoroga na hatakuwa na njia ya kukwepa kulinywa pamoja na uchungu wake.
Mimi ningekuwa ni mshauri wa Biden, ningemshauri yeye aache kuropoka na atulie tu ila awe anawapa watu matumaini mazuri dhidi ya Pandemic kuwa akiwa madarakani, ataimarisha huduma za afya ili kuhakikisha Pandemic yoyoye haitaingiliana na maisha yao ya kila siku kwa vile hilo ni jambo linaloweza kufanywa na serikali yu. Waamerika wote leo hii wanalijua hilo.

Aaachane na kumshambulia Trump bali atumie mbinu za Mohammed Ali kwenye pambano lake dhidi ya Gorge Foreman kule Kinshansa (Rumble in the Jungle) kwa kumwacha Trump ajichoshe mwenyewe, halafu ikifika October anampiga ngumi moja tu ya Knock Out
 

Mag3

JF-Expert Member
May 31, 2008
11,092
2,000
Mean Nicknames Was Trump’s Only Legit Skill, and Now He’s Bad at That, Too!
...Jonathan Cheit

Unable to manage an escalating pandemic, an economic crisis, and social unrest, and finding himself sinking farther behind in the polls, President Trump has reexamined his operations and arrived at the Trumpiest possible conclusion: The nickname he uses for his opponent is not mean enough.

Trump “has recently been asking advisers whether he should stick with his current nickname for Biden — ‘Sleepy Joe’ — or try to coin another moniker, such as ‘Swampy Joe’ or ‘Creepy Joe,’” reported the Washington Post this weekend. The president has settled, at least momentarily, on “Corrupt Joe.”

The power to define his opponents with belittling nicknames is perhaps Trump’s most distinctive and feared political skill. Labels like “Low-Energy Jeb,” “Lyin’ Ted,” and “Liddle Marco” seemed both to emasculate his primary rivals while establishing Trump as an alpha male.

“Crooked Hillary” created a frame that fit every real and imagined scandal afflicting his opponent, including the publication of stolen emails from her campaign that should have registered as a Trump scandal.

The nickname method seemed to demonstrate that the entire political Establishment had overestimated the intelligence of the average persuadable voter, and Trump struck it rich by discovering the correct level, which was approximately that of a seventh-grade cafeteria table.

Obviously, no messaging technique could overcome the disadvantage created by Trump’s cascade of governing blunders. (You can’t handle a pandemic by giving it a mean name.) But given the almost mythical position Trump’s nicknaming power holds, the admission of defeat is telling.

Trump throwing away the months of brand equity he invested in making “Sleepy Joe” happen is a sign that he is failing not only at his formal job but also at the one thing people give him credit for doing well. Is he actually even good at giving people nicknames?

Any bully intuitively grasps the importance of thematic consistency. Trump’s taunts used to follow this rule, but in recent years his aim has wavered. He has affixed both “Crazy” and “Nervous” to the first name of the House Speaker.

After relentlessly mocking Elizabeth Warren as “Pocahantas” — itself a dumber version of the “Fauxcahontas” slur he stole from the conservative Boston Herald — he began calling her “Goofy.”

Last year, Trump announced the nickname “Pencil Neck” for House Intelligence Committee chair and prime Trump nemesis Adam Schiff. The nickname unveiling took on a celebratory air, with Trump’s surrogates quickly stamping the term on branded merchandise and sharing it eagerly on social media.

But then Trump either got bored or forgot, and began calling him “Little Adam Schiff” — recycling the name he used on Rubio – and then switched over again to “Shifty Schiff.”

The “Sleepy Joe” label was likewise derivative. It’s a default nickname Trump tends to use on generic white male Democrats, like Senators Bob Casey or Joe Donnelly. (Trump has spent years aiming a similar insult at NBC News host Chuck Todd.) Obviously, “Sleepy” is a somewhat damning description for anybody who works in television.

The harm it would pose to a politician is less clear. Moderate Democrats, especially ones running in red states, would actively desire to be seen as sedate and low-key.

And as the Trump era spirals further into chaos and endless rage, that image seems more and more comforting. It seems to have dawned on Trump only recently that his nickname for Biden was doing very little to reduce his opponent’s appeal. “The president is not convinced that ‘Sleepy Joe’ is particularly damaging,” reports the Post, “and some of his advisers agree and have urged him to stop using the nickname.”

