Private-eye
JF-Expert Member
- Sep 8, 2013
- 1,069
- 1,212
Andiko lako nimelipenda sana...nimelinukuu...nimeedit kidogo...nimelitupa kwenye group la familia....hakika limeleta matokeo chanya sana.Habari,
Je unajua kwamba duniani tunaishi muda mfupi sana? fikiria hivi, mwaka mmoja ni siku 365, miaka 10 ni siku 3650 na miaka 100 ni siku 36,500 tu...
Kama miaka 100 ni siku elfu thelathini na sita na mia tano, na wengi wetu hatutofika umri huo, hii ina maana kwamba wengi wetu humu hatutoishi siku 36,500.
Huu ndio ukweli,
Duniani ni sehemu ya kuishi muda mfupi sana hivyo tujitahidi kufanya mambo mema ya kumpendeza Mwenyezi Mungu.
Ahsante...
hahaa Jf bwana ..watu hamkosi hojaNa waliozaliwa na maabara?
sure " siwamuona musseven ana dunda tuSi wanasema wema hawadumu? Hivyo heri uwe na roho mbaya tu ili angalau uishi muda mrefu kidogo. Yaani "udumu dumupo".
safi ujumbe mzuri sana".. unaishi sayari Moja na mtoa MadaMuda ni Mfupi yani mfupi mfupi sana,
Kuna mtu Robin sharma aliwahi kuandika tunapozaliwa unalia huku ulimwengu unafurahia so yatupasa kuishi maisha ambayo tutapokufa tufurahie huku ulimwengu ukilia
Ujumbe mzuri sana huu
Huu Uzi umenitafakarisha mbali sana mkuu shukrani
Kunywa maji kubwa mkuu nitakuja kulipa.best thread ever.asante
Andiko lako nimelipenda sana...nimelinukuu...nimeedit kidogo...nimelitupa kwenye group la familia....hakika limeleta matokeo chanya sana.
Asante.
Ni vema kutenda mema katika kipindi ambacho mungu (kama uanaamini uwepo wa mungu) amekujalia uhai.
Habari,
Je unajua kwamba duniani tunaishi muda mfupi sana? fikiria hivi, mwaka mmoja ni siku 365, miaka 10 ni siku 3650 na miaka 100 ni siku 36,500 tu...
Kama miaka 100 ni siku elfu thelathini na sita na mia tano, na wengi wetu hatutofika umri huo, hii ina maana kwamba wengi wetu humu hatutoishi siku 36,500.
Huu ndio ukweli,
Duniani ni sehemu ya kuishi muda mfupi sana hivyo tujitahidi kufanya mambo mema ya kumpendeza Mwenyezi Mungu.
Ahsante...
Maisha matamu hata ungeishi siku 5000 zinakutoshaHabari,
Je unajua kwamba duniani tunaishi muda mfupi sana? fikiria hivi, mwaka mmoja ni siku 365, miaka 10 ni siku 3650 na miaka 100 ni siku 36,500 tu...
Kama miaka 100 ni siku elfu thelathini na sita na mia tano, na wengi wetu hatutofika umri huo, hii ina maana kwamba wengi wetu humu hatutoishi siku 36,500.
Huu ndio ukweli,
Duniani ni sehemu ya kuishi muda mfupi sana hivyo tujitahidi kufanya mambo mema ya kumpendeza Mwenyezi Mungu.
Ahsante...
asante kwa kutukumbushaaaHabari,

Pole sana mkuu.Ukiwa jela unaona masaa hayasogei kabisa
Haya ndo mambo ya kukumbushana , be blessed mkuu
Hizo siku ni chache ndugu? Kufanya mema ni hulka ya binadamu mwenye akili timam, wala hauhitaji vitisho ndiyo uwe mwema!Habari,