Nimeangalia baadhi ya hizo unazoita 'uongo' kwenye hizo links mbili, na nimegundua kuna maneno mengi tu ambayo yametafsiriwa kimakosa kama uongo. Inawezekana sio kimakosa bali ni kwa makusudi kabisa ili kutimiza ajenda fulani.(a) Kwa uwongo kuna ripoti kila sehemu: Pitia website ya Politifact au Washingtonpost uone.
Huo unaouita "utapeli" (fraud) ulithibitishwa mahakamani? Maana kama mtu ametapeliwa ana-file 'civil lawsuit'.(b) Kwa utapeli alifikia kunyimwa mikopo na subcontractors wakawa hwataki kumfanyia kazi bila malipo kwanza:: Pitia historia yake ya utapeli na bankrupticies utajua kwa nini alikuwa hakopeshwi tena na mabeki yote ya Marekani isipokuwa Deutsche Bank tu?
Mazingira (circumstances) yanayozunguka hali fulani yanaweza kuhalalisha matumizi ya maneno makali.(c) Kwa roho mbaya hilo liko wazi kabisa: Ukiacha hiyo ya birther na ya McCain kutokumshukuru kwa mazishi ya kitaifa, angalau nadhani unalijua hili
Hawa nao ni waongoNimeangalia baadhi ya hizo unazoita 'uongo' kwenye hizo links mbili, na nimegundua kuna maneno mengi tu ambayo yametafsiriwa kimakosa kama uongo. Inawezekana sio kimakosa bali ni kwa makusudi kabisa ili kutimiza ajenda fulani.
Kama mtu anaorodhesha na kuweka kumbukumbu ya maneno ya uongo ya mtu mwingine, halafu katika mchakato huo na yeye anasema uongo, nadhani mtu huyo anakuwa sio wa kutegemewa kama chanzo cha taarifa.
Huo unaiota "utapeli" (fraud) ulithibitishwa mahakamani? Maana kama mtu ametapeliwa ana-file 'civil lawsuit'.
Bankruptcy ni mchakato wa kawaida kwa biashara, mtu au taasisi zinazopitia hali ngumu kifedha!
Kampuni zinapo-file bankruptcy mahakamani (Chapter 11 protection) ina maana haziwezi kulipa madeni yake kwahiyo zinauza assets ili kulipa madeni na kuanza upya au kusuka upya deal la kulipa madeni (restructuring debt) na sheria inayalinda makampuni hayo.
Madhara ya zoezi hili pamoja na mambo mengine ni kuongeza 'credit risk' kwa aliye-file, na kusababisha ugumu kupata mikopo mipya na kupata huduma au bidhaa kwa mkopo!
Kwahiyo ku-file bankruptcy kama Trump alivyofanya, ni mkakati mzuri tu na wa kawaida wa kulipa madeni katika 'corporate America'.
Mazingira (circumstances) yanayozunguka hali fulani yanaweza kuhalalisha matumizi ya maneno makali.
Kwa mfano, hiyo link inazungumzia Trump kutumia maneno makali dhidi ya watu waliotuhumiwa kwa ubakaji. Trump aliguswa na kitendo cha kikatili cha kubakwa kwa mwanadada Trisha na hivyo kupelekea kusema anahitaji kurudishwa kwa hukumu ya kunyongwa hadi kufa (death penalty) New York dhidi ya waliohusika.
Jimbo la New York hamna hukumu ya kunyongwa hadi kufa. Kama kuhitaji hukumu hiyo katika hali hiyo maana yake ni roho mbaya, basi watu wengi wana roho mbaya.
Kuna States 30 Marekani bado zinaruhusu hukumu ya kunyongwa hadi kufa. Tanzania bado kuna hukumu ya kunyongwa hadi kufa.
Huyo mtu hata akili ya kusoma sidhani kama alikuwa anayo na IQ yake sidhani kama inaitafuta hata 90, halafu eti kila siku kuwashambulia wasomi wanaomzidi akili kama Obama. Kama si pesa za babake zilizokuwa zikimkwamua kila alipobugi step na kuzama kwenye lindi la madeni katika maisha yake angebakia kuwa mhuni tu.Mtu yeyote anayemani kuwa Trump ni smart lazima ana matatizo makubwa sana ya kiakili.
El Jefe, ushauri tu mdogo...ukivuliwa nguo unachutama. Trump alikuwa na House na Senate na kwa nini umemkazania tu marehemu John McCain na huwataji Republicans wengine waliokataa? Unawataja Democrats kuwa ndio wanamsifia John McCain, je Republicans wangapi wanamuunga mkono Trump katika kumponda John McCain...unaweza kuwataja?