Barely more than a third of the public considers Trump “honest and trustworthy.” A mere 37 percent approve of his handling of the coronavirus. By a 50-to-36 percent margin, the public agrees that he is a racist. Against that backdrop, Trump doesn’t have many great options, but persuading people that his opponent has lost a step is not going to be enough.
 

Nguruvi3

Platinum Member
Jun 21, 2010
13,678
2,000
Mimi ningekuwa ni mshauri wa Biden, ningemshauri yeye aache kuropoka na atulie tu ila awe anawapa watu matumaini mazuri dhidi ya Pandemic kuwa akiwa madarakani, ataimarisha huduma za afya ili kuhakikisha Pandemic yoyoye haitaingiliana na maisha yao ya kila siku kwa vile hilo ni jambo linaloweza kufanywa na serikali yu.
Waamerika wote leo hii wanalijua hilo
Hawa wagombe wana changamoto kadhaa.

Biden analijua la kukaa kimya na amezungukwa na timu inayomshauri afanye hivyo.
Hata hivyo, Biden ana 'political gaffe' na kutotokea katika hadhira kutokana na Covid kunamsaidia sana.

Pili, Biden ana changamoto za kumpata VP. Kampeni yake imerudishiwa uhai na watu weusi wa Carolina.

Biden aliahidi VP mwanamke tena colored. Hiki ni kitanzi kwa namna fulani.

Katika orodha yake Senta Elizabeth Warren ambaye ni Mzungu.
Chaguo hilo litamweka pagumu na watu weusi wanaotaka tu mweusi.

Yupo Seneta Kamala Harris, ambaye Baba yake ni mweusi na mama yake ni Mhindi.
Kamala ana historia ya kuwa prosecutor jambo linalozua maswali kwa watu weusi.

Yupo Suzan Rice, Balozi UN na mshauri wa usalama wa Obama. Rice anaonekana kukubalika kwa namna zote, kwamba ni mweusi lakini pia ni msomi na mzoefu wa siasa za ngazi za juu za Marekani.

Yupo Stacey Adams ambaye aligombea Ugavana wa Georgia na kushindwa. Huyu amejipambanua sana kuhusu kuwa VP lakini hana uzoefu wa siasa za DC au Federal level. Anakubalika sana miongoni mwa weusi

Orodha inaendelea akiwemo gavana wa Michigan, Mayor wa Atlanta Ms Bottoms n.k.

Kwa ufupi , kutangaza kuwa atakuwa na VP mwanamke wa rangi ni kitanzi,ni lazima hilo liwe takwa na aliteeleze.

Sikuona kwanini Biden alitumia Turufu hiyo ambayo sasa inageuka kuwa shubiri.
Ni shubiri kwasababu ombi linageuka kuwa takwa na hana jinsi lazima atekeleze au atalekezwe.

Ni turufu mbaya kama ile ya kuunga mkono Black lives Matter (BLM).
Kundi la BLM ni zuri kiuharakati lakini linapoingia katika siasa ni kundi baya.
Ni kundi lenye watu ambao maono yao ni ya muda mfupi.

Hii haina maana hawana hoja, la hasha, bali hawana ujenzi wa hoja na mwelekeo mzuri. Nitafafanua

Baada ya mauaji ya George Flyod, makundi mbali mbali yaliridhika pasi na shaka lilikuwa tukio moja kati ya mengi ya ukatili dhidi ya weusi. Makampuni na taasisi zikalazmika kuchukua hatua kadhaa katika kujinasua na kashfa au ukimya wa kufumbia macho madhila hayo.

Maandamano dunia nzima yalilenga kuunga mkono weusi dhidi ya madhila.

Hata hivyo, BLM wakaenda mbali zaidi wakidai kuondolewa kwa ''sanamu' za watu mbali mbali kwa kile walichodai ni kuwakumbusha machungu ya utumwa. Hii iliambatana na kuvunjwa kwa masanamu na uharibifu mwingine.

Hakukuwepo ulazima wa kuondoa masanamu. Tatizo lililpo ni ubaguzi wa kimfumo ''systemic racism'.

Hivyo turufu ya BLM ingalikuwa kushinikiza mabadiliko ya mfumo na si kuvunja masanamu

Pili, BLM wanataka 'defund' ya Police, kwamba, bajeti za Polisi zikatwe.
Huu nao ni ujinga, Polisi ndio wanaolinda usalama kupunguza bajeti ni kuleta matatizo zaidi.

Ipo hoja kwamba Polisi ndio vinara wa mauaji ya weusi, ni ukweli na ukweli usiopingika.
Dawa ya kukabiliana na tatizo ni kubadili mfumo wa Polisi na sheria zinazowalinda na siyo kupunguza bajeti.

