Duniani tunaishi muda mfupi sana

Duniani tunaishi muda mfupi sana

Kweli ni mda mfupi mno
Niliongea na mzee wa miaka 70 nikamwambia unakumbuka ulipoanza darasa la kwanza?
Yaani alikuwa anahadithia kama ndio anatoka darasani
Hatuna miaka mingi hapa ni kumbukumbu tu zitabaki zingine mbaya na zingine nzuri

Sent from my SM using Tapatalk
 
Usenge mtupu. Kuna dogo wa mwisho home wakati anazaliwa nilikua namaliza form 4, now ana miaka 11. Ni mkubwa msichana wa darasa la 5. Leo nimemuangalia nilipokuwa kwa dingi nikasema huyu angeweza kuwa mwanangu (kiumri) kama kipindi kile ningefanya uasherati.....au simply ningekuwa nimeoa. Yaani kudadeki ndio miaka 10 imepita?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni siku 365 na robo mkuu. Ile robo ukiizidisha kwa mia anapata siku kadhaa


Sent using Jamii Forums mobile app

Hahahahah,
Hizo robo siku per year ukizidisha kwa miaka 100 unapa siku 25 tu yaani less than a month. Sasa kama miaka 100 ni siku 36,500 ambayo ni very large in comparison, Mathematically, unaweza kuneglect hiyo robo siku per year.
 
Back
Top Bottom