El Jefe, ushauri tu mdogo...ukivuliwa nguo unachutama. Trump alikuwa na House na Senate na kwa nini umemkazania tu marehemu John McCain na huwataji Republicans wengine waliokataa? Unawataja Democrats kuwa ndio wanamsifia John McCain, je Republicans wangapi wanamuunga mkono Trump katika kumponda John McCain...unaweza kuwataja?
Wanavyozungumza ni kama tangazo fulani lililolipiwa kwa ajili ya maslahi fulani. Hata hivyo, kuna videos nyingi za watu binafsi wakitoa maoni yao.Hawa nao ni waongo
Nilikuwa napitia mabandiko ya nyuma nikaliona hili. JF inakumbukumbu kweli!Yawezekana mnatetea upuuzi wa Trump ku'justify' ujinga unaoendelea kutendekea hapa nchini kwetu. I find it so hard to argue with some of you people; it is like you have eyes but can't see and you have ears but can't hear or listen.
Kuitawala Marekani si rahisi kama mnavyodhani...eti mtu, hata akiwa Rais, anaweza kuamka tu na kuanza kutoa kauli za ajabu ajabu na watu wakamnyamazia. The honeymoon will soon be over and somebody is in for a very rude awakening...
Marekani mambo hayaendi hivyo kama anavyofikiria
Mkuu , kuna tango pori la Trumpacare! kwik kwik kwik! tukaambiwa linafanyiwa reconciliation na lile la House, mbavu zangu jamaniMkuu Nguruvi3, naomba nikukumbushe kidogo matango pori aliyotaka kutulisha kuhusu ACA au kwa lugha ya Republicans Obama Care, nanukuu;
Tofauti na alivyotabiri El Jefe, Obama Care bado ipo na Trump ni kweli hakuwa na mbadala lakini Democrats kwa kutetea Obama Care waliweza kuchukua House kwa ushindi mkubwa. Huyu jamaa ni wa kuachana naye, yaonekana anawapenda sana viongozi waongo, matapeli na wenye roho kuntu.
Wakuu Kichuguu na Mag3 , kama lipo jambo Trump amefanikiwa ni kuifanya Republicans isiwe ile Rep bali Republicans ya Trumpism. Amewatisha sana
Ukimsikiliza Lindsey Graham wa iliyokuwa Amigo akiwa na McCain na Liberman utashangaa
Graham amebaki kuokota mipira ya golf Marla-lago akitetea hata upuuzi
Akina Ted Cruiz na Rubio wapo kimyaa kama wamenyeshewa mvua.
Walikuwa mwiba kwa Obama wakiongozwa na McConnel aliyetak Obama awe one term pres
Hakuna anyeongelea uchumi ulikuwa wapi hadi uka qualify nchi kuwa katika recession
Hakuna anyeongelea vigezo vyote vya uchumi wakati ule na sasa. Wote wamebaki na kauli moja '' robust economy''. Katika suala la uchumi Obama ndiye aliyetengeneza akapokea Trump
Wengi hawatambui kuwa recession haikuanzia na George Bush, ilianza wakati wa Reagan
Deregulations hasa taasisi za pesa ndizo zilizopelekea anguko la uchumi baada ya muda
Kuitoa GDP katika negative na kuipeleka positive territory kwa uchumi mkubwa kama wa US si jambo la usiku mmoja. Kujenga consumer confidence baada ya hasara si jambo la usiku mmoja
Kutengeneza ajira kwa miezi 74 continuous ndicho kigezo cha recession kumalizika
Mambo aliyofanya Obama taratibu yanajidhihiri na ndiyo maana anazidi kuwa maarufu
Obamacare: Hadi leo hakuna anyetueleza sera ya Trump ni ipi na iko wapi
Wamarekani wanagundua kufuata Obamacare ilikuwa mkenge kwasababu hawaoni mbadala
Nuclear deal: Trump alidhani Iran nuclear deal ilikuwa hovyo akaifuta mara moja.
Katika miaka 2 hajawa na mbadala wa deal hiyo.
Leo akiwa Switzeland Pompeo anasema US ipo tayari kujadiliana na Iran bila condition.