Tatu, BLM wanakuwa wakali mtu mweusi akiuawa. Hilo ni la kweli kwani maisha ya mtu mmoja ni makubwa sana kiasi cha kusema ni mtu mmoja. Hata hivyo, BLM wameshindwa kwenda maeneo kama Chicago ambako kwa wiki si chini ya watu 10 weusi wanauana wenyewe kwa wenyewe.

Kwanini BLM waone tukio moja moja wasione kinachoendelea Chicago?
Je, Polisi wa Chicago walipozira maeneo ya South nani anaumia?

Ni kwa mitaarufu hiyo, Biden anajifungamanisha na BLM. Hii ni liability
Kadiri miji inavyopata vurugu ndivyo kampeni yake inavyfungamanishwa na BLM na fujo nyingine.

Tumalizie kwa kusema, ukiacha gaffe kuna matatizo mawili makubwa kwa Biden.

Moja, uchaguzi wa VP utakaokidhi haja za makundi na haja ya mteuliwa kuwa Rais wakati wowote.
Pili, kundi la BLM ambalo kama ilivyo uchaguzi wa VP nalo linahitaji kuwa na ''shea'' katika kampeni ya Biden
Ni kundi linaloweza kumtishia ikiwa hatafanya abcd.

Je, Trump anaingia uchaguzi akiwa na mzigo gani? Inaendelea
 

Mag3

JF-Expert Member
May 31, 2008
11,092
2,000
Je, Trump anaingia uchaguzi akiwa na mzigo gani? Inaendelea
Kwanza kabisa yeye mwenyewe ni mzigo. Kwa hiyo licha ya kuwa anaingia na rundo la mizigo, yeye mwenyewe ni bonge la mzigo, habebeki. Kwa sasa kuna wasi wasi kama ataendelea kubebwa kwani hata wabebaji wameanza kuonesha dalili za kuchoka.

Tukianza na hoja yake ya kujenga ukuta, hii ndio kabisa imemmaliza. Licha ya ahadi yake ya awali kwamba Mexico ndio ingeubeba mzigo wa ujenzi wa ukuta huo, ni wazi alikuwa anasema uongo. Hilo la kwanza lakini la pili ni kwamba kulinganaa kauli yake, ukuta hauzuii kitu!

Donald Trump, "Never, ever give up. Don’t give up. Don’t allow it to happen. If there’s a concrete wall in front of you, go through it. Go over it. Go around it. But get to the other side of that wall.”
View attachment nevergiveup.mp4
Ukiwa muongo lazima ujifunze kutunza kumbukumbu! Ngoja kampeni zipambe moto halafu kauli tata kama hizi itabidi azijibu. Itabidi awaeleze wapiga kura wake huo ukuta ni wa nini kama Mmexico mwenye nia lazima tu atatafuta namna ya kuuvuka?
 

Mlenge

Verified Member
Oct 31, 2006
1,086
2,000
Hawa wagombe wana changamoto kadhaa.
Nukuu za ziada ziko kwenye boldi.
...
1. Hata hivyo, Biden ana 'political gaffe' na kutotokea katika hadhira kutokana na Covid kunamsaidia sana.
Biden kasema, kama wewe ni mtu mweusi, na mpaka sasa hujaamua umpigie kura Biden, basi wewe siyo mweusi kweli, au maneno yenye mwelekeo huo. Je, huo ni ukweli au ndio moja ya hizo 'gaffe' zenyewe?

2. Biden ana changamoto za kumpata VP. Kampeni yake imerudishiwa uhai na watu weusi wa Carolina.
Kugombea kwa Kanye West (kama kweli atagombea) kutapunguza kura za Trump au za Biden miongoni mwa Wamarekani Weusi?

