Duniani tunaishi muda mfupi sana

Duniani tunaishi muda mfupi sana

Muda ni Mfupi yani mfupi mfupi sana,

Kuna mtu Robin sharma aliwahi kuandika tunapozaliwa unalia huku ulimwengu unafurahia so yatupasa kuishi maisha ambayo tutapokufa tufurahie huku ulimwengu ukilia
Ujumbe mzuri sana huu

Watu tumekazania mambo yasiyo na maana... tutaumbuka tu!
 
Duh 36,500 aise ukishagundua swala hili hutoleta uhuni kwenye ardhi hii...kuna wabishi watakuja Kusema .mbona wapo wameishi zaidi ya miaka mia.......hawajui kua walioishi miaka hiyo kwa nchi kama tz Hata 10 hawafiki
 
Back
Top Bottom