Duniani tunaishi muda mfupi sana

Duniani tunaishi muda mfupi sana

Habari,
Je unajua kwamba duniani tunaishi muda mfupi sana? fikiria hivi, mwaka mmoja ni siku 365, miaka 10 ni siku 3650 na miaka 100 ni siku 36,500 tu...

Kama miaka 100 ni siku elfu thelathini na sita na mia tano, na wengi wetu hatutofika umri huo, hii ina maana kwamba wengi wetu humu hatutoishi siku 36,500.

Huu ndio ukweli,

Duniani ni sehemu ya kuishi muda mfupi sana hivyo tujitahidi kufanya mambo mema ya kumpendeza Mwenyezi Mungu.

Ahsante...
Mkuu maandiko yanatuasa kuwa kuna maisha mengine baada ya kifo.Hayo mambo yanayompendeza Mungu ndio kanuni ya kuishi vizuri baada ya kifo.Kanuni ya kuishi vizuri kabla ya kifo sijawahi kuisoma kwenye maandiko matakatifu.Unaweza kunipa mwanga ova.
 
Habari,
Je unajua kwamba duniani tunaishi muda mfupi sana? fikiria hivi, mwaka mmoja ni siku 365, miaka 10 ni siku 3650 na miaka 100 ni siku 36,500 tu...

Kama miaka 100 ni siku elfu thelathini na sita na mia tano, na wengi wetu hatutofika umri huo, hii ina maana kwamba wengi wetu humu hatutoishi siku 36,500.

Huu ndio ukweli,

Duniani ni sehemu ya kuishi muda mfupi sana hivyo tujitahidi kufanya mambo mema ya kumpendeza Mwenyezi Mungu.

Ahsante...
Kweli mkuu🙏🙏
 
Duh mi nilifikiri utasema tule bata
 
Write your reply...Waafrika na Waarabu ndiyo binadamu pekee hajuwi duniani tunakaa mda gani hovyo
 
Habari,
Je unajua kwamba duniani tunaishi muda mfupi sana? fikiria hivi, mwaka mmoja ni siku 365, miaka 10 ni siku 3650 na miaka 100 ni siku 36,500 tu...

Kama miaka 100 ni siku elfu thelathini na sita na mia tano, na wengi wetu hatutofika umri huo, hii ina maana kwamba wengi wetu humu hatutoishi siku 36,500.

Huu ndio ukweli,

Duniani ni sehemu ya kuishi muda mfupi sana hivyo tujitahidi kufanya mambo mema ya kumpendeza Mwenyezi Mungu.

Ahsante...
Kunywa maji kubwa mkuu nitakuja kulipa.best thread ever.asante
 
Hakika mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke siku zake za kuishi si nyingi...
TUPENDANE
Wakaplan kumuua Tundu Lissu, hii dunia kuna watu wana roho mbaya aisee huku kwetu Tanzania wakiongozwa na walioratibu mpango wa kumuua Lissu
 
Habari,
Je unajua kwamba duniani tunaishi muda mfupi sana? fikiria hivi, mwaka mmoja ni siku 365, miaka 10 ni siku 3650 na miaka 100 ni siku 36,500 tu...

Kama miaka 100 ni siku elfu thelathini na sita na mia tano, na wengi wetu hatutofika umri huo, hii ina maana kwamba wengi wetu humu hatutoishi siku 36,500.

Huu ndio ukweli,

Duniani ni sehemu ya kuishi muda mfupi sana hivyo tujitahidi kufanya mambo mema ya kumpendeza Mwenyezi Mungu.

Ahsante...
 
Habari,
Je unajua kwamba duniani tunaishi muda mfupi sana? fikiria hivi, mwaka mmoja ni siku 365, miaka 10 ni siku 3650 na miaka 100 ni siku 36,500 tu...

Kama miaka 100 ni siku elfu thelathini na sita na mia tano, na wengi wetu hatutofika umri huo, hii ina maana kwamba wengi wetu humu hatutoishi siku 36,500.

Huu ndio ukweli,

Duniani ni sehemu ya kuishi muda mfupi sana hivyo tujitahidi kufanya mambo mema ya kumpendeza Mwenyezi Mungu.

Ahsante...

Ni vema kutenda mema katika kipindi ambacho mungu (kama uanaamini uwepo wa mungu) amekujalia uhai.
 
Wakaplan kumuua Tundu Lissu, hii dunia kuna watu wana roho mbaya aisee huku kwetu Tanzania wakiongozwa na walioratibu mpango wa kumuua Lissu
Waliofanya hivyo walisahau kuwa duniani tunapita tu
 
Back
Top Bottom