3. Ni turufu mbaya kama ile ya kuunga mkono Black lives Matter (BLM)... Kundi la BLM ni zuri kiuharakati lakini linapoingia katika siasa ni kundi baya... maono yao ni ya muda mfupi... hawana ujenzi wa hoja na mwelekeo mzuri... Makampuni na taasisi zikalazmika kuchukua hatua kadhaa ... Hata hivyo, BLM wakaenda mbali zaidi ...Tatizo lililpo ni ubaguzi wa kimfumo ''systemic racism'... BLM wanataka 'defund' ya Police, kwamba, bajeti za Polisi zikatwe. Huu nao ni ujinga... Ipo hoja kwamba Polisi ndio vinara wa mauaji ya weusi, ni ukweli na ukweli usiopingika [Naomba takwimu RASMI kuhusu polisi kuua weusi vs weusi kuua weusi] ... Chicago ambako kwa wiki si chini ya watu 10 weusi wanauana wenyewe kwa wenyewe... Kwanini BLM waone tukio moja moja wasione kinachoendelea Chicago? ...Je, Polisi wa Chicago walipozira maeneo ya South nani anaumia? ...Ni kwa mitaarufu hiyo, Biden anajifungamanisha na BLM. Hii ni liability... Kadiri miji inavyopata vurugu ndivyo kampeni yake inavyfungamanishwa na BLM na fujo nyingine.
Sasa hivi Marekani inaonekana ni kama pana vita ya utamaduni (cultural war) baina ya mrengo wa kushoto na mrengo wa kulia. Kwa nini Trump alishinda mwaka 2016? Ni kwa sababu umma wa watu uliokuwa umechoshwa na utamaduni wa political correctness (PC culture) uliamua kumpigia kura mgombea ambaye ni the most un-PC. Hiyo ndiyo siri ya wazi ya ushindi wa Trump 2016. Wapinzani wa Trump inaonekana bado hawajatambua hilo. Wanazidisha kasi ya PC culture kama unavyosema kuhusu BLM. Hivyo basi utaona wanazidi kualienate their own political base na kuongeza resolve ya base ya Trump.

4. ...uchaguzi wa VP utakaokidhi haja za makundi na haja ya mteuliwa kuwa Rais wakati wowote... kundi la BLM ambalo kama ilivyo uchaguzi wa VP nalo linahitaji kuwa na ''shea'' katika kampeni ya Biden...
Mnamo mwaka 1993, timu ya Simba Sports Club ilikuwa ndiyo timu ya kwanza Tanzania kuingia fainali ya kombe lolote la Afrika nzima. Wachezaji walikuwa na hamasa sana... maana waliahidiwa kila mmoja kununuliwa Chai-Maharage kama wakichukua kombe. Fainali ilikuwa ni dhidi ya timu ya Stella Abidjan ya Cote D'ivoire. Mechi ya kwanza ilikuwa ugenini. Stella 0 - Simba 0. Mechi ya pili ilikuwa ni Dar es Salaam. Fainali la fainali. Magazeti yalijaa vikatuni vya simba anayefungua vikopo vya bia ya Stella Artois iliyokuwa ikivuma kipindi hicho. Ulizuka ubishi mkubwa kuhusu ratiba ya baada ya mechi. Je, kombe litapitishiwa mitaa ipi, na iwapo Msimbazi patatosha... FT Simba - 0 Stella Abidjan 2, Boli Zozo akifanya yake uwanjani. Ndiyo mechi iliyozua msemo "uzalendo umenishinda" baada ya washabiki wa Yanga kuanza kuimba maneno hayo waliposhindwa kuendelea kukaa kimya pale Simba ilipofungwa goli la pili... Eh, tumekuwa wahenga, but I digress...

5.Je, Trump anaingia uchaguzi akiwa na mzigo gani? ...

Trump inaonekana anaendelea kutumia mbinu ileile aliyoitumia 2016: kuwa un-PC na kuuchonganisha utamaduni wa political correctness vs wapiga kura. Hotuba yake ya Mlima Rushmore imejaa mifano mingi ya hivyo. Safari hii ya 2020 mbinu itafanya kazi kama 2016? My prediction ni kwamba uchaguzi huu pana mtu atagaragazwa kwa ushindi wa sunami: ama Trump au Biden. Mbinu ya Trump itafeli sana au itafanikiwa mno: Atashinda kwa ushindi mnono kuliko wa 2016, au atashindwa kwa namna ambayo haikupata kutokea kwa karne kadhaa.
 

Nguruvi3

Platinum Member
Jun 21, 2010
13,678
2,000
Mlenge, post: 35934258, member: 450"]
Biden kasema, kama wewe ni mtu mweusi, na mpaka sasa hujaamua umpigie kura wewe siyo mweusi kweli, au maneno yenye mwelekeo huo. Je, huo ni ukweli au ndio moja ya hizo 'gaffe' zenyewe?
Ukimsikiliza kauli ile ilikuwa 'sarcasm'. Katika siasa za DC hasa wakati wa uchaguzi kauli ni kitu muhimu sana. Republicans ni wazuri sana wa kugeuza kauli. Utakumbuka Obama na 'gas policy' wakitembea na vimita vya upepo, au Joe the Plumber na socialism au Trump na Birther.
Kwa hali yoyote kosa kama hilo linagharimu sana muda wa kulisafisha.

