Nakfa
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 10,979
- 14,400
Nimetotolewa lab mimiHao sijui hatima yao
Nimetotolewa lab mimiHao sijui hatima yao
Wewe ndo utaishi miaka michache zaidi yetu tuliozaliwaNimetotolewa lab mimi
Shukran kwa ukumbusho
Uwiiiiii 😂😂😂 tuna aliens gene'sWewe ndo utaishi miaka michache zaidi yetu tuliozaliwa
Si wanasema wema hawadumu? Hivyo heri uwe na roho mbaya tu ili angalau uishi muda mrefu kidogo. Yaani "udumu dumupo".Habari,
Je unajua kwamba duniani tunaishi muda mfupi sana? fikiria hivi, mwaka mmoja ni siku 365, miaka 10 ni siku 3650 na miaka 100 ni siku 36,500 tu...
Kama miaka 100 ni siku elfu thelathini na sita na mia tano, na wengi wetu hatutofika umri huo, hii ina maana kwamba wengi wetu humu hatutoishi siku 36,500.
Huu ndio ukweli,
Duniani ni sehemu ya kuishi muda mfupi sana hivyo tujitahidi kufanya mambo mema ya kumpendeza Mwenyezi Mungu.
Ahsante...
Hakika mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke siku zake za kuishi si nyingi...
TUPENDANE
Nazo zimejaa taabu na mashaka,..tumkumbuke Mungu siku za ujana wetu kabla hazijaja siku mbaya!!!Hakika mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke siku zake za kuishi si nyingi...
TUPENDANE
Daah sikuwahi kuiwazia hii kitu, kuanzia!
Huwa nawaza sana hili maana dunia ni hadaa tu
Ukinunua sanda au sanduku mtu anakushangaa wakati ni maandalizi ya lazima
Asante kwa kuongezea yale niliyokuwa nimeyaacha.Nazo zimejaa taabu na mashaka,..tumkumbuke Mungu siku za ujana wetu kabla hazijaja siku mbaya!!!
Hujambo bibie?!

Weekend ndio kama hivi best wengine tushajitupa vitandani,jana ulinambia una salamu zangu eti...😌😌Asante kwa kuongezea yale niliyokuwa nimeyaacha.
Sijambo best, za weekend?![]()
Kama yapi?Habari,