Hii maana yake tayari wamekwama wanataka kurudi kwa OB
TPP: Obama alikazania sana TPP si kwasababu ya uchumi, bali kwa kuelewa usalama wa Marekani unategemea uchumi. Hivyo, US kuwa kiranja wa TPP ilikuwa mbinu ya kumdhibiti Mchina. Trump akafuta mara moja, ingawa sasa anarudi kwa mlango wa nyuma akimtumia VP
Trade War: Vita ya uchumi na China inaendelea Trump akiwaaminisha wafuasi wake kuwa zile tariff anazowekea Wachina atakayelipa ni China na si Mmarekani kama ilivyokuwa ''wall-mexico''
Hapa Trump anaumiza Wamarekani maeneo mengi, kwanza, tariff zitalipiwa na consumers US
Pili, retaliation ya tariff inaathiri Wakulima wake wanaouza Soya na bidhaa nyingine China
Tatu, makampuni kama GMC yanayojitanua kibiashara China yatafunga shughuli kwasababu ya kushindwa competition katika price
Haya yote yanatokea kukiwa na suala jingine la debt. Kwamba, lazima debt ceiling iongezwe
Katika mazingira ya kawaida na hasa waliyokuwa wanamsakama nayo Obama, ilitegemewa Republicans wawe wakali katika trade kwani wao wanaamini free trade na si protectionism.
Walitakiwa wawe wakali katika debt kwani huamini udogo na matumizi kidogo
Kwavile iliyopo ni Trumpisim na si Republicans, kila kitu kimyaaa!
Na hilo pia linaeleza ya Mueller. Ukisoma historia waliosimamia katiba wakati wa Nixon na kumuondoa walikuwa Republicans, siyo hii ya Trumpism na Barr
Tusemezane
Kwa hiyo John McCain ndiye aliyesababisha Democrats kutwaa Congress? Are you insinuating that the control of Congress depended solely on how John McCain voted! This is really very disingenuous of you El Jefe...shame on you! Remember before the 2018 elections the House had 247 Republicans and only 188 Democrats. After the elections it is the reverse; 241 - 194 all because of McCain!John McCain 'aliharibu sherehe' siku ile, Obamacare ingeshaondoka! Ndio maana Dems wanamsifia sana McCain.
Kilichotokea siku ile ni mambo mawili. Kwanza, McCain aliuliza uko wapi mbdala wa Obamacare kabla ya kutupa watu nje ya Obamacare? Pili, concern yake ni kuwa wakati wa kupitisha Obamacare Republicans mmoja au wawili waliunga mkono. McCain akasema hiyo si njia nzuri ya kuitisha mswada mkubwa unaochukua 6% ya Bajeti ya US. Ni lazima kuwe na at least concensusKwa hiyo John McCain ndiye aliyesababisha Democrats kutwaa Congress? Are you insinuating that the control of Congress depended solely on how John McCain voted! This is really very disingenuous of you El Jefe...shame on you!
Remember before the 2018 elections the House had 247 Republicans and only 188 Democrats. After the elections it is the reverse; 241 - 194 all because of McCain!
Kwa hiyo John McCain ndiye aliyesababisha Democrats kutwaa Congress? Are you insinuating that the control of Congress depended solely on how John McCain voted! This is really very disingenuous of you El Jefe...shame on you! Remember before the 2018 elections the House had 247 Republicans and only 188 Democrats. After the elections it is the reverse; 241 - 194 all because of McCain!
Jenga hoja acheni kebehi.
Niambie mimi binafis kuwa nijenge hoja, usiseme "jengeni hoja" ambayo ni lugha ya generalization inayohamasisha makundi ya "nyie na sisi" na kuwa ya kikabila na kibaguzi.Jengeni hoja acheni kebehi.
Kwani umesoma hiyo ruling ya Judge kweli au umesoma maoni ya mwandishi huyo wa Russian Times. Ruling yenyewe ni hii hapa; je kweli ukiiisoma utahitimisha kuwa "Federal judge destroys key Mueller report claim'?===Another nail in Russiagate coffin? Federal judge destroys key Mueller report claim
Special counsel Robert Mueller’s claim of “sweeping and systematic” Russian meddling in the 2016 US election just took another body blow, as a federal judge ruled that his indictment of a ‘troll farm’ is not actual proof of it.www.rt.com
Na huyu jaji yupo upande wa Trump!? Na kweli hoja zake hazina mashiko !?
Ha ha haa TUJITEGEMEE, utaokotezaokoteza hizi spin za RT News hadi lini? Je, did not participate in any wrongdoing in obtaining the materials in the first place, unaelewa maana yake? Kwa ufahamisho ni kweli kabisa kwamba hao watajwa hawakuhusika katika ku-obtain the materials in the first place kwani wahusika hasa wa hilo walikuwa ni Warusi, over?Nadhani utafutaji " mchawi" umekwisha...hasa ule ulionzishwa na Demo baada ya kipigo cha HRC.
===
Dismissed! Judge throws out Democrat lawsuit against Trump campaign, Russia & WikiLeaks
Arguments by the Democratic National Committee in a lawsuit against Russia, WikiLeaks and the Trump campaign over the 2016 election were “entirely divorced” from facts, a federal judge in New York said as he threw out the case.www.rt.com