Je, ni political gaffe, absolutely! linaweza kutumia against.

Ukifuatilia hili la Biden halikuwa na nguvu sana kwasababu lengo la Trump Campaign si kuchukua weusi bali kuwachonganisha na Biden kama sehemu ya ''voter suppression'

Kugombea kwa Kanye West (kama kweli atagombea) kutapunguza kura za Trump au za Biden miongoni mwa Wamarekani Weusi?
Mkuu , with all due respect una ombwe kubwa la kufuatilia siasa na habari na siasa za DC na Marekani kwa ujumla.
Katika hali ya siasa kumtaja Kanye kunaleta goose bumps!

1. Hivi unafahamu Kanye ni mgonjwa na anapata matibabu ya maradhi ya akili!

2. Justin Amash, aliyekuwa Republican Rep kutoka Michigan ambaye sasa ni independent alitaka kugombea kupitia GOP akiungwa mkono na Lincoln Project. Kilichotokea Magavana wanaomuungan mkono Trump wakapiga pini , hakuna primaries. Kwa mwendo huo Kanye anaingia katika uchaguzi kwa njia ipi?

Kuna majimbo (state) ambazo primaries zimekamilika, sasa Kanye anawezaje kuingia

4. Billionaires kama Bloomberg na Steyer wametumia mabilioni kupitia Democrats na hawakuambulia kitu
Kanye West ana nini cha kuingia nacho katika kampeni za siasa?

5. Sijui kama unajua kuwa Kanye kuungana na Trump kulimchafua sana katika jamii ya weusi.

Kwa ufupi ninachotaka kusema hapa ni kuwa, kwa siasa za Marekani kumfikiria Kanye na hata kufikiri anaweza kugawa kura za Biden ni jambo la kushangaza sana na kwamba umeona nini na una taarifa zipi tofauti na zilizopo duniani kuhusu Kanye!!!
 

Mag3

JF-Expert Member
May 31, 2008
11,092
2,000
Mkuu , with all due respect una ombwe kubwa la kufuatilia siasa na habari na siasa za DC na Marekani kwa ujumla. Katika hali ya siasa kumtaja Kanye kunaleta goose bumps!
Mkuu Nguruvi3, mtanisamehe kwa kuwa so blunt kwenye michango yangu lakini ukweli ni kuwa wapo watu wanadandia mambo ya Marekani kwa juu juu bila kuijua vyema historia ya nchi hiyo. Hata uchunguzi mdogo tu ungeweza kuonesha kuwa conman-in-chief Donald Trump was a mistake, na Wamarekani hawathubutu kurudia kosa walilolifanya 2016. Haitashangaza hata kidogo kwa moja ya mawili kutokea...ama Trump kujitoa au the real GOP ikianza kuachana naye.

Watu mfano wa Donald Trump wapo na wamewahi kutokea huko nyuma na kwa kweli wapo watu walitekwa na siasa zao za kilaghai katika baadhi ya mataifa. Lakini kama ninavyoamini na ninavyoifahamu Marekani kila mara hawadumu, njama zao zinakuwa short-lived. Trump kwa kujua hilo, jambo la kwanza alilojitahidi kulifanya na kwa kiasi fulani akafanikiwa ni ku-demonize the free press ya Marekani na kuwaaminisha wafuasi wake kuwa yanasema uongo, fake news.

La pili alilojaribu kulifanya ni ku-demonize vyombo vya dola vinavyosimamia usalama wa raia visiaminike mbele ya raia katika majukumu yake ya kuwalinda. Kwa hili tunaweza kusema alifanikiwa nusu tu kwani misingi inayosimamia haki na usawa Marekani iko imara. Ndoto yake ya kuwa kiongozi wa kiimla kama wale wa Urusi na China kamwe haiwezi kufanikiwa. Kwa leo nitaaishia hapa ila what we are witnessing right now may be just the tip of an iceberg, jioni njema.
 

Mlenge

Verified Member
Oct 31, 2006
1,086
2,000
Mkuu , with all due respect una ombwe kubwa la kufuatilia siasa na habari na siasa za DC na Marekani kwa ujumla.
Katika hali ya siasa kumtaja Kanye kunaleta goose bumps!
...

Kwa ufupi ninachotaka kusema hapa ni kuwa, kwa siasa za Marekani kumfikiria Kanye na hata kufikiri anaweza kugawa kura za Biden ni jambo la kushangaza sana na kwamba umeona nini na una taarifa zipi tofauti na zilizopo duniani kuhusu Kanye!!!
Asante.

