Nguruvi3
Platinum Member
- Jun 21, 2010
- 15,413
- 31,401
- Thread starter
- #441
HOJA YA SERIKALI KUU HAINA VYANZO VYA MAPATO
Hoja hii imetumika sana na CCM na wale wasiotaka S3 kwa sababu tu hawataki.
Ukweli unabaki kuwa hoja ni dhaifu na haina miguu ya kuisimika.
Hoja hiyo inapata nguvu baada ya hoja ya gharama za S3 kuzikwa kutokana na kutokuwa na mashiko.
Tumeonyesha jinsi CCM ilivyo na muundo wa S3.
Chama kinachosubiri ruzuku hakingeweza kukubali gharama za muundo wa utatu kama ulivyo sasa.
Ili kukwepa hoja ya gharama inayowarudi CCM na wapambe wao, hoja hiyo imekufa na ni nadra sana kuisikia.
Hoja iliyopo sasa ni Serikali ya shirikisho kutokuwa na vyanzo vya uhakika vya mapato.
Hoja hii nayo haina miguu na inatamkwa tu ili kuziba ombwe la hoja na kujazia nyama katika mfupa hata kama zimeoza.
Kwasasa tuna S2 na tumewauliza wanaohusika chanzo cha uhakika cha mapato ni kipi?
Mara zote hakuna majibu kwasababu majibu ni matusi kwa Watanganyika.
Muungano wa sasa umebebwa kwa asilimia zote na Tanganyika.
Tunafahamu mapato ya znz kama alivyosema Ali Salehe yanabaki huko.
Tunajua mikopo inachukuliwa na Tanganyika kama dhamana, na tunafahamu mambo yenye gharama yanabebwa na Tanganyika.
CCM na wenye hoja ya chanzo cha mapato ya uhakika wana maana moja kuwa, chanzo cha sasa cha uhakika ni Tanganyika.
Wanafahamu uwepo wa Tanganyika utawalazimisha wznz wachangie japo walicho nacho.
Hilo hawalitaki kwa kuamini kuwa znz inapaswa kubebwa tuu na kudai hata kisicho chake.
Uwepo wa S3 utawawajibisha wznz katika kuchangia gharama, kuwa na uchungu na muungano na kuuthamini.
Kwasasa wznz wanachukulia kusaidiwa kila kitu kama haki yao.
Na hapo ndipo wasioitakia mema Tanganyika wanapobabaika kuwa ujio wake utakuwa tatizo kwa znz.
Kama znz inataka mamlaka kamili basi mamlaka hayo yaambatane na wajibu.
Wajibu ni kuchangia serikali ya shirikisho na kulea watu wake.
Wajibu si kukimbia wajibu wao wa kuchangia muungano kwa kujificha ndani ya jina la Tanzania.
Mfano, wakati wa tume ya Warioba wznz walikuwa wakali wakitaka 50-50 ya wajumbe ambao ni hawa akina Ali Salehe.
Wakati tume inapeleka bili wazanzibar wakagoma wakisema anayelipa ni JMT.
Kwa uwezo wao mdogo wa kufikiri na kuwaza, hawakuuliza hata nani amelipia gharama hizo. Walichokimbilia ni JMT.
Tunajua kuwa Bilioni 60 ukizigawa ni bilioni 30.
Kiasi hicho cha bIlioni 30 ni sawa na 12% ya mapato yao.
Ili kukwepa gharama hizo wznz wanatumia jina.
Na Mtanganyika anawajibika kulipa kwasababu yeye hana mtu wa kumtetea. Nani atamsemea Mtanganyika?
Rais ni wa JMT
Waziri mkuu ni wa JMT
Spika ni wa JMT
Wabunge ni wa JMT
Serikali ni ya JMT
Maana ya hili ni kuwa Mtanganyika ananyimwa fursa ya kujiamualia mambo yake kwa jina lake.
Analazimishwa kutumia jina la ushirika la Tanzania ili kukamua na kukomba rasilimali zake.
Mali na rasilimali za Watanganyika ndicho chanzo cha uhakika cha mapato ya S2 za Sasa.
Wanaoogopa Utanganyika na kuzinduka kwake wanajua kuwa uwepo wa Tanganyika unaleta sehemu mbili sawa.
Leo Tanganyika isingekubali tume yenye wajumbe sawa ilipe yenyewe
Tanganyika isingekubali kulipia watoto wa nchi jirani na kuacha watoto wake nje ya mfumo wa elimu
Tanganyika isingekubali waznz 4 wakae na kupanga kiwango cha ajira ndani ya nchi yao.
Katika kuendeleza ukupe ndipo hoja dhaifu ya chanzo cha uhakika inapokuja.
Hii ni kuwatukana Watanganyika. Kwamba kodi zao ni chanzo cha uhakika, zile za wazanzibar ni kwa ajili ya ujenzi wa shule na hospitali zao tena wakisema askari wa Tanganyika wanaongeza gharama.
Jamani, hawa watu wameanza kuvunja katiba yetu mchana na sasa wantamba wamevunja katika kwa lazima.
Wamefika mahali wanakuja na kukaa meza moja wznz 4 na kupanga asilimia za ajira za watoto wao kutoka ajira za nchi yetu.
Wanadai tugawane mali zetu 50-50, maana hawana chochote.
Tusipoangalia watu hawa, tutaaachia kizazi chetu tatizo kubwa sana.
Ni lazima Tanganyika izinduke, hakuna namna nyingine.
Wameingiza mizizi yao katika sehemu zote za utawala.
Bila Tanganyika hawa wazanzibar ni tatizo kubwa sana mbeleni.
Watanganyika wake up!