Visa na matukio ya kutisha yasiyoweza elezeka tuliyokutana nayo shuleni na jeshini. Karibu tujuzane

Mto Songwe

JF-Expert Member
Jul 17, 2023
6,041
12,365
Huu uzi ni kwa yoyote yule aliyewahi kutana au simuliwa visa na matukio ya kutisha katika shule mbalimbali alizosoma.

Pia katika majeshi mbalimbali ndani ya kambi, wakati wa kozi au lindo hii kwa majeshi yote mpaka walinzi.

Karibuni wadau nami nitaweka visa na matukio yangu ya kuogofya katika maeneo hayo( jeshi na shule ) dunia hii ina watu na viatu.
c3ba29aa4df25fca84ff8840ceac424c54-03-scary-stories-to-tell-in-the-dark-new.rsquare.w400.jpg
 
Shinyanga.

Wasukuma aiseeh! Kitambo kimepita katika kambi moja kuna tukio lilitokea mpaka leo limeniacha na maswali mengi sana.

Tukio hilo lina muhusu askari mmoja aliyefanyiwa jambo la kushangaza katika hali ya kawaida ni ngumu kulipatia majawabu ya kueleweka kwa namna alivyo na madhira yaliyo mpata bado akili ya kawaida inakataa kukubali kama inawezekana.

Ilikuwa hivi askari yule alishikwa na haja hivyo ikamlazimu yeye kushika njia mpaka maliwatoni kupata huduma.

Askari yeye na road mpaka maliwatoni kusafisha mwili kitu kinacho shangaza sijui nini kilimpata askari yule pale katika kile choo cha kambi mpaka kuweza kuzama ndani ya choo cha kulenga chenye tundu usawa wa tofali la kuchoma tena pasipo tundu lile kuvunjwa au kuongezewa ukumbwa. upana uleule wa tundu la choo halikuweza kuwa kizuizi kwa askari mwenye umbo lile kushindwa kuzama ndani ya choo.

Sasa wakati askari wenzake hawajui hili wa lile kuna askari mmoja ninaweza sema ni bahati tu naye akaenda chooni kuweka mambo sawa wakati hajui hili wa lile askari huyo mpaka ndani kufika uani kutokana namna alivyokuwa anasimulia yeye baada ya kutoka njee ile anaanza kufanya mambo yake mara kuna sauti akaisikia ndani ya choo ikamtisha.

Akahisi maybe wale askari alio acha nje ndio wanamuita na kama unavyo fahamu mtu akiwa maliwatoni katika tamaduni za kiswahili si vyema kuzungumza so yule askari akauchuna wakati amepiga mchuno huo mara akaitwa tena sasa hapa ndipo akazidi kupatwa na wasiwasi humo chooni.

Sauti ikamuita afande afande ni mimi nipo humo nisaidie. bwana wewe askari mbio kwenda kuwasimulia wenzake mkasa mzima askari hao kwenda mpaka chooni kusikilizia ni kweli huu mchongo au wenge au fix za afande. Maskari hao mpaka chooni kweli bwana kufika yule afande aliye ndani ya choo akazidi kuwasihi mimi afande fulani naomba mnitoe humu nilipo wekwa.

Taarifa ikafika uongozi wa juu wa kambi ikabidi maamuzi yafanyike askari kadhaa wakapewa maagizo na afande wamtoe huyo askari mwenzao sasa shida watamtoa vipi ? Katika kanafasi kale jaribu kwa kamba wapi shida ni namna ya kutolewa.

Mpaka askari wale wanashangaa inawezakana vipi mtu mzima kama yule kupenya katika kitundu kile ? mtoto tu lazima iwe kimbembe. ikabidi choo kivunje askari wakavaa gloves zama ndani ya choo wamtoe mwenzao ambae tayari kinyesi kilianza kumletea madhara.

Bwana wakazama wakamtoa mpaka nje wakamwagia maji kumsafisha maana alikuwa kama hajitambui/ hayupo sawa hivi kiakili kama amechanganyikiwa.

Chap kulazwa hospital ya jeshi iliyopo kambini pale baada ya muda kupita yule askari akanza kuulizwa maswali, masimulizi yake yanadai alizamishwa na kitu wakati yupo ndani chooni na pasipo yeye mwenyewe kujitambua ni kitu gani kilimzamisha maelezo yake hayakueleweka ni nini hasa kilikuwa kinamvutia ndani ya choo kile.

Ilibidi askari yule apewe kama likizo ya kurudi kwao Rukwa na baada ya muda kupita alihamishwa moja kwa moja kambi ile.

Mpaka leo hili tukio linanipa maswali mengi sana kwa mtu mzima yule kupenya katika tundu la choo usawa tofali la kuchoma inawezakana vipi ukichanganya na yale masimulizi yake ndio balaah
 
Basi bwana siku moja nipo Lindo mwaka 2012 hoteli moja ya kitalii zanziba IPO pwani mchangani kiwengwa inaitwa Neptune hotel,mida ya usiku kama saa 6 hivi baada ya kuhakikisha wageni wameingia kwenye Bangalow zao kuna njia kubwa ndani ya hoteli ni ya lami inatoka geti kuu kwenda beach humohumo ndani ya hoteli, pembezoni mwa hiyo njia basi nikasema ngoja nibie kausingizi huku nimejikalia chini,bhana kumbe usingizi ulevi ghafla chali usinginzi ukanichukua nikaupiga chini hapohapo miguu nikainyosha kwenye lami kabisa nikiwa ndani ya usingizi ghafla nikausikia mwili mzito nikajaribu kifumbua macho huku nimejinyosha vile vile nilichokiona kwenye mapaja yangu du! Ni bonge la chatu nilishindwa kujirusha Kwa sababu ya uzito hata hivyo alikuwa mwishoni anakatisha avuke lami anaenda kuna kapori jina na hotel jilani inaitwa Waikiki ,basi Hilo likapita,kesho yake nikapangwa beach upande wa North kulinda beach beds,na kulikuwa na music system inalala palepale,nikasema Leo nalala nimesimama ili superviser akija nishituke mapema ,nikasimama miti flani ya beach nilihisi ghafla usingizi kama wote Hadi supervisor anafika nahisi kama nimekabwa,sina uwezo wa kujitikisa wala kupumua napambana kuita yesu wapi ,jamaa ananishika ni kama nimeganda kwenye mti ghafla ndo fahamu zinarejea nishadakwa ,kiukweli nilimchana kiongozi kuwa sijui kilichotokea, basi bwana nikahamishwa Lindo kwenda Dream hotel hapo napo

FB_IMG_1704195111492.jpg
 
Attachments

  • FB_IMG_1704195111492.jpg
    FB_IMG_1704195111492.jpg
    25.8 KB · Views: 1

View attachment 2860055
Mkuu nimepiga kazi hapo nadhani wewe ulikuwa umeshaondoka, Je unampata Kambona? Dahhh hakika ukipangwa beach day shift utakiona Cha mtema Kuni aisee Kupambana na Masai ilikuwa shida. Nimewai kutomba mzungu usiku Niko Beach, alikuwa anatoka Waikiki amelewa kinoma anaenda sijui hotel Gani maana wamasai walikuwa wanamzonga zonga naisi walitaka kumtomba. Sasa Mimi wakati huo nacheki kinachoendela ikabidi nipige Toch Kali sana dahhh Ile kupiga Toch alafu nikawa masogea jamaa wakaanza kutawanyika, kufika pale yule mwanamke wa kizungu si akanikumbatia anataka kunipiga mate.
Kitendo kile nilihisi mshipa kusimamia ghafla, ikabidi nimkokote nikamsogeza kwenye Chocho flani hivi nikampa mpini.
Si unajua mambo ya wazungu tena mara ohhh yes, my god, I Love you. Ndo ikawa ivyo Yani.
 
Mkuu nimepiga kazi hapo nadhani wewe ulikuwa umeshaondoka, Je unampata Kambona? Dahhh hakika ukipangwa beach day shift utakiona Cha mtema Kuni aisee Kupambana na Masai ilikuwa shida. Nimewai kutomba mzungu usiku Niko Beach, alikuwa anatoka Waikiki amelewa kinoma anaenda sijui hotel Gani maana wamasai walikuwa wanamzonga zonga naisi walitaka kumtomba. Sasa Mimi wakati huo nacheki kinachoendela ikabidi nipige Toch Kali sana dahhh Ile kupiga Toch alafu nikawa masogea jamaa wakaanza kutawanyika, kufika pale yule mwanamke wa kizungu si akanikumbatia anataka kunipiga mate.
Kitendo kile nilihisi mshipa kusimamia ghafla, ikabidi nimkokote nikamsogeza kwenye Chocho flani hivi nikampa mpini.
Si unajua mambo ya wazungu tena mara ohhh yes, my god, I Love you. Ndo ikawa ivyo Yani
Tulikuwa mwamba mmoja alikuwa anaitwa yusufu kambona kama nn yy nampata Enzi za jagani akiwa Sierra lima ,hatimae security manager
 
Mwaka 1987 nilikwenda sehemu inaitwa Kalila ni mwambao wa ziwa Tanganyika. Usiku wa manane nilitoka nje kujisaidia ghafla nikaona Treni ya abiria inapita ziwani imefungasha mabehewa zaidi ya 15 mchanganyiko na mabehewa ya mizigo ni Treni kabisa inapita juu ya reli ziwani.

Asubuhi nikamhadithia jamaa yangu akasema ziwani au baharini kuna maajabu sana usiku.
 
Nikiwa bado mwanafunzi shule ya secondary kijijini kwetu nilikua nadestuli yakutoka asubuhi mapema nakwande kusali mskitini nikiludi ndio nivae niende shure,sasa siku hiyo nili feli kuangalia saa kumbe ilikua saa9 usiku ndio nimetoka kuenda mskitini daah nilichokutana nacho hadi leo nawaza sana cjui ilikua nihalisi au ndoto yahapo kwahapo.kunauwanja hapo unapita sasa nikiwa nakalibia uwanjani niliona watu wanacheza mpira nainavo onekana nikama ilikua fainal kabisa maana watu walikua wamejaa sana uwanjani wanaangalia nakushanglia, nilishtuka sana mno nikakimbia kujificha kwenye nyumba flani nijirani nahapo uwanjani,nikasema ngoja nihakikishe nilicho kiona nikweli au illusion! Aisee kuhakikisha nikabaini sio ndoto nihalisi kabisa, sasa ikabidi niweke mkazo kuangalia hadi mwisho nini kitatokea hapo nipo kwenye pembe yanyumba. Aisee chakunishangaza sana hadi leo cjui palizuka kitu gani pale uwanjani yani walitoka mbio sana kila mtu anakimbia kivyake,na baadhi yakundi nililikua linakuja sehemu nilipo mimi daaah ! Sitakufa nimasahau ilitukio.
Duuuh! Hatari
 
Basi bwana siku moja nipo Lindo mwaka 2012 hoteli moja ya kitalii zanziba IPO pwani mchangani kiwengwa inaitwa Neptune hotel,mida ya usiku kama saa 6 hivi baada ya kuhakikisha wageni wameingia kwenye Bangalow zao kuna njia kubwa ndani ya hoteli ni ya lami inatoka geti kuu kwenda beach humohumo ndani ya hoteli, pembezoni mwa hiyo njia basi nikasema ngoja nibie kausingizi huku nimejikalia chini,bhana kumbe usingizi ulevi ghafla chali usinginzi ukanichukua nikaupiga chini hapohapo miguu nikainyosha kwenye lami kabisa nikiwa ndani ya usingizi ghafla nikausikia mwili mzito nikajaribu kifumbua macho huku nimejinyosha vile vile nilichokiona kwenye mapaja yangu du! Ni bonge la chatu nilishindwa kujirusha Kwa sababu ya uzito hata hivyo alikuwa mwishoni anakatisha avuke lami anaenda kuna kapori jina na hotel jilani inaitwa Waikiki ,basi Hilo likapita,kesho yake nikapangwa beach upande wa North kulinda beach beds,na kulikuwa na music system inalala palepale,nikasema Leo nalala nimesimama ili superviser akija nishituke mapema ,nikasimama miti flani ya beach nilihisi ghafla usingizi kama wote Hadi supervisor anafika nahisi kama nimekabwa,sina uwezo wa kujitikisa wala kupumua napambana kuita yesu wapi ,jamaa ananishika ni kama nimeganda kwenye mti ghafla ndo fahamu zinarejea nishadakwa ,kiukweli nilimchana kiongozi kuwa sijui kilichotokea, basi bwana nikahamishwa Lindo kwenda Dream hotel hapo napo

View attachment 2860055
Kazi ilikuwa ngumu sana kwako kamanda
 
Nakumbuka kipindi nasoma secondary, Kuna mwalimu wa mathematics alikuwa mtemi sana...katucharaza viboko kinoma kwa utoro kesho yake asubuhi saa 12:30 tunamkuta parade kasinzia kwenye boxer tu...daah!!!
Ilikuwa gumzo Ila baadae alihama.
😆
 
Mwaka 1987 nilikwenda sehemu inaitwa Kalila ni mwambao wa ziwa Tanganyika. Usiku wa manane nilitoka nje kujisaidia ghafla nikaona Treni ya abiria inapita ziwani imefungasha mabehewa zaidi ya 15 mchanganyiko na mabehewa ya mizigo ni Treni kabisa inapita juu ya reli ziwani.

Asubuhi nikamhadithia jamaa yangu akasema ziwani au baharini kuna maajabu sana usiku.
Waswahili wanasema dunia ina mambo
 
Back
Top Bottom