Nini maoni yako kwa pointi namba 3, namba 4 & Namba 5?
 

TUJITEGEMEE

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
15,288
2,000
5.Je, Trump anaingia uchaguzi akiwa na mzigo gani? ...

Trump inaonekana anaendelea kutumia mbinu ileile aliyoitumia 2016: kuwa un-PC na kuuchonganisha utamaduni wa political correctness vs wapiga kura. Hotuba yake ya Mlima Rushmore imejaa mifano mingi ya hivyo. Safari hii ya 2020 mbinu itafanya kazi kama 2016? My prediction ni kwamba uchaguzi huu pana mtu atagaragazwa kwa ushindi wa sunami: ama Trump au Biden. Mbinu ya Trump itafeli sana au itafanikiwa mno: Atashinda kwa ushindi mnono kuliko wa 2016, au atashindwa kwa namna ambayo haikupata kutokea kwa karne kadhaa.
Kura za maoni zinawapotosha sana...! Hawajifunzi. Nakumbuka namna HR Clinton alivyovimbishwa kichwa na kura za maoni. Na kipindi hicho yeyote aliyeshauri watu wawe na kiasi katika kujihakikishia nani anakuwa Rais wa US basi alionekana 'kituko'. Naona wale wale wanataka kurudia kosa.
 

Mag3

JF-Expert Member
May 31, 2008
11,092
2,000
Kwa kweli siku ya kufa nyani, miti yote huteleza...by a unanimous decision of 7-2 The Supreme Court of the United States (SCOTUS), rules nobody is above The Law, not even The President of The United States (POTUS)

...And all this is still just the tip of an iceberg
 

Mlenge

Verified Member
Oct 31, 2006
1,086
2,000
Kura za maoni zinawapotosha sana...! Hawajifunzi. Nakumbuka namna HR Clinton alivyovimbishwa kichwa na kura za maoni. Na kipindi hicho yeyote aliyeshauri watu wawe na kiasi katika kujihakikishia nani anakuwa Rais wa US basi alionekana 'kituko'. Naona wale wale wanataka kurudia kosa.
For the record:

Kanye West Says He’s Done With Trump—Opens Up About White House Bid, Damaging Biden And Everything In Between
Forbes inamzungumzia kwenye intavyuu ndefu.


If Kanye West runs for president, Joe Biden should do a happy dance
But if Kanye 2020 really happens, what does this mean for Joe Biden and Donald Trump?

Beyond the guffaws and eye-rolling, another reaction from Hollywood liberals this week was fear and loathing. Their concern? Kanye could morph into a hip-hop Ralph Nader, siphoning votes from Biden and handing Trump a second term, which would be the end of America.

...

The conventional wisdom is Kanye 2020 would be a bludgeon to Biden.

I seriously doubt that. If Kanye does manage to enter this race, his banner should not be the Birthday Party — it should be the Funeral. He’s not going to help Trump because he is Trump 2.0.


With Joe Biden’s help, Kanye West could be the final nail in the MAGA coffin.

Kanye West's presidential announcement angers Biden supporters over potential split vote
But his announcement has angered fans of presidential contender Joe Biden for fear that, as an independent candidate, West will take votes away from Mr Biden, a tactic that could favour Mr Trump.
Kanye West says he's OK taking Black voters away from Joe Biden — thus helping Trump's reelection — as he launches his wild card presidential bid
West said that he was OK with the prospect of siphoning off Black voters from Democratic candidate Joe Biden, which could damage Biden's chances of winning in November.
Kanye 'only running for president to split Biden vote so Trump wins'
But some are skeptical about his true motives, suggesting the known Trump supporter really wants to split the vote among young people.
CJ Pearson, president at activist youth organisation Last Hope USA, said:
"If Kanye runs in 2020 he’d only take away votes from Joe Biden.
"Young people are already unenthusiastic enough as is about Biden’s candidacy but he’d also chip away at Biden’s black support.
"Trump voters are TRUMP voters. His base remains unchanged."
https://www.newsweek.com/kanye-west...-house-slim-chances-electoral-college-1515954
If Kanye West Actually Runs for President, Will He Hurt Biden or Trump?
Here’s Why A Kanye West Run Might Be More Likely To Hurt Trump
Given West’s low favorability among Democrats, however, it seems likely he could take more from Trump’s share than Biden’s.
Sky News Australia
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom