Duniani tunaishi muda mfupi sana

Duniani tunaishi muda mfupi sana

Habari,
Je unajua kwamba duniani tunaishi muda mfupi sana? fikiria hivi, mwaka mmoja ni siku 365, miaka 10 ni siku 3650 na miaka 100 ni siku 36,500 tu...

Kama miaka 100 ni siku elfu thelathini na sita na mia tano, na wengi wetu hatutofika umri huo, hii ina maana kwamba wengi wetu humu hatutoishi siku 36,500.

Huu ndio ukweli,

Duniani ni sehemu ya kuishi muda mfupi sana hivyo tujitahidi kufanya mambo mema ya kumpendeza Mwenyezi Mungu.

Ahsante...
Andiko lako nimelipenda sana...nimelinukuu...nimeedit kidogo...nimelitupa kwenye group la familia....hakika limeleta matokeo chanya sana.

Asante.
 
Binafsi huwa sipendi kuishi miaka mingi sana"... Maisha kwangu Hayana Mantiki kubwa sana'.. ikiwa Kuna Kifo kina tusubiri
 
Habari,
Je unajua kwamba duniani tunaishi muda mfupi sana? fikiria hivi, mwaka mmoja ni siku 365, miaka 10 ni siku 3650 na miaka 100 ni siku 36,500 tu...

Kama miaka 100 ni siku elfu thelathini na sita na mia tano, na wengi wetu hatutofika umri huo, hii ina maana kwamba wengi wetu humu hatutoishi siku 36,500.

Huu ndio ukweli,

Duniani ni sehemu ya kuishi muda mfupi sana hivyo tujitahidi kufanya mambo mema ya kumpendeza Mwenyezi Mungu.

Ahsante...

Asante mkuu kwa kutukumbusha.
 
Maisha matamu hata ungeishi siku 5000 zinakutosha
 
Habari,
Je unajua kwamba duniani tunaishi muda mfupi sana? fikiria hivi, mwaka mmoja ni siku 365, miaka 10 ni siku 3650 na miaka 100 ni siku 36,500 tu...

Kama miaka 100 ni siku elfu thelathini na sita na mia tano, na wengi wetu hatutofika umri huo, hii ina maana kwamba wengi wetu humu hatutoishi siku 36,500.

Huu ndio ukweli,

Duniani ni sehemu ya kuishi muda mfupi sana hivyo tujitahidi kufanya mambo mema ya kumpendeza Mwenyezi Mungu.

Ahsante...
asante kwa kutukumbushaaa
 
Ukiwa jela unaona masaa hayasogei kabisa
Pole sana mkuu.
Dunia ndivyo ilivyo....kila jambo lina pande mbili.

Wakati upande mmoja ni usiku, upande wa pili ni mchana. Wengine wanakula bata, wengine msoto. Walio huru wanaona muda unakimbia na kutamani kuishi sana, wakati huo huo walio kwenye matatizo wanaona muda hauendi kabisa na wagetamani hata wafe.
 
Habari,
Je unajua kwamba duniani tunaishi muda mfupi sana? fikiria hivi, mwaka mmoja ni siku 365, miaka 10 ni siku 3650 na miaka 100 ni siku 36,500 tu...

Kama miaka 100 ni siku elfu thelathini na sita na mia tano, na wengi wetu hatutofika umri huo, hii ina maana kwamba wengi wetu humu hatutoishi siku 36,500.

Huu ndio ukweli,

Duniani ni sehemu ya kuishi muda mfupi sana hivyo tujitahidi kufanya mambo mema ya kumpendeza Mwenyezi Mungu.

Ahsante...
Hizo siku ni chache ndugu? Kufanya mema ni hulka ya binadamu mwenye akili timam, wala hauhitaji vitisho ndiyo uwe mwema!
 
Back
Top Bottom